Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

Wasio Kundi O wataununia kweli kweli huu Uzi ila Wasinune kwani hata Sisi hatukupenda kuwa Group O bali ni kwa Baraka zake na Upendo wake Tukuka Mwenyezi Mungu Kwetu. Na kamwe huwezi kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kuwa 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' kama GENTAMYCINE halafu usiwe Kundi la Damu la Group O.

ASANTE MWENYEZI MUNGU.
Ila Genta kwa kujimegea minyama, hahahah.
 
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na Makundi mengine dunia haitoenda kwakuwa Kiasili wao ( sisi ) ndiyo Injini ya Dunia.

Zifuatazo Sifa mbaya ( hasi) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....

1. Wana Hasira za haraka sana ila hazikawii Kuisha
2. Ukimkera haweki jambo Moyoni bali anakupa Makavu yako kisha yanaisha na mnaendele na Maisha
3. Ni Watu ambao hawataki Stress katika Maisha yao
4. Huugua sana Magonjwa ya Mafua, Pumu, Tezi Dume kuanzia Umri wa miaka 60 na Vidonda vya Tumbo
5. Hapendi kukaa bila kufanya Kazi au hata Kijishughuli tu chochote kwakuwa Kiasili ni Watu wenye Nguvu
6. Wapenda Ngono kupita Maelezo
7. Hawapendi longo longo na wanataka Kitu kilichonyooka au Maelezo yaliyonyooka

Zifuatazo ni Sifa nzuri ( chanya ) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....

1. Hawaugui hovyo hovyo kwakuwa wana Zawadi ya kuwa na Kinga Kubwa ( Strong Immunity System )
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
3. Wana Roho Nzuri sana na ndiyo Watoaji wazuri wa Hela Harusini na hata Misibani au kwenye Shida
4. Wana Huruma na wakiwa nacho hawasubiri Kuombwa bali hutoa kwa Moyo na Furaha yao ni Kusaidia
5. Ni Waongeaji, Wachangamfu sana kila wanapokuwa na wanapenda Kujichanganya kila maeneo
6. Ni Watu ambao kamwe hawapendi kuona Mtu anaonewa / Watu wanaonewa mbele yao
7. Ni Watu wenye Maisha marefu ( muda mrefu wa Kuishi ) duniani

Mlio na Damu za Makundi mengine hata nyie ni Muhimu ila Kundi la Damu la Group O ndiyo muhimu zaidi Duniani sawa?

Ukiununia tu huu Ukweli kamnunie huyo Dokta na Mwanasaikolojia aliyekuwepo Hewani Channel Ten na siyo Mimi Sawa?
Du mimi ni O naona mengi yako vizuri ila la kupenda xes kuliko kuliko kawaida sio sawa, mi naridhika
 
🤣🤣🤣 wanaume sawa hata kaka yangu makaveli10 yy anasemaga maharage ya mbeya haachi jinsia ke impite
Nakataaje kwa mfano, dubwasha hili limeumbw.kwa kazi kuu mbili, kukojoa URINE na kukojoa yale maji ya uzima, sasa nikimkatalia mtu, basi nijizuie pia kukojoa URINE.🤣

Dubwasha lenyewe nalifuga, zaidi ya kipande cha sabuni, maji na kiwembe, halina gharama yoyote niipatayo, sasa kwanini nimnyime mtu mwenye shida.
Dhambi nyingine za uchoyo wa kijinga ni kujitakia.🤣
 
Mnajidanganya....

Mimi nafanya kazi hospitali, wengi wanaokuja kutibiwa ni Group O, na wanakuja wamezidiwa vzr tu.

Kwa taarifa yenu, kwa wiki tunaowaongezea damu 90% ni Group O.

Kwanza Group O ndiyo wengi zaidi duniani. Hivyo wagonjwa unaowaona hospitali yoyote ile, jua 90% wana Group O.
Screenshot_2024-05-18-15-32-13-724_com.android.chrome-edit.jpg
 
Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na Makundi mengine dunia haitoenda kwakuwa Kiasili wao ( sisi ) ndiyo Injini ya Dunia.

Zifuatazo Sifa mbaya ( hasi) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....

