Ibn Ayoub
JF-Expert Member
- Dec 20, 2015
- 2,237
- 3,081
Nazania itakua imeenda kulinda mwenzake kule anakoongoza malaikaHivi ile 'battalion' na 'mitambo' iliyokuwa inamlinda ili asife imehamishiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nazania itakua imeenda kulinda mwenzake kule anakoongoza malaikaHivi ile 'battalion' na 'mitambo' iliyokuwa inamlinda ili asife imehamishiwa wapi?
Magufuli alijifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.Haya ayanihusu, naongelea binadamu kuhukumu. Sijaja hapa kuongelea Lisu au sijui Ben Sanane, kama unahitaji kuwaongelea toa mada zinazowahusu. Nachofahamu Mungu uona kwa jicho la tofauti! Mungu wetu ndiye anae hukumu na kusamehe, mimi ni nani nichukue mamlaka ya Mungu? Kaini aliuwa bado mungu akampa ulinzi. Soma mada vizuri.
Aende akamfufue huko alikoAndiko linasema mshara wa dhambi ni mauti.
Huo ndiyo ukweliMagufuli alijifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.
Mungu anajuwa kutoka adhabu stahiki. Mwendazake hakutawala zaidi ya siku 114 baada ya kujitangaza Rais wa Tz Oktoba 2020.
Najuwa nitakufa lakini nilifurahi sana na naendelea kufurahi kufa kwa yule shetani.
Huu ndiyo ukweliMungu aliona hatma ya taifa na ndio maana aliingilia Kati ; trust me angeongoza miaka kumi Kuna watu uzalendo ungewashinda na uvumilivu ungeisha watu wangeanza kukinukisha live na damu nyingi ingemwagika magufuli alikuwa analipeleka taifa ukingoni mwa uvumilivu wa kawaida.
Alphonce mawazo, mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita, alimlaani JPM baada ya kuuwawa kikatiliKuna baadhi uliyoyasema ni ya kweli tupu, mengine hapana.
Kwa sisi tuliowaumini, kwa ufupi tunajua kuwa:
1) Maisha ya mwanadamu hupangwa na Mungu
2) Kiongpzi awe mbaya au mzuri, Mungu atakuwa ameruhusu, na mara nyingi kwa makusudi fulani
3) Kifo ni kwaajili ya kila mmoja
4) Kifo hakichagui umri
Ambayo hukuyasema:
1) Magufuli alikuwa ni mtawala mbaya sana. Kwa matendo ya kuua, kuteka na kubambikizia watu kesi, alijiweka karibu zaidi na upande ulio kinyume na Muumba wetu aliyetukataza sisi sote kuyatenda hayo aliyokuwa akiyatenda.
2) Mungu huweza kuruhusu hata mtu mbaya kuwa mtawala kwa makusudi yake. Mungu hashindwi kitu. Hachelewi wala hakawii bali hutenda kila jambo kwa wakati ufaao kwa kadiri ya hekima yake. Aliruhusu Yuda awe miongoni mwa wafuasi wa Yesu. Aliruhusu Herode ambaye aliua watoto wote wa kiume ambao umri wao ulikaribiana na umri wa Yesu, kuwa mtawala. Anaruhusu hata majambazi na wauaji waendelee kuishi, lakini haimaanishi kuwa wanampendeza. Bali huruhusu wawepo kwa makusudi maalum. Kuna wakati, mtawala mbaya huja kama adhabu kwa wanaoongozwa kwa sababu wamemsahau Mungu wa kweli. Au kutaka kudhihirisha ukuu wake na jinsi hekima yake ilivyo tofauti na ya mwanadamu. Aliruhusu Hitler na Musollini wawe watawala. **** wakati aliruhusu Taifa lake teule kuingia utumwani, na wakati mwingine kulitoa utumwani kwa mkono wake wenye nguvu.
3) Kifo hakiondoi haki ya watu kukusema iwe kwa mema au mabaya. Matendo mema au mabaya ni shule kwa sisi tunaoendelea kuishi. Ndiyoaana Yida anaendelea kusemwa mpaka leo. Herode anasemwa. Hitler anasemwa. musolini anasemwa.
4) Japo sisi sote mwisho wa maisha yetu hapa Duniani ni kifo, lakini ukweli kifo kilikuja kwetu wanadamu kama adhabu, siyo kama zawadi.7 Na hata kwa hekima ya mwanadamu, adhabu ya kifo ndiyo kubwa kuliko zote (japo mimi sioni kama kifo chenyewe ni adhabu ambayo mwanadamu anaweza kumpa mwanadamu mwenzake). Lakini Kristo alikibadilisha kifo kutoka kuwa adhabu na kuwa ndiyo njia ya kumwendea Mungu aliyetuumba ili tukatoe hesabu ya matendo yetu tulipoishi Duniani. "Kwangu, kuishi ni Kristo, na kufa ni faida zaidi. Lakini, kama kwa kuishi nitaweza kufanya kazi yenye faida zaidi, basi, sijui nichague lipi! Nakabiliwa na haya mawili yaliyo sawa. - Paulo"
5) Funzo tulilolipata kutokana na kifo cha huyu mwenzetu aliyekuwa na mamlaka makubwa ya kibinadamu ni kuwa hata ukiwa na cheo kikubwa kiasi gani, hata uwe na majeshi yenye nguvu kiasi gani, hata uwatishe wanadamu wenzako kiasi gani, bado wewe ni mwanadamu ambaye kuzaliwa kwako na kufa kwako hakuna tofauti ni mwingine yeyote, tuheshimu utu, uhai, haki na heshima ya wanadamu wenzetu. Tutambue pia, maisha yetu Duniani ni ya muda tu, kama huyu aliyeogopwa na akamtisha kila raia kutokana na utawala wake wa mkono wa chumaj, akalindwa kwa majeshi ya wazi na ya siri, mwenye uwezo wa kupata matibabu popote kwa gharama yoyote, ameondoka, sisi tuliobakia tuna nini cha pekee hata tuone tuna uwezo wa kuwadhulumu wanadamu wenzetu kwa vile tu pengine tuna mamlaka fulani, utajiri, n.k?
