Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

Asante na Asanteni sana Mkuu / Wakuu kwani kila ambaye nimekuwa nikimuulizia ananiambia hivi hivi kuhusu hii Njia.
Yeah. Mtukula mzee mpaka uje uipate Biharamulo, Geita au Kahama uje ufike Mara mzee utakuwa umepoteza masaa mengi sana kuliko hiyo ya Jinja.
 
Maisha mtihani ulienda na ndege Kampala unarudi na badi uliondoka kitajiri na ndege unarudi kimaskini ukiwa hoi na basi unatafuta la bei nafuu
Wapumbavu hawatapungua Tanzania. Kumbe kuamua kupanda Basi kwenda Kijijini ni Ushamba na kwamba kupanda Ndege ndiyo Usasa na Utajiri? Yaani kama nilianza kupanda Ndege tokea nikiwa Mdogo huku nikiwa nasoma Uganda nimeipanda sana tu nikiwa na Rafiki yangu mkubwa Dotto Luhigo huku mwaka 2004 nilipoenda Kusoma Kozi fupi South Africa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) nilisafiri nayo na Kaka na Mtani wangu wa Kihaya Eric Beda (aliyeko UDSM kwa sasa kama sijakosea) kipi Kipya Kwangu juu ya Kupanda Ndege?

December naenda Kijijini na Basi ila nakuomba Pasaka ya mwakani njoo JNIA unipokee kwani nitakuja Dar es Salaam kuwasalimia Wazazi na Ndugu wa Dar es Salaam na Mapinga Bagamoyo kisha nitarejea tena hapa Kampala sawa? Ndiyo maana CCM inawatawaleni kwakuwa imegundua kuwa Wapumbavu na Washamba hamjaisha na hamtaisha Tanzania.

Nimemaliza.
 
Sema tu umepigika maisha porojo nyingi za nini? Uganda unarudi hoi bin taabani mfukoni
 
Hii ni nyepesi sana tena ukifika Kisumu panda zile matatuu nauli chee tu mpaka Migori. Ukifika border upande wa Tz usafiri full time.
Asante sana Mkuu / Wakuu wa Ramani na hakika nitatumia hii hii Ramani mliyonipa hapa. Naenda Kutambika kidogo.
 
Sema tu umepigika maisha porojo nyingi za nini? Uganda unarudi hoi bin taabani mfukoni
Wapumbavu hawatapungua Tanzania. Kumbe kuamua kupanda Basi kwenda Kijijini ni Ushamba na kwamba kupanda Ndege ndiyo Usasa na Utajiri? Yaani kama nilianza kupanda Ndege tokea nikiwa Mdogo huku nikiwa nasoma Uganda nimeipanda sana tu nikiwa na Rafiki yangu mkubwa Dotto Luhigo huku mwaka 2004 nilipoenda Kusoma Kozi fupi South Africa Chuo Kikuu cha Cape Town (UCT) nilisafiri nayo na Kaka na Mtani wangu wa Kihaya Eric Beda (aliyeko UDSM kwa sasa kama sijakosea) kipi Kipya Kwangu juu ya Kupanda Ndege?

December naenda Kijijini na Basi ila nakuomba Pasaka ya mwakani njoo JNIA unipokee kwani nitakuja Dar es Salaam kuwasalimia Wazazi na Ndugu wa Dar es Salaam na Mapinga Bagamoyo kisha nitarejea tena hapa Kampala sawa? Ndiyo maana CCM inawatawaleni kwakuwa imegundua kuwa Wapumbavu na Washamba hamjaisha na hamtaisha Tanzania.

Nimemaliza.
 
Hapo itategemea unakwenda Mara sehemu gani, Mfano kama unakwenda Bunda pitia njia ya Bukoba ila kama unakwenda Shirati Kirongwe pitia Migori. Naomba kuwasilisha
 
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?

Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Easiest way ni kukamata Uganda airline kutoka Entebbe to KIA, then kamata precision to Mwanza. Kutoka Mwanza jitafute mwenyewe.
 
Gharama yake kwa haraka haraka ni kama Kiasi gani Mkuu?
 
Hapo itategemea unakwenda Mara sehemu gani, Mfano kama unakwenda Bunda pitia njia ya Bukoba ila kama unakwenda Shirati Kirongwe pitia Migori. Naomba kuwasilisha
Nakwenda Butuguri Kwetu kisha nitaenda Busegwe kutembelea Kaburi la Mzee Mkono, kisha nitaenda Butiama Kuzuri Kaburi la Babu Mwalimu Nyerere kabla ya kwenda Kumtembelea Rafiki yangu tokea nilipokuwa Mdogo nikiwa na Marehemu Dada yangu CDF Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri Kwake Mita chache tu kutoka kwa Mwalimu.
 
mbona umefika mbali mkuu hiyo haikuwa maana yangu,

nimesema kwea pipa nikimaanisha ni usafiri wa haraka na uhakika.
Umeanza kunipangia lini Maisha na Ratiba zangu? Umekuwa Mke wangu au laba unalazimisha sasa uwe Mke Mwenza?
 
Back
Top Bottom