Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Asante sana mkuu!!

Angalau wewe unaongea facts!!

Kwamba Dola haikutaka makundi ya wanamtandao kutuamulia hatma ya uongozi wa nchi!na jk akatumika ipasavyo kusambaratisha kingmaker's!!

Watu wamejawa na hisia zaidi kuliko facts!!
 
Asee ht najiuliza hili swali, mwenye majibu atuwekee wakuu mana naskia jamaa alikuwa na mzigo tangu enzi za TANU
Ila kumbuka nyumba nyingi za NHC zilizoko upanga,kitumbini,kisutu,na city center zilikuwa za indians na nyerere alizitaifisha Akizialocate kwa msajiri wa majumba kabla ya kuhamishiwa TBA na NHC
 
β€œβ€¦.tungekuwa mbali Kama wazungu!”

Hao unaotamani maendeleo yao ndio wadhamini wa hizi takataka za kisiasa hapo Tanzania.
Yh wanaleta hizo shida ili wazinufaishe Nchi zao !
Sisi huwa tunafanya yale ya kutunufaisha individually zaidi !
Selfishness ndio shida yetu kuu !
 
Kama jk alikua kama makonda was Nyerere,Basi makonda wa jpm ni Rais ajaye kama asemavyo magamba matatu happy 2030!noted!
 
Mkuu unaandika ukweli nahisi wewe unahudumu kitengo cha Siasa.

Ukifuatilia urais wa Magufuli ni wazi ulikuwa wa bahati tu na hii comment yako inadhihirisha hilo
 
hakumdhulumu malecele..iliikuwa kuna ununuzi mkubwa wa magari lowasa akashangaa bosi anataka kampuni mbovu ipewe ..baadaa ya magar kuja .wakaleta dola mil 2 cash ofisini sasa miaka hiyo hakuna simu kuja ofisini ndo kumkuta lowasa akawaambia anajua mzigo huo akapokea akaficha. Lowasa akakausha naxo mzee kuziulizia akamwambia tukamuulize rais .so hata ingekuwa ww mtu alitaka akupige bil 6 tena hakushirikishi ili ale apige ale mwenyewe je ww ungempa hata mia
 
Binafsi nimwombea JK na viongozi wetu wote wakuu waliopo maisha marefu na yenye baraka tele, wamefanya mengi kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Mungu Mwenyezi awajalie hekima zizidi na kutuachia urithi mzuri na misingi na mfumo imara kuhakikisha Taifa letu Tanzania li salama na katika mikono salama , na kwa Viongozi wetu walio lala Mungu Mwenyezi awajalie pumziko la amani la milele πŸ™
 
Kama jk alikua kama makonda was Nyerere,Basi makonda wa jpm ni Rais ajaye kama asemavyo magamba matatu happy 2030!noted!
JK na George Bush huwa wanachukuliwa poa ila nikwambie hao ni wanasiasa kwa kurithi pia wako vizuri kichwani na ni watoto wa mjini,mafias.Geoge Bush kadoma Yale universitu chuo borasana kule USAπŸ˜ƒJK ana bachelors toka UDSM mwaka 1975 kipindi hicho wasomi ni wachache sana nchini,makonda hata kuandika sentensi moja ya kingereza hawezi
 
Kitabu kimeshaandikwa muds mrefu huko Jijini New York ila mara kwa mara anaahirisha kukizindua kwa sababu kadhaa wa kadhaa na hasa sababu za kisiasa

Uongozi Institute walihusika kwa namna fulani kufanya review
Mkuu pohamba nakufuatilia hapa JF toka 2014

Unaweza kuhisi kwanini jana kikwete alitoweka pale Monduli msibani ghafla tena akavunja protocol ya kuondoka meza kuu kabla mkuu wa nchi kuondoka?
Inadaiwa hata hakuaga!!
 
Kikwete kuruhusu report ijadiliwe bungeni.

Ndio ilikuwa mwisho wa mbio za Urais hii ajali ilikuwa nzito kwa Edo
 
Makubwa gani labda kumshawishi mama kuuza bandar na kujitajirisha
 
NAKUAMBIA HIVI HUYU KIKWETE HUYU NA MADHAIFU YAKE YOTE!AMETUWEKA RELINI WENGI!!

KWASISI WATOTO WA MASKINI SISI AMBAO KALAMU NDIO UKOMBOZI BILA JK TUNGEPATA WAPI PA KUSHIKA!!?

ENZI ZILE AWAMU YA NNE DEGREE ZETU ZILIONEKANA ZA MAANA HATA KAMA MZAZI AKITOBOKA ANAJUA ZINARUDI,SASA HIVI AISEH UNAWEZA TEMBELEA KICHWA KAMA MDUNDIKO!!

KWA HILO TU NAMHESHIM KAULI MBIU YA "MAISH BORA KWA KILA MTZ "NAIHESHIMU HADI KESHO!!

MENGINE HAYO NI YA KIBINAADAMU,UADILIFU HUPIMWA KWA KIWANGO CHA TAMAA ALICHOZALIWA NACHO MTU!!

CHA MSINGI AIACHIE TANZANIA YETU IFANYE MAAMUZI BORA KWA MSTAKABALI UJAO NA SIO HISIA ZAKE!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunajivunia kiswahili mkuu!!

Siku hizi hata ukitoa hotuba ya kiswahili congress ya America utaeleweka tu coz wanavaa translator!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tunajivunia kiswahili mkuu!!

Siku hizi hata ukitoa hotuba ya kiswahili congress ya America utaeleweka tu coz wanavaa translator!!
Juzijuzi huko Afcon captain wenu Samatta kaambiwa aache kuongea kilugha kiswahili hakitambuliki CAF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…