Haya yote yanatokea sababu wananchi hawana pa kusemea

Hakuna mwanajeshi pale, ile uniform imenunuliwa china akaipiga embroidery. Hilo jina may be katumia la mwanajeshi aliyefariki au inaweza kuwa gepu kati ya yeye alipo na jina alilotumia kwa kujinasibisha.

Au unataka kujua niko kitengo gani jeshini?
Makapten wakisha amua hiyo ndiyo kauli ya jeshi. Inawezekana upo jeshini ila ulifeli na ni mbumbumbu la Martial Laws
 
Sijui kwa nini hawa viongozi wetu hawajui kuwa ni hatari sana kuongoza watu ambao wana taarifa na wamenyimwa uhuru wa kuzungumza, watu wamefuga hasira wanasubiri tu kusikia paaa. Watawala bado wana akili, fikira na mawazo ya miaka ya 80 huko
Viongozi wa miaka ya 80 hawakuwa na akili hizi, wa Sasa hawajielewi wakati kujua maana ya uongozi!
 
Keyboard warriors kazini
 
Nilshapiga kura yangu NATOKA 💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…