Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

Mtu kashindwa kuongoza familia yake hadi leo watoto hawaeleweki wengine wamefukuzwa kijijini kwaajili ya ulevi kupindukia ndo aweze kuongoza nchi?

Waulize Babu zako jinsi walivyoteseka enzi za utawala wa mchonga meno , ukikutwa hata na sabuni au sukari ndani unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, ukinunua baikeli unakuja kuchunguzwa, mchongameno alikua na itikadi kuwa umaskini ndo uzalendo
Finally naungana nawew katika hili.Yule mzee alikua na matatizo mengi na kubwa alikua narcissist.Alihisi Dunia nzima inazunguka kupitia yeye ..alitaka awe sehemu kuu ya Lila ja
Alikua na bifu na Lowasa kwa sababu Lowasa alienda kufanya shopping london na kwenye mchakato wa kuzunguka nchini kutafuta wadhamini ili kuweza kuchukua form ya kugombea urais, Lowasa alikodi helicopter.

Unabaki kujiuliza kama Lowasa alifanya hayo kwa hela zake sasa shida iko wapi?. Nyerere hakumpenda Lowasa kwa sababu yeye aliamini umasikini ndio uzalendo, na Lowasa aliamini umasikini ni sifa mbaya inayotamiwa kupigwa vita
Alikua na NONGWA sana yule fadha
 
Huyu dingi kwenye Muungano alituingiza chaka

Huu wa sasa sio kama ule wa zamani mambo yanabadilika
Km vp tuuvunje Tanganyika irudi tena!
 
Alikua na bifu na Lowasa kwa sababu Lowasa alienda kufanya shopping london na kwenye mchakato wa kuzunguka nchini kutafuta wadhamini ili kuweza kuchukua form ya kugombea urais, Lowasa alikodi helicopter.

Unabaki kujiuliza kama Lowasa alifanya hayo kwa hela zake sasa shida iko wapi?. Nyerere hakumpenda Lowasa kwa sababu yeye aliamini umasikini ndio uzalendo, na Lowasa aliamini umasikini ni sifa mbaya inayotamiwa kupigwa vita
Lowasa alikua mpigaji mkuu. Hakua na jipya. Case in point: hali ya uchumi aliyowaacha nayo wamasai wa monduli.
 
Taratibu mkuu. Vyama vingi hakuanzisha Nyerere. It was during Mkapa's administration.
 
Kumlaumu Nyerere kwa matatizo ya Samia na Kikwete ni utaahira kabisa!
Mlitaka yule mzee awafanyie kila kitu, mkute na ubwabwa kwenye majiko yenu...napo mgesema hakuacha mafuta !!

Na amini usiamini hizi lawama kwa Mwalimu hupendelewa sana na wanamtandao ili kuhamisha upumbavu wao.
 
YES YES NYERERE ALISHINDWA NINI 1995 KUBADILI KATIBA IENDANE NA WAKATI???
Alitaka mje mmbadili nyie, alidhani mtakuwa na akili hata kidogo!
Jiulizeni kwani wakenya walibadili katiba yao wakati Kenyatta!!.

Acheni kulialia, kama mmeishiwa mbinu za kuitoa hii shetani CCM tulieni tu, kwa sasa kumlaumu Nyerere hakuwasaidii.
 
Ebwana UMENENA VYEMA mnoo,
Binafsi mm siku nyingi nmeshasemaga kwamba Nyerere ndio shida namba moja ya Taifa hili.

Kama tujuavyo wakuu, ata nyumbani mtoto anajifunza zaid kwa kuona na si kwa kusikia. Huwezi kutamani mwanao apende kusoma vitabu, wakati anakuona wewe mda wote umeshika simu.
Ndivyo Nyerere alivyowafunza ccm ya Sasa kwa matendo yake, baada ya kupata uhuru, Akaiba viwanja vya michezo na kuwapa ccm badala ya Serikari( usiseme kwamba Serikari ilikuwa ya chama kimoja ndio maana akafanya hvyo, kwanini hakugawa viwanja vya ndege kwa ccm).

