Haya yote yanatokea sababu wananchi hawana pa kusemea

Mbona jeshi halijakanusha?
Amesoma mbweni huyo na ni mwanajeshi kweli, huo ni wivu wenu wanaume dar..!! 😹
Hakuna mwanajeshi pale, ile uniform imenunuliwa china akaipiga embroidery. Hilo jina may be katumia la mwanajeshi aliyefariki au inaweza kuwa gepu kati ya yeye alipo na jina alilotumia kwa kujinasibisha.

Au unataka kujua niko kitengo gani jeshini?
 
Chadema ilipoacha kusema wameinuka wa kutusemea na haitoishia hapa..
walimuona ni lissu na chadema kuwa watawanyima usingizi, watakwamisha siasa zao, sasa yanaibuka ya kuibuka ni makali kuliko lissu na chadema. Marifomu yangefanyika na chadema kutozuiliwa kufanya siasa kusingetokea ombwe la kujazwa na haya yanayotishia kutokea. watawala wangeendele kula shushu bila wasiwasi kwa kipindi chote cha mpito baada ya reforms
 
Hakuna mwanajeshi pale, ile uniform imenunuliwa china akaipiga embroidery. Hilo jina may be katumia la mwanajeshi aliyefariki au inaweza kuwa gepu kati ya yeye alipo na jina alilotumia kwa kujinasibisha.

Au unataka kujua niko kitengo gani jeshini?
Umeacha kazi ya upishi Zanzibar lini? 😹
 
Hakuna mwanajeshi pale, ile uniform imenunuliwa china akaipiga embroidery. Hilo jina may be katumia la mwanajeshi aliyefariki au inaweza kuwa gepu kati ya yeye alipo na jina alilotumia kwa kujinasibisha.

Au unataka kujua niko kitengo gani jeshini?
hahahahahahahahaha! Kweli wewe ni pimbi! Kwamba kitengo au sio? Wajeshi sasa hivi hawapo hapa. Wako wanajadili kuhusu taifa hili. Acha upuuzi pimbi wewe.
 
Alisema
Alisema wakikaa kimya atarudi Tena kabla ya uchaguzi
 
Umesema kweli kabisa
 
HIVI UNAKUAJE UNATAKA MAGEUZI JAMII FORUM NA UNAJIITA MENDE JINA LAKO HALISI LIPO. PICHA ZAKO HALISI UNAZO?
 
hahahahahahahahaha! Kweli wewe ni pimbi! Kwamba kitengo au sio? Wajeshi sasa hivi hawapo hapa. Wako wanajadili kuhusu taifa hili. Acha upuuzi pimbi wewe.
Wajeshi wa wapi mkuu? Jeshi ni fold order! Kipindi sahihi cha jeshi kuikamata nchi bongo kilikuwa kilekile cha msiba wq Magufuli na Samia hajaapishwa

Mwamajeshi ahatatishe ugali wake kutetea ugali wako?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…