Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi.
Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae Kaini. Kaini japo alimuuwa Abeli, bado Mungu alimlinda Kaini na hata akasema atakae muuwa kaini basi atalaaniwa. Hivyo Mungu alimpeleka Kaini nchi ya mbali. Hii yote kumuepusha na kumlinda na mabaya. Mungu alifanya haya yote japo Kaini alikuwa na dhambi ya kumuuwa nduguye.
Mungu utazama tofauti, na macho ya binadamu. Na Mungu ndiye mwenye uweza wa kuhukumu. Siku hizi Tanzania hii kumezuka, tabia ambayo inaonesha watu kufurahia kifo au vifo vya watu wengine. Na kama walikuwa hawampendi huyo mtu au watu; ndo watazusha mengi. Wabaya wake watajifanya wao ni mungu (Mungu), watahukumu, watasema huyu alifanya mabaya ndo maana kafa.
Watajiona wao waliobaki ndo wajanja, hawana makosa au dhambi mbele ya Mungu. Najiuliza hivi kuna mahala popote pale iwe katika misaafu au maandiko yoyote ya kidini na imani zinginezo, pana sema mtu anae kufa mapema au kabla ya wenzie ana dhambi na Mungu kaamua kumkomoa?
Nachojua Mungu alisema tutakufa, hakuna atakaeishi milele hapa duniani. Ndo maana watu ufa wakiwa watoto wachanga, wakiwa vijana, wakiwa wazee, na hata watoto wengine ufia tumboni mwa mama zao kabla ya kuzaliwa.
Tukidai kufa mapema ni kukomolewa na Mungu, ebu tuangalie, hawa mitume wetu, walikufa bado wakiwa vijana, na walikuwa na maadui wengi, hawakupendwa. Yesu kristo aliishi miaka isiyozidi thelathini na tatu. Na alianza kazi ya kuhubiri akiwa na miaka thelathini tu. Vile vile kwa mtume Muhamad S.W.A alikufa mapema. Si hao tu ni wengi!
Hivyo kifo ni asili. Nachoamini kila mtu anakusudi la kuwepo duniani. Na pia ana muda wake wa kuishi. Haijalishi ni miaka mingapi. Muda ukifika Mungu ndo mwamuzi wa yote, uondoke au aseme bado ubaki.
Katika kila jambo Mungu anamakusudi yake. Laweza kuwa baya au zuri, lakini Mungu anatazama tofauti na tunavyotazama sisi wanadamu.
Kikubwa tusijipe kazi ya Mungu ikawa kazi yetu. Tusijipe kuhukumu kwani hukumu ya maisha yetu utolewa na Mungu. Usihukumu usije hukumiwa.
Nimeongea haya yote ni kutokana na watu wengi, wapinzani na wana CCM kuonekana kumhukumu alie kuwa Rais wa Tanzania, J.P. Magufuli na hata kumzodoa kuwa kafa mapema, yako wapi, kuonesha tu Mungu ati kamuondoa kwa mabaya yake. Nilishangaa hata Mchungaji mmoja anajiita mzee wa upako kuongea kama vile nae anaonesha kufa kwa magufuli ni kama adhabu, eti kisa Lowasa hakuchaguliwa Urais na kuwataka watu wakamuombe Msamaha Lowasa.
Mimi niseme kwa maandiko viongozi wote wakuu wa nchi uwekwa na Mungu. Mungu angeamua Lowasa kuwa Rais angekuwa tu. Mchungaji kasahau maandiko anatumia akili za kibinadamu. Kufa kwa Magufuli si kwamba Mungu hakutaka Magufuli awe Rais, la asha. Mungu hutenda kwa wakati wake.
Jiulize katika maandiko tunaambiwa kuwa Yusufu aliuzwa utumwani na nduguze, bado huyo Yusufu akafungwa gerezani. Lakini cha ajabu akaja kuwa ndiye waziri mkuu wa nchi. Hata nduguze walipojihisi atalipiza kisasi kwa kuwafanyia mabaya, aliwaambia. Mlikusudia mabaya kwangu, lakini katika hayo mabaya Mungu alikusudia mema ili nije niwaokoe katika baa la njaa.
