Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Ila aliwapenda sana Sabaya na Bashite
 
Amka weye!Ubaya hauhalalishi uwe mtenda ubaya.
 
Jmn napendekeza kwa Moderator nyuz zinazomuhusu magufuli zifungwe raisimi leo iwe mwisho kuandiaka hbr zake ...au hbr zozote zinazo muhuzu jpm ziunganishwe zote Kila hbr za jpm utengenezewe jukwaha
 
Waliomwabudu ndo wanamponda mawe sasa hivi!!! Vp hushangai!!!?
Hao wajinga tu hawalisaidii lolote taifa. Walipaswa watuambie uovu huo mapema. Tofauti hivyo ni wajinga,wanafiki,wambea,wazushi,wazandiki,vigeugeu,wachumia tumbo na kila jina baya wanastahili.
 
Mimi pia nilishawishika kujenga guest house Chato niliona ni fursa ya kutengeneza pesa. Nimeghairi mipango .
Usiwe na hofu, nipo mchato mwingine hapa napiga jalamba kubeba mikoba.......endelezeni tu maeneo yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…