mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated
* Aliruhusu mfumo wa vyama vingi wakati huohuo kukiwa na mfumo usio na usawa katika chaguzi za nchi
* Mtu huyu aliingia katika muungano na Zanzibar na wakati alikua na uwezo na nguvu yakuichukua Zanzibar kimabavu na kuifanya kua sehemu ya Tanganyika au kuachana nao sababu hawana msaada wowote. Matokeo yake wanufaika wakuu muungano huo ni wazinzbar.
* Ni mtu huyu ndie aliyejenga hofu kwa waTanganyika juu ya ukosoaji wa serikali na kumfanya Kila mwenye mawazo kinzani kuonekana kama adui wa Taifa.
* Ni mtu huyu ndie aliyeweka mifumo mibovu katika vyombo vya ulinzi na usalama wa Taifa kiasi kwamba vyombo hivi vinatumika kama walinzi wa chama tawala na sio wananchi.
Nitaendelea kuongeza machache kadri malaika mtoa roho atakavyokua akinijalia