Alikataa tume kwa saab alitoa hollow accusations kwamba Kambona kaiba madola kede kede. Ameiba taasisi gani, hasemi. Evidence hana. Tume ingemuumbua.
Kambona kaishi UK kwa stipends za kila wiki za serikali. Bilionea limendoka na mihela lingeenda kupanga foleni kila wiki kuchukua vocha za chakula na nauli na maziwa ya watoto ?
Nimeishi Ulaya kwa masaibu ya kila aina lakini sijawahi kupanga foleni ya vocha za kujikimu. Ni aibu. Kambona kaishi UK kwa stipends za ma homeless na ma jobless jacks. Kisa political adversary wa Nyerere. Masikini ya Mungu.
Hawa kina Magufuli na Samia ni ukatili wa Monkey see Monkey do. Wanaiga tu!
Eti Malaya.
Alifanya umalaya gani Kambona ?