Haya Wewe mwana 'Group O' Mwenzangu pitia hapa ili ujijue Kitabia Wewe ni Mtu wa aina gani

Sikupingi hasa hapo kwenye sifa hasi namba 6
 
2. Ni Watu Werevu ( Intelligent ) na ndiyo maana wanaiongoza Dunia na bila Wao Dunia haiendi
Huyo hana tofauti na yule aliesema mama ameongeza siku za kuishi.
Kwamba bila wao dunia haiendi? Kwahiyo unataka kuniambia wale walioleta toi MJENGONI hakuna mwenye sifa za group "O"
 
Kwenye tabia hasi ,namba 6 uke wa mwanamke nikiwa naye usipokauka kau na atetemeke miguu ,naonaga bado

Kauli ya mwanamke husika ,husema asante unanguvu sikutegemea yaani huendani ,naomba nilale usiguse tena inatosha

Mie ,kimya
 
8. Sisi ni Universal Donor tunamchangia damu mtu wa group lolote lile.
Uliyoyaandika hapa ni kweli na Mimi hizo tabia kwa kiasi kikubwa ninazo.

Lakini hapo kwenye sifa hasi hiyo sifa namba 6 hapana aiseee kwangu haipo. Wasichana wengi wana magundu na mikosi 😂😂😂
 
Najiona Mimi kabisa isipokuwa hapo kwenye no.5 kwenye sifa nzuri (chanya) na 0+ yangu.
 
,😂😂😂😂kaka hujakosea aisee Mimi najiona hapa
 
Mimi ni O negative....yote ni kweli tupu Kwa uzoefu wangu...hizo sifa hasi tunajitahidi kujidhibiti kutokana na kujitambua.
 
Huku mbeya karibia kila nyumba Ina mtu yupo kwenye dose msiniambie kuwa ni group zingine za damu, muwe mnasoma basi hata mtandaoni Africa asilimia kubwa ya watu ni group 0 na ndo kunaongoza kwa ukimwi
 
Mara ya mwisho nimeugua malaria mwaka 2011,hadi leo sijaugua tena....
 
Aisee!
 
Yawezekana ila sio mambo yote
 
100% kila ulichosema na mimi nipo hivyo hivyo yani
 
Daah mi nshawahi kukutana na mtoto anaomba nimnunulie chakula sikumuangalia vizuri nikasema hawa watoto wa mitaani wasumbufu sana nikampotezea.Wakati narudi, kumuangalia vizuri yule mtoto aisee niliumia sana ikanitoka elfu tano kiroho safi.Yule mtoto alikuwa na uvimbe mguuni na sehemu ya shavuni sijui atakuwa anaumwa nini,daah.
 
welo 😄
 
Umepita mulemule hakuna ulichotaja ambacho sio tabia yangu. Watu wanakwepa kusema wanapenda bunye live jukwaani ila ukweli ndio tabia zetu hzo wenye kundi letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…