Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 2,732
- 4,568
Mwalimu hakupambania uhuru alipewa uhuru kwenye sahani. Waliopambania uhuru ni wakikuyu wa kenya. Mwalimu anazidi kuonekana mjinga maana vita ya kagera iliyomrudisha swahiba wake Obote ilikuwa kazi bure. Vyama vya FRELIMO, ANC vilivyokuja kuweka kambi ndivyo vinavyouwa nchi zao. Siku zinavyozidi kwenda ndio Mwalimu anaonekana mjinga zaidi.MLAUMU BABU YAKO HAKUPAMBANIA UHURU. UNAMLAUMU MTU ALIYECHORA NJIA , WAZEE WAKO WALIKUWA WAPI ? WANGEYAFANYA HAYO KAMA BABU ZETU WA TAIFA . MPUMZISHENI NYERERE . HE PAVED THE WAY
Get your facts right, BWM ameingia Ikulu mwaka 1995. Vyama vingi vya siasa vilirejea tena mwaka 1992 kipindi AHM yupo ikuluTaratibu mkuu. Vyama vingi hakuanzisha Nyerere. It was during Mkapa's administration.
Kwa kipindi Lowasa hakua na nguvu kubwa sana sasa serikali ilishindwa kumchukulia hatua?
Asante kwa marekebisho.Mwaka 1992 Rais alikua Ali Hassan Mwinyi
Cheki maneno machafu ya Mwalimu kwenye vichwa vya habari...
Anakwambia hawezi kuunda tume kwaajili ya malaya mmojaCheki maneno machafu ya Mwalimu kwenye vichwa vya habari...
Kambona ni Malaya
Hanga ni Mpumbavu
Huyu ndio tunam quote kwa kueneza msemo wa hoja haipigwi konzi ???
Haya. Baada ya kumtujana Hanga, Hanga akachukuliwa na polisi. Hajaonejana tena.
Kwa hiyo na huyu baba wa Taifa pia ni muasisi wa utekaji na mauaji ya kisiasa.
Kwa nini tunakataa ????
Anakwambia hawezi kuunda tume kwaajili ya malaya mmoja
Cha ajabu watu wanashupaza shingo , yule mzee alikua namatatizo ya akili na mtu mbinafsi sanaAlikataa tume kwa saab alitoa hollow accusations kwamba Kambona kaiba madola kede kede. Ameiba taasisi gani, hasemi. Evidence hana. Tume ingemuumbua.
Kambona kaishi UK kwa stipends za kila wiki za serikali. Bilionea limendoka na mihela lingeenda kupanga foleni kila wiki kuchukua vocha za chakula na nauli na maziwa ya watoto ?
Nimeishi Ulaya kwa masaibu ya kila aina lakini sijawahi kupanga foleni ya vocha za kujikimu. Ni aibu. Kambona kaishi UK kwa stipends za ma homeless na ma jobless jacks. Kisa political adversary wa Nyerere. Masikini ya Mungu.
Hawa kina Magufuli na Samia ni ukatili wa Monkey see Monkey do. Wanaiga tu!
Eti Malaya.
Alifanya umalaya gani Kambona ?
Kama hakuna ushaidi hizo tuhuma zinabaki kuwa umbea na majungu tu.That's a good question. There are many possible answers to your question. Huenda serikali haikuweza kumchukulia Lowasa hatua kwasababu Lowasa alikua na akili ya kuweza kuficha ushahidi au tuseme kuiba kwa akili. Kumbuka Tz imekua nchi yenye mapungufu mengi ya kiutawala tangu utawala wa Nyerere. Wajanja kila awamu wamepiga vizuri sana tu bila kuchukuliwa hatua. Ila ukweli unabaki kwamba ubepari wa Lowasa haukua na tija kwa taifa na wala hata kwa wananchi aliowawakilisha moja kwa moja. In short he is not a good example.