Mungu uona mbali zaid ya binadamu. hatujui ni kwanini Mungu aliepusha Lowasa asiwe Rais japo ilitumika njia mbaya au nzuri, lakini Mungu anakuwa na makusudi yake. Mchungaji katafakari neno la Mungu ndo utoe tamko. Hakuna lifanyikalo duniani bila Mungu kuridhia. Mungu huyo aliruhusu Ayubu apate mateso, akaruhusu watoto wake Ayubu kufa na hata mali kuharibika na kupotea lakini alikuwa na kusudi. Kifo cha Magufuli kinakusudi liwe baya au zuri ila watanzania tutajifunza kutokana na hicho kifo siku moja. Kikubwa tusijichukulie mamlaka ya kuhukumu na kusema kafa kwa sababu alikuwa katiri na kadharika. Mbona Mungu alimlinda Kaini japo alikuwa muuwaji?
Hivi kazi yetu ni kuhukumu, kwani tuliobaki hatutakufa? wangapi tumefiwa na ndugu na wazazi, je kutangulia kwao ni kwamba walitenda mabaya Mungu kawahukumu? Kwa uzoefu wa haraka tu mara nyingi watu wema hawadumu? Iwapo hadi sasa unaishi lazima ujiulize, unatakiwa kulifanyia nini Taifa lako la Tanzania, na familia yako. Si kushambulia marehemu, na kujifanya wewe ni mungu unahukumu. Leo hata viongozi wetu utasikia, oooh! Magufuli hakutenda haki, alikuwa kiongozi mbaya, alikuwa muuwaji, alitisha, hakuwa na demokrasia!
Hivi ninyi viongozi mnao sema haya si mlikuwa nae ktk uongozi wa serikali? Kwanini amkumwambia wakati huo akiwa hai kuwa ni kiongozi mbaya.
Nacho jua Magufuli alikubali kukosolewa. Naibu Waziri wa afya kipindi hicho alimkosoa kuhusu matumizi ya kujifukiza. Akamwondoa katika nafasi. Lakini baadae alimrejesha ktk wizara tofauti.
Leo wanao mkosoa magufuli haohao, wanapinga Mhe. Rais Samia kukosolewa. Wakati Rais alidai kuwepo uhuru wa kukosoa. Lakini chama chake na Bunge Wanataka asikosolewe, tumsifie hata kwa yale yasio sifiwa. Wakati wanadai wao ni wanademokrasia. Ukikosoa unahesabika msaliti, Bunge litakuita kwenye Kamati. Chama kitakaa kukuita kikuhoji kwa nini huko kinyume na Rais. Chama kinachoongozwa na mwenyekiti ambae ni Rais alie ruhusu kokosolewa.
Mungu hapendi wafitini na watu waongo, wenye roho za usaliti. Viongozi mjitafakari. Na msijione ninyi hamta kufa. Kifo kipo akijali madaraka yako. Hakuna atakae ishi milele. Kuwepo kwako pengine Mungu anataka utimize mambo fulani. Ghazabu ya Mungu ni kubwa tusihukumu tukaja hukumiwa. Magufuli kaondoka kamaliza yake. Alifanya kwa nafasi yake na kwa staili yake. Watu wote hatufanani.
Tusijione sisi ni bora kwakuwa tu watu wanatuchekea na kutusifia. Tukachekelea na kuota kiburi kuona tuko sahihi na hatukosei! Pamoja na yote Magufuli aliwapenda watanzania. Hakuwahi kusema waondoke wakaishi Burundi.
Leo kauli hiyo inaongewa na kiongozi aliepewa dhamana na watanzania. Viongozi wamejiona wako juu ya sheria, wanauwezo wa kusema chochote. Viongozi wamekuwa na dharau. Wanajiona nchi ni yao. Hata wananchi kulalamika hawaoni haja ya kuomba msamaha.
Hata kiongozi wa nchi hawakanyi anawaacha je naye kafurahishwa na hayo maneno? Je kawatuma?
Harafu hawa hawa ndo wanasema watakuwa wapole na kuwabembeleza wananchi kuliko JPM ambaye kapewa mabaya yote.
Tukumbuke kutangulia kufa si dhambi. Na ukibakia si ujanja wa kufanya kutukana waliotangulia. Bali chukua muda wa kujitafakari.