6) Tumgeukie Mungu, tumshukuru kwaajili ya maisha ya huyo mwenzetu maana kwa kupitia maisha ya huyo mwenzetu, tumejifunza mengi, meme na mabaya. Mabaya yake, yawe onyo kwetu, na mazuri yake tuyaishi.
Watu kujaa kwenye mazishi kuna sababu 2. Moja waliopanga zile safari walitaka kupiga Hela kupitia gharama za mazishi na posho zao.Sielewi hata unachokiongelea, Hata Yesu alipokufa watu walifurahia! Angalia Biblia watu wengi wema walipokufa maadui zao walishangilia! Mungu wetu haukumu kwa kuangalia watu wanasema nini!
Basi kwanini watu walijazana kwenye kifo chake kama kweli alngekuwa anachukiwa kwa uzushi huo wanao usema ttungeona barabara empty!
Asante Sana mkuu sikutaka kuchangia Tena umenikosha.Magufuli alijifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.
Mungu anajuwa kutoka adhabu stahiki. Mwendazake hakutawala zaidi ya siku 114 baada ya kujitangaza Rais wa Tz Oktoba 2020.
Najuwa nitakufa lakini nilifurahi sana na naendelea kufurahi kufa kwa yule shetani.
Hapa ndipo pro magufuli mnapokosea watu walikuwa wengi kushuhudia mzoga wa mtu aliyewatawala kwa mabavu na aliyeabudiwa sio kwamba walienda kwa kumpenda nooo they couldn't believe if really their oppreser had died ha ha ha ha ha hanSielewi hata unachokiongelea, Hata Yesu alipokufa watu walifurahia! Angalia Biblia watu wengi wema walipokufa maadui zao walishangilia! Mungu wetu haukumu kwa kuangalia watu wanasema nini!
Basi kwanini watu walijazana kwenye kifo chake kama kweli alngekuwa anachukiwa kwa uzushi huo wanao usema ttungeona barabara empty!
Kweli kabisaAlphonce mawazo, mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita, alumina laana JPM baada ya kuuwawa kikatili
GoodWatu kujaa kwenye mazishi kuna sababu 2. Moja waliopanga zile safari walitaka kupiga Hela kupitia gharama za mazishi na posho zao.
Pili kwa mila za Tanzania wachawi na watu wabaya ndiyo huzikwa na watu wengi. Watu hupenda kujihakikishia kama kweli mchawi wao amekufa?
Hata mimi nilikosa nauli pekee lakini nilitamani kushuhudiaHapa ndipo pro magufuli mnapokosea watu walikuwa wengi kushuhudia mzoga wa mtu aliyewatawala kwa mabavu na aliyeabudiwa sio kwamba walienda kwa kumpenda nooo they couldn't believe if really their oppreser had died ha ha ha ha ha han
Hata wa Uganda hawamzungumzii vibaya Idi Amin Dada kwa yale mazuri aliyowatendea. Lakini sisi WaTz kupitia kwa Nyerere tulimhukumu na kumbatiza majina mengi. So is natural . Ujue ma dictator wengi hutumia uzalendo uchwara kuwapumbaza hasa wananchi wa kawaida. So ni rahisi kushabikiwa.Unajua warusi wamchukuliaje Stallin? Unajua Wajerumani na baadhi ya nchi za Scandinavia zinamchukuliaje Hitler? Unajua Saddam alie hesabika na mmarekani kuwa ni dicteta alichukuliwaje na wa Iraq?
Shida tunadhani hizi nchi zinazojifanya kuwa zinaelewa kila kitu zikisema nasi tunakariri tukidhani wako sawa. Stallin haongelewi vibaya Urusi, bali maadui zake wakiongozwa na wabaya wa Urusi.
Hii misukumo ya kutoka nje kusema fulani mbaya ndo tumerithi waafrika. Tunasubiri kuambiwa kiongozi wenu mbaya. Gadaffi wa Libya pamoja na mazuri yote aliyowafanyia wa Libya wakaambiwa huyo ni dicteta akili zao zikafuata cha kuambiwa wakamuuwa.
Ndipo nampenda KIkwete kwa misemo yake yenye hekima..."Cha kuambiwa changanya na akili zako"
Na kwa hulka yake binafsi angekuwa na kauli ya kuchagua mazishi yake angesema aagwe na wananchi wa Chato tu. Alikuwa ni mtu very shy ku face watu ndiyo maana alijiwekea ulinzi wa kutisha sana.Halafu tambua kwamba ile kumtandikia khanga ilikuwa ni kejeli na kumzungusha juani vile ilkuwa ni kumuaibisha maiti yule Kama alivyofanywa samwel do wa Liberia
Inaonekana majibu yapo tu bila kujali uelewa.Na mtu anae dhani kaelewa kilichoelezewa, huku kiukweli hajaelewa, na huyu mtu akawa mwenye kutojiamini anaitwaje?