Hayati Julius Nyerere ni sehemu ya matatizo ya sasa Tanzania

Finally naungana nawew katika hili.Yule mzee alikua na matatizo mengi na kubwa alikua narcissist.Alihisi Dunia nzima inazunguka kupitia yeye ..alitaka awe sehemu kuu ya Lila ja
Alikua na NONGWA sana yule fadha
 
Huyu dingi kwenye Muungano alituingiza chaka

Huu wa sasa sio kama ule wa zamani mambo yanabadilika
Km vp tuuvunje Tanganyika irudi tena!
 
Lowasa alikua mpigaji mkuu. Hakua na jipya. Case in point: hali ya uchumi aliyowaacha nayo wamasai wa monduli.
 
Taratibu mkuu. Vyama vingi hakuanzisha Nyerere. It was during Mkapa's administration.
 
Kumlaumu Nyerere kwa matatizo ya Samia na Kikwete ni utaahira kabisa!
Mlitaka yule mzee awafanyie kila kitu, mkute na ubwabwa kwenye majiko yenu...napo mgesema hakuacha mafuta !!

Na amini usiamini hizi lawama kwa Mwalimu hupendelewa sana na wanamtandao ili kuhamisha upumbavu wao.
 
YES YES NYERERE ALISHINDWA NINI 1995 KUBADILI KATIBA IENDANE NA WAKATI???
Alitaka mje mmbadili nyie, alidhani mtakuwa na akili hata kidogo!
Jiulizeni kwani wakenya walibadili katiba yao wakati Kenyatta!!.

Acheni kulialia, kama mmeishiwa mbinu za kuitoa hii shetani CCM tulieni tu, kwa sasa kumlaumu Nyerere hakuwasaidii.
 
Ebwana UMENENA VYEMA mnoo,
Binafsi mm siku nyingi nmeshasemaga kwamba Nyerere ndio shida namba moja ya Taifa hili.

Kama tujuavyo wakuu, ata nyumbani mtoto anajifunza zaid kwa kuona na si kwa kusikia. Huwezi kutamani mwanao apende kusoma vitabu, wakati anakuona wewe mda wote umeshika simu.
Ndivyo Nyerere alivyowafunza ccm ya Sasa kwa matendo yake, baada ya kupata uhuru, Akaiba viwanja vya michezo na kuwapa ccm badala ya Serikari( usiseme kwamba Serikari ilikuwa ya chama kimoja ndio maana akafanya hvyo, kwanini hakugawa viwanja vya ndege kwa ccm).

Alikuwa anapiga kelele tu na kusema kwamba katiba hii ikimpata rais kichaa, watanzania mtapata shida, inamaana kaanza kuona katiba inashda baada ya kutoka mdarakani.

Hakutaka kuwa challenged, matokeo yake akawafunga wakina bibi titi, kambona akafukuzwa, yaan alikuwa mshenzi kweli kweli.

Alikuwa mbinafsi ambaye anapenda kusifiwa nje huko, ndio maana hakusaidia watu wa kwao, kutosaidia nyumbani kwako hakumaanishi kwamba ww sio mbinafsi.

Kiufupi alikuwa anaongea sana, ila matendo hayaendani.

Huwezi sema eti kwa wakati ule Ile katiba ilikuwa unafaa kwa kuwa nchi ilikuwa na Hali mbaya(ni uwendawazimu) marekani wanatumia katiba iliyoandikwa mwaka 1800+ huko, inamaana hatukuwa na wasoma wa kuchukua mambo mazuri kutoka kwa wenzetu.
 
EXACTLY.
 
Tulipokuwa tunasema yule mchonga meno na muasisi wa mfumo kristo mkatukana sana hapa.
Ohh waislamu wabaya ohh sisi wakristo ndio wajanja ! Tuna elimu sana.
Sasa mnaanza kuelewa polepole baada ya kupata bakora mubashara.

Siku zote kiongozi akiwa na chuki na ubaguzi huo ubaguzi hautomuacha mtu. Utaathiri mpk wale wa upande wake.
Haya maneno aliyasema huyo huyo mchonga meno
 
huyu mzee alikua na NONGWA , kibri , chuki na wivu. Na ukitaka kuamini hayo angalia familia yake namna aliiacha..Ule haukua uadikifu Bali roho ya kutotaka wengine wanufaike kupitia yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…