Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

Haya tufanye pesa zinachotwa kama anavyowaongopea Polepole na Mange Kimambi. Nyie mnasemaje? Mna la kufanya?

Siyo lazima tufanye jambo kikubwa tujue hayo madudu
Uamuzi utafanywa hata na kizazi kijacho na kisasi kitakujalipwa
 
Hv ulishaachaga ulinz wa Minara ya Simu ?
Wewe tackle sana. Niliwahi kuwa mlinzi mgodini nilikuwa nalipwa pesa nyingi kuliko wajeda wa enzi zile wakati wa Jakaya, nikaacha nikawa ranger TANAPA, nikaacha nikawa auxiliary police TPA na sasa sikuambii niko wapi mbwa wewe.
Nimebarikiwa sana. Imagine ndani ya miaka michache nabadili ofisi kama karanga. Sasa ni afisa mwajiri.
Baada ya kupata pesa nzuri huko na huko nimeamua nitulie niwe afisa mwajiri. Ila kazi za ulinzi zina pesa sana, ninafanya kazi sasa kujijengea heshima katika jamii tu. Ninaweza kuishi kwa biashara zangu bila shida
 
Nikiwaita wajinga mnakasirika.
Kutwa kutwa mnakesha kufuatilia habari za uzushi kutoka kwa Mange Kimambi na Polepole ambao wao pia ni wana CCM ambao mfumo umewakaanga.
Polepole ana madudu mengi sana. Kesho nitayaanika hapa.
Mange baada ya kukosa Ubunge ndipo kaja na utetezi uchwara.
JPM alimpa million 500 kumfunga mdomo mbona hasemi hilo?
Haya tuseme yote ni kweli, Watanganyika mnaibiwa matrilioni ya pesa. Mnasemaje sasa?
Puuzi mkubwa wewe. !! Nina hakika kabisa, Huna Elimu ya Maana nakama una Shahada ya awali , ni ya kuungaunga sana .


View: https://youtu.be/BxoGKAEz0PU?si=U5D9HGQZxiH9-6pL
 
Back
Top Bottom