1. Wana Hasira za haraka sana ila hazikawii Kuisha
2. Ukimkera haweki jambo Moyoni bali anakupa Makavu yako kisha yanaisha na mnaendele na Maisha
3. Ni Watu ambao hawataki Stress katika Maisha yao
4. Huugua sana Magonjwa ya Mafua, Pumu, Tezi Dume kuanzia Umri wa miaka 60 na Vidonda vya Tumbo
5. Hapendi kukaa bila kufanya Kazi au hata Kijishughuli tu chochote kwakuwa Kiasili ni Watu wenye Nguvu
6. Wapenda Ngono kupita Maelezo
7. Hawapendi longo longo na wanataka Kitu kilichonyooka au Maelezo yaliyonyooka

Zifuatazo ni Sifa nzuri ( chanya ) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....

1. Hawaugui hovyo hovyo kwakuwa wana Zawadi ya kuwa na Kinga Kubwa ( Strong Immunity System )
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
3. Wana Roho Nzuri sana na ndiyo Watoaji wazuri wa Hela Harusini na hata Misibani au kwenye Shida
4. Wana Huruma na wakiwa nacho hawasubiri Kuombwa bali hutoa kwa Moyo na Furaha yao ni Kusaidia
5. Ni Waongeaji, Wachangamfu sana kila wanapokuwa na wanapenda Kujichanganya kila maeneo
6. Ni Watu ambao kamwe hawapendi kuona Mtu anaonewa / Watu wanaonewa mbele yao
7. Ni Watu wenye Maisha marefu ( muda mrefu wa Kuishi ) duniani

Mlio na Damu za Makundi mengine hata nyie ni Muhimu ila Kundi la Damu la Group O ndiyo muhimu zaidi Duniani sawa?

Ukiununia tu huu Ukweli kamnunie huyo Dokta na Mwanasaikolojia aliyekuwepo Hewani Channel Ten na siyo Mimi Sawa?
Umegonga kwenye msumari
 
Bahati Nzuri sanaa ni kwamba Kundi la damu halihusiki kwenye Tabia wala hulka ya mtu. Hizi zote mnazojadiri ni Hoax na kujifurahisha tu.
Mijitu ya Kundi A na B utaijua tu. Yaani hapa linabisha wakati aliyesema haya ni Mtaalam kabisa na Lenyewe lipo lipo tu duniani.
 
Kwenye mafua aisee Nina shida sana, sa hv nmeanza kutembea na dawa za mafua za dharura kila ninakoenda...mengine kuhusu huruma, haki, muongeaji, kupenda papuchi (japo nimeacha) lkn Msimamo usiopindishwa hata kama nmekosea ni ngumu kurudi nyuma n.k
Ungesema kuwa hupendi Mbunye ningekushangaa kwani Hulka moja mbaya na nzuri pia ya Watu wa Kundi la Damu ya O ni Kupenda Kubandua kwa Wanaume / Kubanduliwa kwa Wanawake.
 
Pia hatuambukizwi HIV
Uko sahihi kwa 100% kwani GENTAMYCINE mwaka 2012 nililala na Wanawake Watatu Wawili sikujua kama wana Dally Kimoko ( UKIMWI ) mpaka nilipopima nao baada ya Kuwaandua na Mmoja nilijua kabisa ila kwakuwa alikuwa na Kalio Kubwa sijapata kuona Afrika nzima ( Ugonjwa wangu Tukuka huo ) nikajilipua na bahati nzuri au mbaya huwa sivai na sitokuja kuvaa Condom lakini nilipima sehemu zote zenye Vipimo sahihi na vya Kimataifa sina Maambukizi hadi hii Leo.

Ndipo baadae Daktari Mmoja akaniambia kuwa Mimi kupata UKIMWI ( DALLY KIMOKO ) ni ngumu kwakuwa Kwanza nina Damu ya Kundi O lakini pia nina Asthma ambayo ina nguvu ya Kupambana na Virusi vya HIV. Kwa ninavyojijua isingekuwa Mimi kutokuwa na Kundi la Damu ya O hivi sasa JamiiForums hii ningekuwa naisikia Kaburini tu Kudadadeki.
 
Pia wengi tunapenda pombe... Ulevi
Dah ulevi na papuchi vitanitoa roho.
Kwenye Pombe hakusema na hata Mimi pia nakukatalia kwani sipendi kabisa Pombe ( Gambe ) ila Mbunye hata iwe wapi nitaifuata ili mradi tu niifunue niibandue na niridhike.
 
Back
Top Bottom