Alikuwa anapiga kelele tu na kusema kwamba katiba hii ikimpata rais kichaa, watanzania mtapata shida, inamaana kaanza kuona katiba inashda baada ya kutoka mdarakani.

Hakutaka kuwa challenged, matokeo yake akawafunga wakina bibi titi, kambona akafukuzwa, yaan alikuwa mshenzi kweli kweli.

Alikuwa mbinafsi ambaye anapenda kusifiwa nje huko, ndio maana hakusaidia watu wa kwao, kutosaidia nyumbani kwako hakumaanishi kwamba ww sio mbinafsi.

Kiufupi alikuwa anaongea sana, ila matendo hayaendani.

Huwezi sema eti kwa wakati ule Ile katiba ilikuwa unafaa kwa kuwa nchi ilikuwa na Hali mbaya(ni uwendawazimu) marekani wanatumia katiba iliyoandikwa mwaka 1800+ huko, inamaana hatukuwa na wasoma wa kuchukua mambo mazuri kutoka kwa wenzetu.
 
Licha ya kuheshimu mchango wake kwa Taifa , lakini binafsi ninaamini sifa nyingi anazomwagiwa huenda zinazidiwa na makosa yake mengi yakisera na kimfumo wa uongozi aliyoyafanya ikiwa watu tutamuamgalia katika upande mwingine. Kwakifupi mtu huyu ni overrated

* Aliruhusu mfumo wa vyama vingi wakati huohuo kukiwa na mfumo usio na usawa katika chaguzi za nchi

* Mtu huyu aliingia katika muungano na Zanzibar na wakati alikua na uwezo na nguvu yakuichukua Zanzibar kimabavu na kuifanya kua sehemu ya Tanganyika au kuachana nao sababu hawana msaada wowote. Matokeo yake wanufaika wakuu muungano huo ni wazinzbar.

* Ni mtu huyu ndie aliyejenga hofu kwa waTanganyika juu ya ukosoaji wa serikali na kumfanya Kila mwenye mawazo kinzani kuonekana kama adui wa Taifa.

* Ni mtu huyu ndie aliyeweka mifumo mibovu katika vyombo vya ulinzi na usalama wa Taifa kiasi kwamba vyombo hivi vinatumika kama walinzi wa chama tawala na sio wananchi.

Nitaendelea kuongeza machache kadri malaika mtoa roho atakavyokua akinijalia
EXACTLY.
 
Tulipokuwa tunasema yule mchonga meno na muasisi wa mfumo kristo mkatukana sana hapa.
Ohh waislamu wabaya ohh sisi wakristo ndio wajanja ! Tuna elimu sana.
Sasa mnaanza kuelewa polepole baada ya kupata bakora mubashara.

Siku zote kiongozi akiwa na chuki na ubaguzi huo ubaguzi hautomuacha mtu. Utaathiri mpk wale wa upande wake.
Haya maneno aliyasema huyo huyo mchonga meno
 
Alikua na bifu na Lowasa kwa sababu Lowasa alienda kufanya shopping london na kwenye mchakato wa kuzunguka nchini kutafuta wadhamini ili kuweza kuchukua form ya kugombea urais, Lowasa alikodi helicopter.

Unabaki kujiuliza kama Lowasa alifanya hayo kwa hela zake sasa shida iko wapi?. Nyerere hakumpenda Lowasa kwa sababu yeye aliamini umasikini ndio uzalendo, na Lowasa aliamini umasikini ni sifa mbaya inayotamiwa kupigwa vita
huyu mzee alikua na NONGWA , kibri , chuki na wivu. Na ukitaka kuamini hayo angalia familia yake namna aliiacha..Ule haukua uadikifu Bali roho ya kutotaka wengine wanufaike kupitia yeye
 
Back
Top Bottom