Mungu alimlinda Kaini japo alikuwa muuwaji wa nduguye. Mungu ndiye mwenye kuhukumu. Na ndiye ajuaye mwisho wa maisha yetu. Jiulize hapo ulipo matendo uyafanyao ktk vificho au wazi, je ni mema? Je wewe ni msafi zaidi ya waliotangulia kufa?
Je, wajua kifo chako kitakuwaje? Lini utakufa? Je utakufa ukiwa na umri gani? Je alie kutangulia kafa akiwa na miaka mingapi?
Si ujanja wala umaarufu kutukana marehemu, au kutafuta umaarufu ati unajilinganisha na marehemu. Huyo kesha maliza wakati wake hayupo tena. Tuache kashfa hatujui kesho yetu. Tanzania ya leo imekuwa na siasa za kujipendekeza, sifa za kijinga, badala ya kufikiria maendeleo ya kweli. Walio tangulia tuwaache, tujenge nchi.
Kwa kiasi hicho hicho Cha akili ulizonazo unafahamu maana ya Amri Jeshi mkuu?Ati niwe na akili hata kidogo! Weye hapo unae jiona una akili ni sehemu gani ya katiba inayosema rais ni Raia namba moja, au nitajie sheria inayosema rais ni namba moja. Nachojjua na kutokuwa na akili hata kidogo, Katiba yetu inatambua binadamu wote tuna haki sawa. Natambua kuwa hakuna sheria Tanzania inayosema Raia wa kwanza ni Rais. Bali katiba inampa dhamana Rais kuongoza nchi na haisemi kuwa yeye ndo Raia namba moja.
Natambua kuwa si kazi ya Rais kulinda kila mwannchi asiuwawe, bali hiyo ni kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama, na pia ni jukumu la mwananchi mwenyewe kujilinda. Ndo maana sheria zinaruhusu mtu kuomba ulinzi anapoona yuko hatarini au kutishiwa maisha. Rais si mungu kujua kila raia huko nyumbani kwake yukoje. Ndo maana hata sheria inamruhusu kuwa na ulinzi binafsi hata kumiliki silaha. Ingekuwa kulinda nadhani Rais wa Marekani wangejiuzuru sana kutokana na kushindwa kulinda mamia ya Raia wake wanao uana au kuuliwa.
Nashindwa kuelewa japo sina akili hata kidogo nazijua sheria za nchi na tafsiri zake. Wewe unajiona unaakili kubwa hivi ujuhi sheria za nchi yako? Ndo maana hata mtu binafsi ukitaka kujiuwa ukakutilizwa utafunguliwa makosa ua jinai kwa kujaribu kuuwa. Si Rais atakae ulizwa.
Alimruhusu shetani akamjaribu Ayubu lakini asimuue, msaidie ajue maana ya hilo andiko pia.Kasome bible mkuu, Mungu hapangi kila kifo cha mtu
Mkuu hizi nondo ulizificha wapi!Kuhukumu siyo kazi ya mwanadamu. Maana imeandikwa, usihukumu usije ukahukumiwa.
Kufurahia kifo, hasa cha adui yako, ni hekima tu mtu lakini hakuna katazo la kiimani.
Waisrael walifurahia kifo cha Goliath akiyekuwa akiwaua.
Waisrael walifurahia kifo cha askari Pharaoh, na wakafanya adhimisho la kika mwaka, yaani Pasaka (passover), ambayo mpaka leo wakristo tunaiadhimisha.
Bikira Maria na Yusuf walifurahia kifo cha Herode.
Mimi na wewe, tunaweza tusifurahie kifo cha huyo ndugu yetu, lakini unasemaje juu ya wale ambao kila siku maisha yao yalikuwa yapo hatarini, na kila siku walikuwa wakiomba Mungu awaokoe kutoka kwenye mikono ya mtawala mwovu. Fikiria mtu kama TL na wengi walionusurika kuuawa. Wengine wakitupwa wakidhaniwa wamekufa, lakini kumbe Mungu amesihifadhi riho zao. Kisha mtawala aliyetaka kuwaua, na akiendelea kuwawinda, akatangulia, hawatakuwa na haja ya kufurahi na kumshukuru Mungu?
