GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na Makundi mengine dunia haitoenda kwakuwa Kiasili wao ( sisi ) ndiyo Injini ya Dunia.
Zifuatazo Sifa mbaya ( hasi) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Wana Hasira za haraka sana ila hazikawii Kuisha
2. Ukimkera haweki jambo Moyoni bali anakupa Makavu yako kisha yanaisha na mnaendele na Maisha
3. Ni Watu ambao hawataki Stress katika Maisha yao
4. Huugua sana Magonjwa ya Mafua, Pumu, Tezi Dume kuanzia Umri wa miaka 60 na Vidonda vya Tumbo
5. Hapendi kukaa bila kufanya Kazi au hata Kijishughuli tu chochote kwakuwa Kiasili ni Watu wenye Nguvu
6. Wapenda Ngono kupita Maelezo
7. Hawapendi longo longo na wanataka Kitu kilichonyooka au Maelezo yaliyonyooka
Zifuatazo ni Sifa nzuri ( chanya ) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Hawaugui hovyo hovyo kwakuwa wana Zawadi ya kuwa na Kinga Kubwa ( Strong Immunity System )
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
3. Wana Roho Nzuri sana na ndiyo Watoaji wazuri wa Hela Harusini na hata Misibani au kwenye Shida
4. Wana Huruma na wakiwa nacho hawasubiri Kuombwa bali hutoa kwa Moyo na Furaha yao ni Kusaidia
5. Ni Waongeaji, Wachangamfu sana kila wanapokuwa na wanapenda Kujichanganya kila maeneo
6. Ni Watu ambao kamwe hawapendi kuona Mtu anaonewa / Watu wanaonewa mbele yao
7. Ni Watu wenye Maisha marefu ( muda mrefu wa Kuishi ) duniani
Mlio na Damu za Makundi mengine hata nyie ni Muhimu ila Kundi la Damu la Group O ndiyo muhimu zaidi Duniani sawa?
Ukiununia tu huu Ukweli kamnunie huyo Dokta na Mwanasaikolojia aliyekuwepo Hewani Channel Ten na siyo Mimi Sawa?