Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

ToniXrated

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2022
Posts
1,134
Reaction score
2,993
Moja kwa moja kwenye mada!!

Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!!

Hivi Bocco na Kyombo ndio wa kutupelekea nusu au robo fainali ya champions league ??

Unaachana na kocha wa kiwango cha juu na mwenye CV kubwa barani Africa , unaenda kutuletea mgosi kutoka tanga atuvushe kwenda nusu fainali ya klabu bingwa Africa??!!

Arrrrgh ngoja tuone !!! Muda utaongea. Nadhani wachezaji na makocha waliokuwa wakimtengenezea zengwe Dejan watakuwa wamefurahi kama walivyofurahi kuondoka kwa kocha Zoran Maki.
 
Yaani umeonyesha dharau sana kwa Bocco na Phiri wakati hao ndiyo wametupeleka hatua inayofuata kwa magoli yao...unaanzisha Uzi ili na wewe uonekane unafahamu mpira kumbe hamna unachojua.
 
Yaani umeonyesha dharau sana kwa Bocco na Phiri wakati hao ndiyo wametupeleka hatua inayofuata kwa magoli yao...unaanzisha Uzi ili na wewe uonekane unafahamu mpira kumbe hamna unachojua.
Mautopolo yanajiffanya yana uchungu na mnyama kuliko wenye timu yetu
 
Nilimtabiria huyu mwamba jana tu kuondoka mwezi January wakati wa usajili wa dirisha dogo! Ila naona mambo yameenda sivyo.
 
Endelea kushabikia rede dada..simba hakuna mtu spesho kufunga kila mtu anaweka nyavuni tu,labda kama hufatilii falsafa ya simba..HATA HUYO PHIRI SIO NAMBA TISA HALISI.
 
Back
Top Bottom