Ongera mzee kwa kumpa dozi akikujibu nitag dawa ya mpumbuzi ni kumjibu kwa hoja ambao imezidi akili yakeHakuna sehemu aliyosafishwa, na siko kusafisha, bali naongea wazi hakuna chuki ya marehemu duniani. Kujenga chuki kwa mtu alokufa nadhani ni kutokuwa na akili za kufikiri. Nimeongelea kifo chake na yasemwayo kwa hicho kifo. Sasa nimsafishe kwa nani?
Nyie ndo mtakao kufa vifo vya ajabu na vibaya! Wewe si Mungu kuhukumu!
Sasa nimtetee Magufuli kwani anagombea uRais. Soma uelewe mada chuki zako usikimbie na kuandika tofauti ya mada.
Napenda kukukumbusha utakufa pia, je umetafakari maisha yako?
Mkuu naona umebadili gia angani kumbe kifo Cha mtu sio mipango ya Mungu tena!Hakuna sehemu nimesema Mungu anapanga kifo. Nadhani unasoma ukiwa na fikira zako na kupandikiza maneno. Soma tena. Nilichosema kuwa Mungu anajua sababu ya kifo, iwe mtu kauwawa na shetani, iwe mtu kauwawa na binadamu Mungu utambua. Na akiamua kutoruhusu kifo hata shetani hawezi. Mungu anakuwa hajaamuuwa mtu huyo kufa.
Ndo nikasema alimkataz ashetani asitoe roho ya Ayubu.
Mada yangu aijaongelea magufuli kusemwa kabla ya kufa. Hapa naongelea kifo cha Magufuli kinavyomhukumu! Ndugu yangu inaonesha uelewi kabisa mada hii inaongelea nini!
Mie nimejikita hukumu za watu wanazo zitoa kwa Magufuli baada ya kufa.
Ndo nikatoa rai kwa jamii tusimmuhuku Magufuli sisi si Mungu kujua kuwa kwanini magufuli kafa, na kusema kafa kwa mabaya yake. Nikasema hayo tumwachie Mungu. Awe ametenda mabaya Mungu ndiyo anajua si binadamu.
Hayo unayosema kaanza kuongelewa hajafa siyo mada yangu. Waweza kuanzisha nawe mada yako. Mada yangu ni hukumu baada ya kifo.
Kuhusu kuijua Biblia naijua sasa wewe si mwalimu wangu na sijakwambia wewe hujui. Uwa sishindani katika neno la Mungu, kwani roho wa Mungu ndiye utuwezesha na kutufunulia hata yale tusiyo yajua. Hivyo sijaja hapa kushindana.
Na pia hata shetani anaijua Biblia, alimwendea na kumjaribu Yesu kwa kutumia vifungu na mistari ya Biblia. Kikubwa ni nini kilichopo ndani ya mtu, je amejazwa na roho wa namna gani amwongozae kusema asemacho.
Hata Petro aliingiwa na shetani, Yesu akamkemea shetani na kusema rudi zako nyuma shetani. Alishajua Petro kaingiliwa na roho ya tofauti.
Killing, intimidation vingepitiliza hata kwa wana CCM wenzake - angekuwa kama mfalme Sauli.Hivi angekuwa hai hai leo!
WATANZANIA wangapi wangekuwa wameuliwa?
Unauhakika hujasema Mungu ndo anapanga kifo?Hakuna sehemu nimesema Mungu anapanga kifo. Nadhani unasoma ukiwa na fikira zako na kupandikiza maneno. Soma tena. Nilichosema kuwa Mungu anajua sababu ya kifo, iwe mtu kauwawa na shetani, iwe mtu kauwawa na binadamu Mungu utambua. Na akiamua kutoruhusu kifo hata shetani hawezi. Mungu anakuwa hajaamuuwa mtu huyo kufa.
Ndo nikasema alimkataz ashetani asitoe roho ya Ayubu.
Mada yangu aijaongelea magufuli kusemwa kabla ya kufa. Hapa naongelea kifo cha Magufuli kinavyomhukumu! Ndugu yangu inaonesha uelewi kabisa mada hii inaongelea nini!
Mie nimejikita hukumu za watu wanazo zitoa kwa Magufuli baada ya kufa.
Ndo nikatoa rai kwa jamii tusimmuhuku Magufuli sisi si Mungu kujua kuwa kwanini magufuli kafa, na kusema kafa kwa mabaya yake. Nikasema hayo tumwachie Mungu. Awe ametenda mabaya Mungu ndiyo anajua si binadamu.
