Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Haahhahaha tusijechinganyaaaaWanasayansi hawataki kutuweka wazi tu, ila group O na HIV Ni ardhi na mbingu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haahhahaha tusijechinganyaaaaWanasayansi hawataki kutuweka wazi tu, ila group O na HIV Ni ardhi na mbingu
🤣🤣🤣 wanajua tutaitumia vibaya group yetuWanasayansi hawataki kutuweka wazi tu, ila group O na HIV Ni ardhi na mbingu
Nafurahia kua among them😊Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na Makundi mengine dunia haitoenda kwakuwa Kiasili wao ( sisi ) ndiyo Injini ya Dunia.
Zifuatazo Sifa mbaya ( hasi) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Wana Hasira za haraka sana ila hazikawii Kuisha
2. Ukimkera haweki jambo Moyoni bali anakupa Makavu yako kisha yanaisha na mnaendele na Maisha
3. Ni Watu ambao hawataki Stress katika Maisha yao
4. Huugua sana Magonjwa ya Mafua, Pumu, Tezi Dume kuanzia Umri wa miaka 60 na Vidonda vya Tumbo
5. Hapendi kukaa bila kufanya Kazi au hata Kijishughuli tu chochote kwakuwa Kiasili ni Watu wenye Nguvu
6. Wapenda Ngono kupita Maelezo
7. Hawapendi longo longo na wanataka Kitu kilichonyooka au Maelezo yaliyonyooka
Zifuatazo ni Sifa nzuri ( chanya ) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Hawaugui hovyo hovyo kwakuwa wana Zawadi ya kuwa na Kinga Kubwa ( Strong Immunity System )
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
3. Wana Roho Nzuri sana na ndiyo Watoaji wazuri wa Hela Harusini na hata Misibani au kwenye Shida
4. Wana Huruma na wakiwa nacho hawasubiri Kuombwa bali hutoa kwa Moyo na Furaha yao ni Kusaidia
5. Ni Waongeaji, Wachangamfu sana kila wanapokuwa na wanapenda Kujichanganya kila maeneo
6. Ni Watu ambao kamwe hawapendi kuona Mtu anaonewa / Watu wanaonewa mbele yao
7. Ni Watu wenye Maisha marefu ( muda mrefu wa Kuishi ) duniani
Mlio na Damu za Makundi mengine hata nyie ni Muhimu ila Kundi la Damu la Group O ndiyo muhimu zaidi Duniani sawa?
Ukiununia tu huu Ukweli kamnunie huyo Dokta na Mwanasaikolojia aliyekuwepo Hewani Channel Ten na siyo Mimi Sawa?
NakaziaKote umeenda vizuri kwenye sifa chanya namba 4 kutoa bila kuombwa hapana nakaa nina O lkn kama sijaombwa sitoi pesa yangu aisee
Mkuu,Wanasayansi hawataki kutuweka wazi tu, ila group O na HIV Ni ardhi na mbingu
Tutatabia za kimagufuli, kimzilankende, kichuma. Tunapenda kunyoosha na ni watu wa matokeo 😂😂Kwa mujibu wa Mtaalam wa Afya ( Daktari ) na Mwanasaikolojia aliyekuwa akizungumza Channel Ten ( ipo YouTube ) kwa wala Matomaso ( Wasiotaka ) Kuamini wakajiridhishe ni kwamba amesema kuwa Dunia inaendeshwa na Watu wenye Damu ya Group O na kwamba bila wao ( ambao ni 40% ) ikilinganishwa na Makundi mengine dunia haitoenda kwakuwa Kiasili wao ( sisi ) ndiyo Injini ya Dunia.
Zifuatazo Sifa mbaya ( hasi) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Wana Hasira za haraka sana ila hazikawii Kuisha
2. Ukimkera haweki jambo Moyoni bali anakupa Makavu yako kisha yanaisha na mnaendele na Maisha
3. Ni Watu ambao hawataki Stress katika Maisha yao
4. Huugua sana Magonjwa ya Mafua, Pumu, Tezi Dume kuanzia Umri wa miaka 60 na Vidonda vya Tumbo
5. Hapendi kukaa bila kufanya Kazi au hata Kijishughuli tu chochote kwakuwa Kiasili ni Watu wenye Nguvu
6. Wapenda Ngono kupita Maelezo
7. Hawapendi longo longo na wanataka Kitu kilichonyooka au Maelezo yaliyonyooka
Zifuatazo ni Sifa nzuri ( chanya ) za Watu wote wenye Damu ya Group O duniani kote.....
1. Hawaugui hovyo hovyo kwakuwa wana Zawadi ya kuwa na Kinga Kubwa ( Strong Immunity System )
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
3. Wana Roho Nzuri sana na ndiyo Watoaji wazuri wa Hela Harusini na hata Misibani au kwenye Shida
4. Wana Huruma na wakiwa nacho hawasubiri Kuombwa bali hutoa kwa Moyo na Furaha yao ni Kusaidia
5. Ni Waongeaji, Wachangamfu sana kila wanapokuwa na wanapenda Kujichanganya kila maeneo
6. Ni Watu ambao kamwe hawapendi kuona Mtu anaonewa / Watu wanaonewa mbele yao
7. Ni Watu wenye Maisha marefu ( muda mrefu wa Kuishi ) duniani
Mlio na Damu za Makundi mengine hata nyie ni Muhimu ila Kundi la Damu la Group O ndiyo muhimu zaidi Duniani sawa?
Ukiununia tu huu Ukweli kamnunie huyo Dokta na Mwanasaikolojia aliyekuwepo Hewani Channel Ten na siyo Mimi Sawa?
😁Kichwani pia ni kama group lenu walah.
Usisahau kwa mujibu wa mtoa mada wengi wanaendesha dunia ni group OKichwani pia ni kama group lenu walah.
Heheheeh nyieee achen uongo🤣🤣🤣 wanajua tutaitumia vibaya group yetu
Ni kweli, mimi ktk maisha yangu yote sijawahi kupewa kitanda hospitali eti nimezidiwa, ukiona naumwa ujue stress za shemejio 🤣🤣🤣Heheheeh nyieee achen uongo
Kwenye kwichy wametuonea sisi hatupendi kabisaaaaa 🤣🤣🤣🤣Group O hapa, naunga mkono hoja kwa 99.9%, sina uhakika na kupenda ngono 😂
Si ndiooo? Labda aseme wanaume 😂😂😂Kwenye kwichy wametuonea sisi hatupendi kabisaaaaa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 wanaume sawa hata kaka yangu makaveli10 yy anasemaga maharage ya mbeya haachi jinsia ke impiteSi ndiooo? Labda aseme wanaume 😂😂😂