Hayati Dkt. Magufuli anapohukumiwa kwa kifo chake

Mwacheni apumzike. Ashamaliza mwendo wake!
 
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu aliyeko motoni bila damu kumwagika.
 
Kwa kiasi hicho hicho Cha akili ulizonazo unafahamu maana ya Amri Jeshi mkuu?
 
Mkuu hizi nondo ulizificha wapi!
 
Ongera mzee kwa kumpa dozi akikujibu nitag dawa ya mpumbuzi ni kumjibu kwa hoja ambao imezidi akili yake
 
Mkuu naona umebadili gia angani kumbe kifo Cha mtu sio mipango ya Mungu tena!
 
Mi naomba uwakaripie pia hao wafuasi wanaokesha kuzushia watu kuwa eti fulani na fulani ndiyo wamemuua magufuli n.k.
Kama unatumia maandiko naamini hili halitokuwa gumu kwako
 
In this case kifo cha huyu jamaa ilikuwa ni adhabu toka kwa Muumba.
Hivi angekuwa hai hai leo!

WATANZANIA wangapi wangekuwa wameuliwa?
Killing, intimidation vingepitiliza hata kwa wana CCM wenzake - angekuwa kama mfalme Sauli.
 
Unauhakika hujasema Mungu ndo anapanga kifo?
Ndo haya nisemayo, kufa kwa mtu ni mpango wa Mungu, hata asingekuwa Rais angekufa. Nawe utakufa!
Sasa niambie, nani aloandika huo ushetani hapo?
Acha kujifanya unajua wakati hujui.
 
Tusimsingizie Mungu kwa ndoa ya binadamu na shetani.
Wengine uondolewa duniani Ili wengine wapone
 
Mtu aliyeonywa aache makufuru, badala yake anamtuma musiba awanange wajumbe wa Mwenyezi Mungu.Ni familia ngapi zimeumizwa future yao imeharibiwa,ndoa ngapi zimevunjika sababu ya kuuwa uchumi familia zimesambaratika.Watu wamepoteza wanaowategemea.
 
Kifo cha mtu dhalimu mtu muovu ni furaha na nafuu kwa walio hai.
Unajisikiaje mtaani kwako pale kibaka msumbufu anapokula chuma au tairi?
 
Mtu yeyote akimwona fulani muovu, na huyo muovu kafa, na kama angeendelea kuwapo ungeendeleza uovu, basi mtu huyu ushukuru Mungu, hata kama yeye ajatendewa jambo baya, hii ni hali ya binadamu wote wa kawaida!
 
Halafu katika mikutano ya hadhara unakuta kunakuwepo wachungaji wa kila aina mpaka yule mhindu nae anasali kwa kihindu. Binadamu anazo sura mbili.
 
Kama unataka kwenda peponi, mchungulie amekaa wapi, we nenda upande mwingine!
 

Unanikumbusha sana Nkurunzinza...
 
Unauhakika hujasema Mungu ndo anapanga kifo?

Sasa niambie, nani aloandika huo ushetani hapo?
Acha kujifanya unajua wakati hujui.
Shida husomi mada nzima unachagua kisentensi badala ya kungalia yaliyoelezwa ndani, shetani ni yule ambae anatafuta kijisabau badala ya kuangalia nini kinaonglewa. Rudi utazame nilichoongelea siyo kuchua sentensi moja ambayo ukisoma zaidi inaufafanuzi zaidi. Wewe unae jua mbona usomi mada nzima ukaelewa. Shetani ujifanya kujua lakini hajui. Panua akili yako ya kufikiri.
 
Mkuu naona umebadili gia angani kumbe kifo Cha mtu sio mipango ya Mungu tena!
Usichukue sentensi moja soma mada nzima uangalie nini kimefafanuliwa ndani. Nimetoa mifano ya Ayubu, na familia yake. Vifo vya watoto wa Ayubu ni shetani alisababisha . Ila Mungui alilidhia. Lakini alimkataza shetani asimuuwe Ayubu.
Ebu so mada yote uelewe !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…