Hayo unayosema kaanza kuongelewa hajafa siyo mada yangu. Waweza kuanzisha nawe mada yako. Mada yangu ni hukumu baada ya kifo.
Kuhusu kuijua Biblia naijua sasa wewe si mwalimu wangu na sijakwambia wewe hujui. Uwa sishindani katika neno la Mungu, kwani roho wa Mungu ndiye utuwezesha na kutufunulia hata yale tusiyo yajua. Hivyo sijaja hapa kushindana.
Na pia hata shetani anaijua Biblia, alimwendea na kumjaribu Yesu kwa kutumia vifungu na mistari ya Biblia. Kikubwa ni nini kilichopo ndani ya mtu, je amejazwa na roho wa namna gani amwongozae kusema asemacho.
Hata Petro aliingiwa na shetani, Yesu akamkemea shetani na kusema rudi zako nyuma shetani. Alishajua Petro kaingiliwa na roho ya tofauti.
Sasa niambie, nani aloandika huo ushetani hapo?Ndo haya nisemayo, kufa kwa mtu ni mpango wa Mungu, hata asingekuwa Rais angekufa. Nawe utakufa!
Kifo cha mtu dhalimu mtu muovu ni furaha na nafuu kwa walio hai.Kiongozi gani asie lindwa duniani? Hata weye mwenyewe unajilinda. Ila kifo cha mwenzio isiwe kicheko kwako! Kila mtu ana muda na saa yake! Wewe umejiuliza saa ngapi roho yako itatwaliwa, japo unalala kwa kufunga milango ya nyumba na geti juu! Nawe roho yako itaondoka!
Haya maneno si ya kusema!Hivi angekuwa hai hai leo!
WATANZANIA wangapi wangekuwa wameuliwa?
Halafu katika mikutano ya hadhara unakuta kunakuwepo wachungaji wa kila aina mpaka yule mhindu nae anasali kwa kihindu. Binadamu anazo sura mbili.Eti kifo Cha mwenzio isiwe kicheko kwako unakumbuka magufuli alikataza hata watu kumuombea lissu Yani alitufikisha viwango vya uadui wa juu Kama taifa kuvaa fulana za kumuombea lissu ikawa jinai kwenda hospital kumpa pole ikawa jinai khaaa baba yule hapana aisee na aendelee kuwa carbon.
Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi.
Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae Kaini. Kaini japo alimuuwa Abeli, bado Mungu alimlinda Kaini na hata akasema atakae muuwa kaini basi atalaaniwa. Hivyo Mungu alimpeleka Kaini nchi ya mbali. Hii yote kumuepusha na kumlinda na mabaya. Mungu alifanya haya yote japo Kaini alikuwa na dhambi ya kumuuwa nduguye.
Mungu utazama tofauti, na macho ya binadamu. Na Mungu ndiye mwenye uweza wa kuhukumu. Siku hizi Tanzania hii kumezuka, tabia ambayo inaonesha watu kufurahia kifo au vifo vya watu wengine. Na kama walikuwa hawampendi huyo mtu au watu; ndo watazusha mengi. Wabaya wake watajifanya wao ni mungu (Mungu), watahukumu, watasema huyu alifanya mabaya ndo maana kafa.
Watajiona wao waliobaki ndo wajanja, hawana makosa au dhambi mbele ya Mungu. Najiuliza hivi kuna mahala popote pale iwe katika misaafu au maandiko yoyote ya kidini na imani zinginezo, pana sema mtu anae kufa mapema au kabla ya wenzie ana dhambi na Mungu kaamua kumkomoa?
Nachojua Mungu alisema tutakufa, hakuna atakaeishi milele hapa duniani. Ndo maana watu ufa wakiwa watoto wachanga, wakiwa vijana, wakiwa wazee, na hata watoto wengine ufia tumboni mwa mama zao kabla ya kuzaliwa.
Tukidai kufa mapema ni kukomolewa na Mungu, ebu tuangalie, hawa mitume wetu, walikufa bado wakiwa vijana, na walikuwa na maadui wengi, hawakupendwa. Yesu kristo aliishi miaka isiyozidi thelathini na tatu. Na alianza kazi ya kuhubiri akiwa na miaka thelathini tu. Vile vile kwa mtume Muhamad S.W.A alikufa mapema. Si hao tu ni wengi!
