Duuuuh haya majibu unatumia AI au?Umeacha kazi ya upishi Zanzibar lini? 😹
Reply message za watu wengine, za kwangu achana nazo mkuu
Yule Mangi wa Rombo yupo kamili.Tesha sio mwqnajeshi, ana kasoro nyingi sana pale alipo, wajuba tumenotice.
Makapten wakisha amua hiyo ndiyo kauli ya jeshi. Inawezekana upo jeshini ila ulifeli na ni mbumbumbu la Martial LawsHakuna mwanajeshi pale, ile uniform imenunuliwa china akaipiga embroidery. Hilo jina may be katumia la mwanajeshi aliyefariki au inaweza kuwa gepu kati ya yeye alipo na jina alilotumia kwa kujinasibisha.
Au unataka kujua niko kitengo gani jeshini?
Viongozi wa miaka ya 80 hawakuwa na akili hizi, wa Sasa hawajielewi wakati kujua maana ya uongozi!Sijui kwa nini hawa viongozi wetu hawajui kuwa ni hatari sana kuongoza watu ambao wana taarifa na wamenyimwa uhuru wa kuzungumza, watu wamefuga hasira wanasubiri tu kusikia paaa. Watawala bado wana akili, fikira na mawazo ya miaka ya 80 huko
Keyboard warriors kaziniNi kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?!
Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu. Mkaona sio sawa mkaamua kumchukua na kumuweka kizuizini mwenyekiti wa upinzani, haitoshi mkafungia chama kisijishughulishe na mikutano..!!
Mkaenda mbali zaidi mkafungia Twitter (X) na Jamii Forum
Matokeo yake wananchi wameamua kujisemea wenyewe na kuanza kuwakataa wazi wazi bila uoga kitu ambacho huko nyuma hakikuwahi kutokea. Week hii wote tumeshuhudia wananchi walivyogomea mwendokasi na kuamua kujisemea wenyewe.
Hivi mlitegemea haya? Kama kuna siku watanzania watapiga kelele bila woga wakiikataa CCM mchana kweupe wakiwa kwenye mabasi?
Leo kaibuka mwanajeshi, ameongelea matatizo yetu na wananchi tumefurahi. Hiki ndio kitu tunachokitaka. Niwaambie tu hii haitoishia hapo kila sekta itajitokeza kujisemea.
Sababu waliokuwa wanatusemea mmewafunga midomo.!!
Si ajabu akajitokeza polisi wa rank yoyote na yeye kusema kitu kwa taifa.
Nilshapiga kura yangu NATOKA 💪Mambo ni faya.. Mahitaji ya nyakati yamefanikiwa kutuundia makundi mawili kinzani
1. Wa kutiki
2. Wa kutoka
Leo ni October mosi.. Kilele kitakuwa October 28.. Siku ambayo itatupa uhalisia wa 29.10.2025
Namna ya kupiga kura
1. Tunatiki
2.Tunatoka
Au
1. ⚒
2.✌🏿
NB: Kura za mitandaoni huamua uhalisia katika ground.. Piga kura yako sasa!
- Mshana Jr
![]()
- kura kura yako kutoka yako
- Replies: 210
- Forum: Jukwaa la Siasa
Nani huyo?tofauti na Captein Tesha?maana mambo ni mengi halafu leo nina hasira ya mambo kibao,vurugu za kule Mahakamani na hii tetesi ya PolepoleHii haiishi, jana mwingine kaja front naye
Aaahgg kumbeHuyo winga ujeda autoe wapi?
Anakuchosha tu 😹
Mimi fundi magari😅Kinachokuchekesha 😏😹😹
Sema wewe kibarua kikiota utakuwa HR wangu wa vijora usimamie kina dada 🤣