Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

Nchi ilifika hatua kuombea wagonjwa n kosa kufanya ibada n kosa

Mungu anamakusudi yake

Ajabu hata hawa aliowaacha nao bado Kuna vitu wanaviiga hawajifunzi kabisa

Kunauwezekano nchi ikaongozwa kwa uongoz wa mpito hivihv Kama hawatabadilika

Kama namuona Dr mpango zamu yake ya kupokea kijiti baada ya msiba wa ghafla tena

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli alijifanya mungu mtu wa Tanzania kwa kuiba uchaguzi wa Serikali za mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 as if ataishi milele.

Mungu anajuwa kutoa adhabu stahiki kwa MADEDHULI. Mwendazake hakutawala zaidi ya siku 114 baada ya kujitangaza Rais wa Tz Oktoba 2020.

Najuwa nitakufa lakini nilifurahi sana na naendelea kufurahi kufa kwa yule shetani.
 
Huo ndiyo ukweli
 
Huu ndiyo ukweli
 
Alphonce mawazo, mwenyekiti wa chadema mkoa wa Geita, alimlaani JPM baada ya kuuwawa kikatili
 
Watu kujaa kwenye mazishi kuna sababu 2. Moja waliopanga zile safari walitaka kupiga Hela kupitia gharama za mazishi na posho zao.

Pili kwa mila za Tanzania wachawi na watu wabaya ndiyo huzikwa na watu wengi. Watu hupenda kujihakikishia kama kweli mchawi wao amekufa?
 
Asante Sana mkuu sikutaka kuchangia Tena umenikosha.
 
Hapa ndipo pro magufuli mnapokosea watu walikuwa wengi kushuhudia mzoga wa mtu aliyewatawala kwa mabavu na aliyeabudiwa sio kwamba walienda kwa kumpenda nooo they couldn't believe if really their oppreser had died ha ha ha ha ha han
 
Good
 
Hapa ndipo pro magufuli mnapokosea watu walikuwa wengi kushuhudia mzoga wa mtu aliyewatawala kwa mabavu na aliyeabudiwa sio kwamba walienda kwa kumpenda nooo they couldn't believe if really their oppreser had died ha ha ha ha ha han
Hata mimi nilikosa nauli pekee lakini nilitamani kushuhudia
 
Halafu tambua kwamba ile kumtandikia khanga ilikuwa ni kejeli na kumzungusha juani vile ilkuwa ni kumuaibisha maiti yule Kama alivyofanywa samwel do wa Liberia
 
Simple logic magufuli was synonymous with abductions killings oprresing and the alike kwahiyo kumtakia magufuli uhai mrefu ilikuwa ni sawa na kuendelea kubariki utekaji uuwaji na uonezi.
 
Hata wa Uganda hawamzungumzii vibaya Idi Amin Dada kwa yale mazuri aliyowatendea. Lakini sisi WaTz kupitia kwa Nyerere tulimhukumu na kumbatiza majina mengi. So is natural . Ujue ma dictator wengi hutumia uzalendo uchwara kuwapumbaza hasa wananchi wa kawaida. So ni rahisi kushabikiwa.

Baadhi ya WaTz kumhukumu marehemu ni Sawa, na hii ni kulingana na walioyashuhudia wakati wa uongozi wake. Mbona Mkapa haongelewi vibaya na walikufa kwa kupishana miezi michache tu.
 
Halafu tambua kwamba ile kumtandikia khanga ilikuwa ni kejeli na kumzungusha juani vile ilkuwa ni kumuaibisha maiti yule Kama alivyofanywa samwel do wa Liberia
Na kwa hulka yake binafsi angekuwa na kauli ya kuchagua mazishi yake angesema aagwe na wananchi wa Chato tu. Alikuwa ni mtu very shy ku face watu ndiyo maana alijiwekea ulinzi wa kutisha sana.

Tena naambiwa mwili wake ulianza kutoa harufu kwa hizo siku walizomtembeza. It was a DISGRACE not an HONOUR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…