Hivyo kifo ni asili. Nachoamini kila mtu anakusudi la kuwepo duniani. Na pia ana muda wake wa kuishi. Haijalishi ni miaka mingapi. Muda ukifika Mungu ndo mwamuzi wa yote, uondoke au aseme bado ubaki.
Katika kila jambo Mungu anamakusudi yake. Laweza kuwa baya au zuri, lakini Mungu anatazama tofauti na tunavyotazama sisi wanadamu.
Kikubwa tusijipe kazi ya Mungu ikawa kazi yetu. Tusijipe kuhukumu kwani hukumu ya maisha yetu utolewa na Mungu. Usihukumu usije hukumiwa.
Nimeongea haya yote ni kutokana na watu wengi, wapinzani na wana CCM kuonekana kumhukumu alie kuwa Rais wa Tanzania, J.P. Magufuli na hata kumzodoa kuwa kafa mapema, yako wapi, kuonesha tu Mungu ati kamuondoa kwa mabaya yake. Nilishangaa hata Mchungaji mmoja anajiita mzee wa upako kuongea kama vile nae anaonesha kufa kwa magufuli ni kama adhabu, eti kisa Lowasa hakuchaguliwa Urais na kuwataka watu wakamuombe Msamaha Lowasa.
Mimi niseme kwa maandiko viongozi wote wakuu wa nchi uwekwa na Mungu. Mungu angeamua Lowasa kuwa Rais angekuwa tu. Mchungaji kasahau maandiko anatumia akili za kibinadamu. Kufa kwa Magufuli si kwamba Mungu hakutaka Magufuli awe Rais, la asha. Mungu hutenda kwa wakati wake.
Jiulize katika maandiko tunaambiwa kuwa Yusufu aliuzwa utumwani na nduguze, bado huyo Yusufu akafungwa gerezani. Lakini cha ajabu akaja kuwa ndiye waziri mkuu wa nchi. Hata nduguze walipojihisi atalipiza kisasi kwa kuwafanyia mabaya, aliwaambia. Mlikusudia mabaya kwangu, lakini katika hayo mabaya Mungu alikusudia mema ili nije niwaokoe katika baa la njaa.
Mungu uona mbali zaid ya binadamu. hatujui ni kwanini Mungu aliepusha Lowasa asiwe Rais japo ilitumika njia mbaya au nzuri, lakini Mungu anakuwa na makusudi yake. Mchungaji katafakari neno la Mungu ndo utoe tamko. Hakuna lifanyikalo duniani bila Mungu kuridhia. Mungu huyo aliruhusu Ayubu apate mateso, akaruhusu watoto wake Ayubu kufa na hata mali kuharibika na kupotea lakini alikuwa na kusudi. Kifo cha Magufuli kinakusudi liwe baya au zuri ila watanzania tutajifunza kutokana na hicho kifo siku moja. Kikubwa tusijichukulie mamlaka ya kuhukumu na kusema kafa kwa sababu alikuwa katiri na kadharika. Mbona Mungu alimlinda Kaini japo alikuwa muuwaji?
Hivi kazi yetu ni kuhukumu, kwani tuliobaki hatutakufa? wangapi tumefiwa na ndugu na wazazi, je kutangulia kwao ni kwamba walitenda mabaya Mungu kawahukumu? Kwa uzoefu wa haraka tu mara nyingi watu wema hawadumu? Iwapo hadi sasa unaishi lazima ujiulize, unatakiwa kulifanyia nini Taifa lako la Tanzania, na familia yako. Si kushambulia marehemu, na kujifanya wewe ni mungu unahukumu. Leo hata viongozi wetu utasikia, oooh! Magufuli hakutenda haki, alikuwa kiongozi mbaya, alikuwa muuwaji, alitisha, hakuwa na demokrasia!
Hivi ninyi viongozi mnao sema haya si mlikuwa nae ktk uongozi wa serikali? Kwanini amkumwambia wakati huo akiwa hai kuwa ni kiongozi mbaya.
Nacho jua Magufuli alikubali kukosolewa. Naibu Waziri wa afya kipindi hicho alimkosoa kuhusu matumizi ya kujifukiza. Akamwondoa katika nafasi. Lakini baadae alimrejesha ktk wizara tofauti.
