Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

Ila Genta kwa kujimegea minyama, hahahah.
 
Du mimi ni O naona mengi yako vizuri ila la kupenda xes kuliko kuliko kawaida sio sawa, mi naridhika
 
🀣🀣🀣 wanaume sawa hata kaka yangu makaveli10 yy anasemaga maharage ya mbeya haachi jinsia ke impite
Nakataaje kwa mfano, dubwasha hili limeumbw.kwa kazi kuu mbili, kukojoa URINE na kukojoa yale maji ya uzima, sasa nikimkatalia mtu, basi nijizuie pia kukojoa URINE.🀣

Dubwasha lenyewe nalifuga, zaidi ya kipande cha sabuni, maji na kiwembe, halina gharama yoyote niipatayo, sasa kwanini nimnyime mtu mwenye shida.
Dhambi nyingine za uchoyo wa kijinga ni kujitakia.🀣
 
Mnajidanganya....

Mimi nafanya kazi hospitali, wengi wanaokuja kutibiwa ni Group O, na wanakuja wamezidiwa vzr tu.

Kwa taarifa yenu, kwa wiki tunaowaongezea damu 90% ni Group O.

Kwanza Group O ndiyo wengi zaidi duniani. Hivyo wagonjwa unaowaona hospitali yoyote ile, jua 90% wana Group O.
 
Umegonga kwenye msumari
 
Bahati Nzuri sanaa ni kwamba Kundi la damu halihusiki kwenye Tabia wala hulka ya mtu. Hizi zote mnazojadiri ni Hoax na kujifurahisha tu.
Mijitu ya Kundi A na B utaijua tu. Yaani hapa linabisha wakati aliyesema haya ni Mtaalam kabisa na Lenyewe lipo lipo tu duniani.
 
Kwenye mafua aisee Nina shida sana, sa hv nmeanza kutembea na dawa za mafua za dharura kila ninakoenda...mengine kuhusu huruma, haki, muongeaji, kupenda papuchi (japo nimeacha) lkn Msimamo usiopindishwa hata kama nmekosea ni ngumu kurudi nyuma n.k
Ungesema kuwa hupendi Mbunye ningekushangaa kwani Hulka moja mbaya na nzuri pia ya Watu wa Kundi la Damu ya O ni Kupenda Kubandua kwa Wanaume / Kubanduliwa kwa Wanawake.
 
Pia hatuambukizwi HIV
Uko sahihi kwa 100% kwani GENTAMYCINE mwaka 2012 nililala na Wanawake Watatu Wawili sikujua kama wana Dally Kimoko ( UKIMWI ) mpaka nilipopima nao baada ya Kuwaandua na Mmoja nilijua kabisa ila kwakuwa alikuwa na Kalio Kubwa sijapata kuona Afrika nzima ( Ugonjwa wangu Tukuka huo ) nikajilipua na bahati nzuri au mbaya huwa sivai na sitokuja kuvaa Condom lakini nilipima sehemu zote zenye Vipimo sahihi na vya Kimataifa sina Maambukizi hadi hii Leo.

Ndipo baadae Daktari Mmoja akaniambia kuwa Mimi kupata UKIMWI ( DALLY KIMOKO ) ni ngumu kwakuwa Kwanza nina Damu ya Kundi O lakini pia nina Asthma ambayo ina nguvu ya Kupambana na Virusi vya HIV. Kwa ninavyojijua isingekuwa Mimi kutokuwa na Kundi la Damu ya O hivi sasa JamiiForums hii ningekuwa naisikia Kaburini tu Kudadadeki.
 
😝😝😝😝😝 hivii hii ni kweli???how
Amini tena kwa 100% kwani Mimi GENTAMYCINE ni Shuhuda Tukuka wa hili na nimeshalisema hili sana hapa JamiiForums.
 
Pia wengi tunapenda pombe... Ulevi
Dah ulevi na papuchi vitanitoa roho.
Kwenye Pombe hakusema na hata Mimi pia nakukatalia kwani sipendi kabisa Pombe ( Gambe ) ila Mbunye hata iwe wapi nitaifuata ili mradi tu niifunue niibandue na niridhike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…