Haya wale Wagumba Tukuka JamiiForums mmepewa Mbinu ya bure hii ichukueni upesi tafadhali ili muijaze dunia

Kuna wakati sayansi inatafakarisha.
Tunaambiwa kitendo cha mwanaume kumwaga mbegu zake ni mamilioni ya viumbe vinakimbizana kusaka ya moja tu.
Wakati huo huo utaambiwa inabidi ukae siku kadhaa bila kujamiana ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu.

Hakuna mbinu ya kuzifanya ziwe na nguvu hata kama ziko kidogo?๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