Haya ni maringo ya Wakenya au ni kujiwekea standard juu dhidi ya majirani?

Ili town iwe city kuna vigezo gani?
Swali zuri na wadau wote wanajitoa ufahamu. jiji sio maghorofa, jiji ni activities, Ulaya kuna majiji kibao maghorofa unayatafuta kwa tochi,

Niliwahi kuandika hii comment kipindi cha Nyuma naipaste hapa


So ni ujinga kutumia kigezo cha Maghorofa kama Jiji wakati hakuna mahala popote hicho ni kigezo.
 
Kenya IPO juu,
Bajeti ya Kenya,mapato yake, ni, sawa, na mapato ya tz,Uganda, Rwanda, Burundi, and South sudani,kwa, pamoja.
Kipato cha mkenya kwa mwaka, ni sawa na kujumlisha mapato ya mtz, mganda, Rwanda, burundi!
 
Nyinyi ni nchi ya wapumbavu
 
Kenya IPO juu,
Bajeti ya Kenya,mapato yake, ni, sawa, na mapato ya tz,Uganda, Rwanda, Burundi, and South sudani,kwa, pamoja.
Kipato cha mkenya kwa mwaka, ni sawa na kujumlisha mapato ya mtz, mganda, Rwanda, burundi!
Pato peke yake halitoshi kuthibitisha Kenya ipo juu.
Ilhali hadi barabara wanalipia ushuru.
Ilhali huduma nyingi za kijamii ni mbovu Kenya.
Hiyo Kenya unayoisifia akiba ya kigeni imekwisha mpaka wakope nje.
Hiyo Kenya unayoisifia inapokea msaada wa chakula kutoka WFP.
Hiyo Kenya unayoisifia imeomba msaada wa dawa za TB Tanzania.
 
Unatafuta maajabu kwa maana ya kitu tofauti au upekee…?

Iko hivi kama ifuatavyo
Dodoma imepangiliwa yote city namaanisha
Dom iko connected na mtandao wa lami yote
Dom ina makazi bora zaid kuriko mji mwingine wwt Tz
Dom imejengeka mno kila kona
Dom ina watu wengi city center above 700k
Dom ina shughuli kubwa za kiuchumi viwanda mahotel maduka makubwa “malls”
Uwekezaji heavy upo na unaendelea kumiminika Dom
Dom, ina vyuo vikuu vikubwa kuriko mji wwt nchin tanzania UDOM, MIPANGO, St. John, CBE IFM HOMBOLO MIREMBE
Dom, ina njia nying za usafiri, anga barabara na reli SGR
DOM, ina anasa na sehemu za starehe za kutosha na nzuri sana.
Dom, ukubwa wake ukichukua kuanzia chamwino ikulu mpk NALA pana urefu wa km 60 unakua upo mjini.
Dom, ina taasisi zote za nchi hii kuanzia IKULU mpk ofisi ya mjumbe wa nyumba 10.
Dom, inapamato makubwa masalani ya pili kutoka kwa Dar city.

Nakuendelea na kuendelea nakuhimiza kuitembelea hapo mbelen na ukipata wasaa izinguke haswa kuijua vzr
Hujajibu swali la msingi; Dodoma ina nini cha ajabu?
 
Washamba sana hivi nchi yao ingekuwa imejengeka kama Morocco tungekoma
 
Nitembee sehemu nilikozaliwa na kukulia?
 
Hakika huu ni ukweli lakini majiji yetu ni mazuri kuliko hizo miji za wakenya tatizo ni miundombinu tu hasa barabara bora ndio hatuna.
Kusema Tanzania ina majiji mazuri kushinda Kenya tatizo ni miundombinu ni kama kusema Simba ni bora kushinda Yanga tatizo ni wachezaji.
 
Washamba sana hivi nchi yao ingekuwa imejengeka kama Morocco tungekoma
Hiyo Morocco yenyewe ina maendeleo ya vitu ila sio ya watu.
Morocco ni Algeria ni nchi zinazoongoza Afrika Kaskazini kwa ukimbizi kwenda Ulaya hususan Germany na Hispania ambako wako nao karibu.
Ndio kama Kenya,maghorofa kibao ila wananchi njaa kali.
Yani siku niloiona Kenya ni matatizo matupu ni mwaka jana walipoambiana na Uganda waunge umoja na sisi wa kuagiza mafuta maana ruzuku zao hazijatosheleza kushusha bei ya mafuta.
Pia mwaka huu wameomba akiba ya fedha za kigeni Tanzania,ndio rais Samia akawaambia yake inamudu miezi mitatu tu.Haijatosha wameomba msaada wa dawa za TB Tanzania.
Sasa unajiuliza hii nchi huo uchumi wanaopigia kelele ni uchumi upi!???
 
Washamba sana hivi nchi yao ingekuwa imejengeka kama Morocco tungekoma

Nimetoa mfano wa Morocco wana infrastructure nzuri kuliko hawa manyang'au na huwezi wasikia wanapiga kelele
 
Nimetoa mfano wa Morocco wana infrastructure nzuri kuliko hawa manyang'au na huwezi wasikia wanapiga kelele
Hili jina nyang'au linamaanisha nini mkuu!?
Maana wengi wanalitumia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…