Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

Nimekuelewa vizuri sana lakini hapo kwenye kuungana napinga, uchaguzi siyo kitu cha dharura , kwanini wafikirie kuungana wakati wa uchaguzi tu.
 
Hivi unapata wapi muda wa kuandika upumbavu wote huu?
 
Umewasahau hawa jamaa kwa propaganda? Ni shida
 
we ingia ila wananchi hawawataki
 
CDM isihangaike na CCM, kwani CCM ni maiti tu iliyovishwa suti.
Washindani wa CDM ni wasimamizi wa uchaguzi, tume ya uchaguzi, ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, polisi na vyombo vingine vya dola. Chadema shughulikeni na hao.
 
ata usihangaike uko mbali sana maana hakuna mwananchi anawataka
 
CDM isihangaike na CCM, kwani CCM ni maiti tu iliyovishwa suti.
Washindani wa CDM ni wasimamizi wa uchaguzi, tume ya uchaguzi, ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, polisi na vyombo vingine vya dola. Chadema shughulikeni na hao.
How?
 
"John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri"-Mwisho wa kunukuu.

Haili nimelithibitisha Mimi mwenyewe.

Serikali ya CCM ina mfumo mzuri sana wa kuaminika katika kukusanya data kuanzia ngazi ya Mjumbe, Kitongoji, Kijiji/Mtaa, Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa, hadi Taifa.
 
Chadema ile kazi kubwa ya M4C imekufa kirahisi sana. Ni kazi ngumu kushinda bila mizizi hadi vijijini. Publicity za mitandaoni haziongezi kura bila kwanza kuwa na resources hasa watu huko kwenye vitongoji.
 
Huwa ninashangaa hawa jamaa wanawaza Nini. Lakini jibu linalonojia kila mara ni kwamba hawana nia Wala malengo ya kushika dola yaani wanafurahia kufanya siasa bila mikakati.

Yaani bila CCM kufanya jambo wao wapinzani hawana la kufanya.

Yaani wanasubiri CCM waseme au kutenda ndiyo wapate la kukosoa.

Wamekubali kucheza ngoma ya CCM, kitu ambacho hakitakiwi katika mashindano ya hoja.

Mimi ninafikiri pesa za umma zinatumika vibaya kuwapa ruzuku hawa wachumia tumbo wasiyo na dira, mipango Wala mikakati.
 
Hata hapa Dar pekee maeneo kibao hakuna hata matawi ...
 
Upinzani wa Lissu na Magufuli ni sawa na ugomvi wa kuku na bata. Wakati kuku anaanza kwa spidi, sarakasi, kelele na kila aina ya mbwembwe bata yeye hua anaenda slow na mahesabu makali. Mwisho wa siku kuku hujikuta amaechoka wakati bata ndo kwanza engine inachemka, ni dakika chache unamkuta kuku kashanyonyoka kichwa kimebanwa ndani ya kwapa la bata. Msipowahi kuamua ugomvi kuku hua anakufa.

Lissu- Jogoo la kuku

Magufuli- Jogoo la bata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…