kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Mo dewj atuachie timu yetu ama aweke 20b... tumechoka, huwezi kuchukua ubingwa kwa mshambuliaji kama Bocco... mo ondoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo kwavle anaondoka ndio umeleta thread ya kumsifuMoja kwa moja kwenye mada!!
Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!!
Hivi Bocco na Kyombo ndio wa kutupelekea nusu au robo fainali ya champions league ??
Unaachana na kocha wa kiwango cha juu na mwenye CV kubwa barani Africa , unaenda kutuletea mgosi kutoka tanga atuvushe kwenda nusu fainali ya klabu bingwa Africa??!!
Arrrrgh ngoja tuone !!! Muda utaongea. Nadhani wachezaji na makocha waliokuwa wakimtengenezea zengwe Dejan watakuwa wamefurahi kama walivyofurahi kuondoka kwa kocha Zoran Maki.
Wewe ni mpiga dili hapo kwenye club?Moja kwa moja kwenye mada!!

Utopolo mkubwaMo dewj atuachie timu yetu ama aweke 20b... tumechoka, huwezi kuchukua ubingwa kwa mshambuliaji kama Bocco... mo ondoka.
Acha uchawi kijana!Moja kwa moja kwenye mada!!
Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!!
Hivi Bocco na Kyombo ndio wa kutupelekea nusu au robo fainali ya champions league ??
Unaachana na kocha wa kiwango cha juu na mwenye CV kubwa barani Africa , unaenda kutuletea mgosi kutoka tanga atuvushe kwenda nusu fainali ya klabu bingwa Africa??!!
Arrrrgh ngoja tuone !!! Muda utaongea. Nadhani wachezaji na makocha waliokuwa wakimtengenezea zengwe Dejan watakuwa wamefurahi kama walivyofurahi kuondoka kwa kocha Zoran Maki.
Wacha uchongsnishi bro haulipi, Simba SC walikosea kumpa kandarasi huyo Dejan kiufupi hana quality za kuwazidi hao uliowataja, hata nawapongeza Simba SC kwa uamuzi wa kuachana nae maana hakuwa na madhara yoyote kwa timu pinzani. Alafu nikukumbushe Simba ya 1993 ilikuwa Chino ya kocha Kibadeni na ilifika nusu fainali michuano ya CAF, Je Kibadeni alikuwa mzungu? Hebu tujenge utamaduni wa kupenda vya kwetu, Tuache kuwa watumwa wa ngozi nyeupe. By the way Mimi Ni Young African sc, Ila kwenye ukweli nasema kwa maendeleo ya mpira.Moja kwa moja kwenye mada!!
Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!!
Hivi Bocco na Kyombo ndio wa kutupelekea nusu au robo fainali ya champions league ??
Unaachana na kocha wa kiwango cha juu na mwenye CV kubwa barani Africa , unaenda kutuletea mgosi kutoka tanga atuvushe kwenda nusu fainali ya klabu bingwa Africa??!!
Arrrrgh ngoja tuone !!! Muda utaongea. Nadhani wachezaji na makocha waliokuwa wakimtengenezea zengwe Dejan watakuwa wamefurahi kama walivyofurahi kuondoka kwa kocha Zoran Maki.
Mbona timu mlimpokonya Mkwasa mkaenda kuwatafuta kina Kaze na Nabi?? Vya kwenu hamvipendi??Wacha uchongsnishi bro haulipi, Simba SC walikosea kumpa kandarasi huyo Dejan kiufupi hana quality za kuwazidi hao uliowataja, hata nawapongeza Simba SC kwa uamuzi wa kuachana nae maana hakuwa na madhara yoyote kwa timu pinzani. Alafu nikukumbushe Simba ya 1993 ilikuwa Chino ya kocha Kibadeni na ilifika nusu fainali michuano ya CAF, Je Kibadeni alikuwa mzungu? Hebu tujenge utamaduni wa kupenda vya kwetu, Tuache kuwa watumwa wa ngozi nyeupe. By the way Mimi Ni Young African sc, Ila kwenye ukweli nasema kwa maendeleo ya mpira.