Leo wanao mkosoa magufuli haohao, wanapinga Mhe. Rais Samia kukosolewa. Wakati Rais alidai kuwepo uhuru wa kukosoa. Lakini chama chake na Bunge Wanataka asikosolewe, tumsifie hata kwa yale yasio sifiwa. Wakati wanadai wao ni wanademokrasia. Ukikosoa unahesabika msaliti, Bunge litakuita kwenye Kamati. Chama kitakaa kukuita kikuhoji kwa nini huko kinyume na Rais. Chama kinachoongozwa na mwenyekiti ambae ni Rais alie ruhusu kokosolewa.
Mungu hapendi wafitini na watu waongo, wenye roho za usaliti. Viongozi mjitafakari. Na msijione ninyi hamta kufa. Kifo kipo akijali madaraka yako. Hakuna atakae ishi milele. Kuwepo kwako pengine Mungu anataka utimize mambo fulani. Ghazabu ya Mungu ni kubwa tusihukumu tukaja hukumiwa. Magufuli kaondoka kamaliza yake. Alifanya kwa nafasi yake na kwa staili yake. Watu wote hatufanani.
Tusijione sisi ni bora kwakuwa tu watu wanatuchekea na kutusifia. Tukachekelea na kuota kiburi kuona tuko sahihi na hatukosei! Pamoja na yote Magufuli aliwapenda watanzania. Hakuwahi kusema waondoke wakaishi Burundi.
Leo kauli hiyo inaongewa na kiongozi aliepewa dhamana na watanzania. Viongozi wamejiona wako juu ya sheria, wanauwezo wa kusema chochote. Viongozi wamekuwa na dharau. Wanajiona nchi ni yao. Hata wananchi kulalamika hawaoni haja ya kuomba msamaha.
Hata kiongozi wa nchi hawakanyi anawaacha je naye kafurahishwa na hayo maneno? Je kawatuma?
Harafu hawa hawa ndo wanasema watakuwa wapole na kuwabembeleza wananchi kuliko JPM ambaye kapewa mabaya yote.
Tukumbuke kutangulia kufa si dhambi. Na ukibakia si ujanja wa kufanya kutukana waliotangulia. Bali chukua muda wa kujitafakari.
Mungu alimlinda Kaini japo alikuwa muuwaji wa nduguye. Mungu ndiye mwenye kuhukumu. Na ndiye ajuaye mwisho wa maisha yetu. Jiulize hapo ulipo matendo uyafanyao ktk vificho au wazi, je ni mema? Je wewe ni msafi zaidi ya waliotangulia kufa?
Je, wajua kifo chako kitakuwaje? Lini utakufa? Je utakufa ukiwa na umri gani? Je alie kutangulia kafa akiwa na miaka mingapi?
Si ujanja wala umaarufu kutukana marehemu, au kutafuta umaarufu ati unajilinganisha na marehemu. Huyo kesha maliza wakati wake hayupo tena. Tuache kashfa hatujui kesho yetu. Tanzania ya leo imekuwa na siasa za kujipendekeza, sifa za kijinga, badala ya kufikiria maendeleo ya kweli. Walio tangulia tuwaache, tujenge nchi.
Shida husomi mada nzima unachagua kisentensi badala ya kungalia yaliyoelezwa ndani, shetani ni yule ambae anatafuta kijisabau badala ya kuangalia nini kinaonglewa. Rudi utazame nilichoongelea siyo kuchua sentensi moja ambayo ukisoma zaidi inaufafanuzi zaidi. Wewe unae jua mbona usomi mada nzima ukaelewa. Shetani ujifanya kujua lakini hajui. Panua akili yako ya kufikiri.Unauhakika hujasema Mungu ndo anapanga kifo?
Sasa niambie, nani aloandika huo ushetani hapo?
Acha kujifanya unajua wakati hujui.
Usichukue sentensi moja soma mada nzima uangalie nini kimefafanuliwa ndani. Nimetoa mifano ya Ayubu, na familia yake. Vifo vya watoto wa Ayubu ni shetani alisababisha . Ila Mungui alilidhia. Lakini alimkataza shetani asimuuwe Ayubu.Mkuu naona umebadili gia angani kumbe kifo Cha mtu sio mipango ya Mungu tena!