mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Aliona wenye fikra tofauti kama wahaini . Huyu mzee ndio chimbuko la hizi shida zote
Okey ..wew unaamini Kila aliyetengeneza njia hafanyi makosa?..nimesema naheshimu mchango wake , but like any other human being nayeye alifanya makosa mengi..tungekuwa na chaguzi huru na haki hakuna mtu angekua analia juu ya mauaji ya oct 29.. Yeye kama kiongozi mwenye uelewa na exposure kubwa alipaswa kunusa hii hatari na kufanya the needful..Kuhusu ID yako kuwa wazi ni sababu huwezi kupambanua mambo na unasema yes kwa Kila hoja za serikali ..Uko salama katika hilo sababu tunaishi katika nchi ambayo serikali haiamini katika kupishana mitazamo so Kila mtu anajilinda kwa akili yake, sababu waliopaswa kua walinzi wetu ndio watesi wetu sasaMie jina langu mitandao yote ni iamwangdamin labda upitie pages nyingine uone kama naishi maisha ya shida. I just gave u facts. Wengine hatujifichi nyuma ya keyboard brother
Finally naungana nawew katika hili.Yule mzee alikua na matatizo mengi na kubwa alikua narcissist.Alihisi Dunia nzima inazunguka kupitia yeye ..alitaka awe sehemu kuu ya kila jamboMtu kashindwa kuongoza familia yake hadi leo watoto hawaeleweki wengine wamefukuzwa kijijini kwaajili ya ulevi kupindukia ndo aweze kuongoza nchi?
Waulize Babu zako jinsi walivyoteseka enzi za utawala wa mchonga meno , ukikutwa hata na sabuni au sukari ndani unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, ukinunua baikeli unakuja kuchunguzwa, mchongameno alikua na itikadi kuwa umaskini ndo uzalendo
Alikua na bifu na Lowasa kwa sababu Lowasa alienda kufanya shopping london na kwenye mchakato wa kuzunguka nchini kutafuta wadhamini ili kuweza kuchukua form ya kugombea urais, Lowasa alikodi helicopter.Mtu kashindwa kuongoza familia yake hadi leo watoto hawaeleweki wengine wamefukuzwa kijijini kwaajili ya ulevi kupindukia ndo aweze kuongoza nchi?
Waulize Babu zako jinsi walivyoteseka enzi za utawala wa mchonga meno , ukikutwa hata na sabuni au sukari ndani unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, ukinunua baikeli unakuja kuchunguzwa, mchongameno alikua na itikadi kuwa umaskini ndo uzalendo
Naona unakuja kuja.Mtu kashindwa kuongoza familia yake hadi leo watoto hawaeleweki wengine wamefukuzwa kijijini kwaajili ya ulevi kupindukia ndo aweze kuongoza nchi?
Waulize Babu zako jinsi walivyoteseka enzi za utawala wa mchonga meno , ukikutwa hata na sabuni au sukari ndani unafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, ukinunua baikeli unakuja kuchunguzwa, mchongameno alikua na itikadi kuwa umaskini ndo uzalendo
Unavutaga bange ?Nyerere ni adui nambari Moja wa Tanganyika.
Anayebisha aingize dole la kati kunako.
Huwa napewa mara moja moja na Busu la Kenge.Unavutaga bange ?