Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wewe mwenyewe kwanza. ..love yourself. ...GREATEST LOVE OF ALL. ..vinginevyo vitafuataIt means that hajanipenda jinsi nilivyo,
Mwanamke asiyenipenda mpaka nibadilishe system ya maisha yangu? Wakazi gani???
Mkweli sana uyu mtu sijui yanamtokeaga kwa madem zake [emoji28]AHAHAAA ILA JAMAA MKWELI
ahahaaa yaani huwa anagusa mle mle kwenye tisini zanguMkweli sana uyu mtu sijui yanamtokeaga kwa madem zake [emoji28]
Hahahhh STUNTER we mbayaaaaaaahahaaa yaani huwa anagusa mle mle kwenye tisini zangu
naogopa hata kumsoma yaani kama katumwa kwangu vileHahahhh STUNTER we mbayaaaaaa
[emoji28][emoji28]naogopa hata kumsoma yaani kama katumwa kwangu vile
Hahahahhahaa sawa ISIS.Ngaboru weka basi avatar yako ili tuweze ku imagine wewe ukoje. ...ubarikiwe
I know jamani. ..hayo maneno ni muhimu sana kwetu ...Umenikumbusha wimbo wa Whitney Hauston
Mnisamehe tu jamani, maana nilifeli kwenye somo linaloitwa AIBUHahahhh STUNTER we mbayaaaaaa
ukitaka kujua mwanaume ana gari unajua unamuambiaje?Mnisamehe tu jamani, maana nilifeli kwenye somo linaloitwa AIBU
Cc. Miss Natafuta