Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

Haya yote ni Nyerere ile sera yake “Kidumu cha Mapinduzi “. Kumbe mpaka kwenye jeshi inatumika mfano vita vya Kagera

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ukifatilia makala ya vita vya kagera kuna video zinaonyesha wanajeshi wanataamka kidumu cha mapinduzi.

Ni jambo la kujiuliza kwa nini hii sera kidumu chama cha mapinduzi hipo mpaka kwenye vyomba vya ulinzi.
 
CCM ni taasisi inayotumia cover ya chama kutawala na kuiongoza dola. CCM inamiliki polisi, mahakama, JWTZ, TISS, magereza na idara nyinginezo.

Kwa katiba iliyopo ni ngumu na haitawezekana kuitoa CCM madarakani kwa njia ya uchaguzi kupitia sanduku la kura.
 
Enzi za chama kimoja ulikuwa hauwezi kujiunga na jeshi kama hauna kadi ya CCM/ TANU. Wote walitokea UVCCM/ TANU youth league.

Yes, kwa sehemu kubwa matatizo ya kisasa tuliyonayo yalisababishwa na Nyerere. Aligundua makosa yake akipotoka madarakani enzi za Mwinyi, akajaribu ku push reforms to some extent. Lakini manyang'au yalishakishika chama na mifumo yote. It was too late.

Sasa ni wajibu wa watanzania wenyewe kujipigania na kujikomboa. Uhuru hauji bure, unapoganiwa na unapaswa kulindwa na watu wenyewe.
 
Back
Top Bottom