GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Rubbish.Mnajidanganya....
Mimi nafanya kazi hospitali, wengi wanaokuja kutibiwa ni Group O, na wanakuja wamezidiwa vzr tu.
Kwa taarifa yenu, kwa wiki tunaowaongezea damu 90% ni Group O.
Kwanza Group O ndiyo wengi zaidi duniani. Hivyo wagonjwa unaowaona hospitali yoyote ile, jua 90% wana Group O.
View attachment 2993187
Lione hili.Lione hili....!!
Mimi mara ya mwisho Kulazwa ilikuwa ni mwaka 1996 February tokea hapo hadi Leo sijui Wodi ya Hospitali zipoje. Mungu mkubwa.Hata mim sijawah kulazwa
Kwahiyo Dada mwana O Mwenzangu na Wewe unapenda sana Kumeza Ndizi nzima nzima kama Mimi ninavyopenda Kula Sambusa na Kitumbua?mbon n kwel kabisa aseeee
Tokaaaaaaa!!!!! 😂Nisema ama😂😂😂✋✋✋
ila apo mbon kam sio kwel ivi😂🤣Kwahiyo Dada mwana O Mwenzangu na Wewe unapenda sana Kumeza Ndizi nzima nzima kama Mimi ninavyopenda Kula Sambusa na Kitumbua?
Nasubiri unipe Good news. Staki kuleta usumbufu kabisa kipindi hiki mhimu😄😄😄😄😄Tokaaaaaaa!!!!! 😂
Halafu ujue haujanisalimu takribani wiki sasa..
Group 0 negative tuna changamoto za damu kuwa chache sababu lina Watu wachache sana duniani.Mnajidanganya....
Mimi nafanya kazi hospitali, wengi wanaokuja kutibiwa ni Group O, na wanakuja wamezidiwa vzr tu.
Kwa taarifa yenu, kwa wiki tunaowaongezea damu 90% ni Group O.
Kwanza Group O ndiyo wengi zaidi duniani. Hivyo wagonjwa unaowaona hospitali yoyote ile, jua 90% wana Group O.
View attachment 2993187
Ohhh that "usumbufu part". Although sitoisema hivyo, nitaipa jina jingine. Thank you, you are such a thoughtful person.Nasubiri unipe Good news. Staki kuleta usumbufu kabisa kipindi hiki mhimu😄😄😄😄😄
Inshallah🙏🙏😪🙏🙏Ohhh that "usumbufu part". Although sitoisema hivyo, nitaipa jina jingine. Thank you, you are such a thoughtful person.
Good news soon.
Teh😀,jichanganye sasa.Pia hatuambukizwi HIV
Ametusemea vizuri sana blood group O isipokuwa kuna kenge wapo wenye roho za vijiba wamepovukwa humu balaa [emoji28]Duh mKuu umeamua kunisema hadharani?
Damu group O ndio watoto vipenzi vya sir GodUko sahihi kwa 100% kwani GENTAMYCINE mwaka 2012 nililala na Wanawake Watatu Wawili sikujua kama wana Dally Kimoko ( UKIMWI ) mpaka nilipopima nao baada ya Kuwaandua na Mmoja nilijua kabisa ila kwakuwa alikuwa na Kalio Kubwa sijapata kuona Afrika nzima ( Ugonjwa wangu Tukuka huo ) nikajilipua na bahati nzuri au mbaya huwa sivai na sitokuja kuvaa Condom lakini nilipima sehemu zote zenye Vipimo sahihi na vya Kimataifa sina Maambukizi hadi hii Leo.
Ndipo baadae Daktari Mmoja akaniambia kuwa Mimi kupata UKIMWI ( DALLY KIMOKO ) ni ngumu kwakuwa Kwanza nina Damu ya Kundi O lakini pia nina Asthma ambayo ina nguvu ya Kupambana na Virusi vya HIV. Kwa ninavyojijua isingekuwa Mimi kutokuwa na Kundi la Damu ya O hivi sasa JamiiForums hii ningekuwa naisikia Kaburini tu Kudadadeki.
Group O tunajilinda na ajari tu tofauti na hapo uzee ndio tamati yetuTeh[emoji3],jichanganye sasa.
Tupo hapaGroup O tujuane tafadhali
Sema kweli?Pia hatuambukizwi HIV