Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Hata mtaani mwenye bomba apangi foleni ya maji,nadhani umenielewa,mpaka leo kwenye shule za kayumba sijawahi ona indians
Sasa kwanini unaniuliza Nyerere aliwakingia kifua watu gani?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mtaani mwenye bomba apangi foleni ya maji,nadhani umenielewa,mpaka leo kwenye shule za kayumba sijawahi ona indians
Asante sana mkuu!!Tumeshazika sasa tunajibu hoja kwa hoja
Walioshadadia Kashfa ya Monduli
1) Freeman Mbowe
2) Godbless Lema
3) Chrstopher Ole sendeka
4) Anne Kilango Malecela
wote hawa wanatokea unapotokea Wewe mbaguzi
au wakati wa Kashfa ya Richmond mlikuwa bado wadogo
Waliotupiwa zigo la Monduli walifanyie kazi walikuwa Home boy ambao leo ndio hao hao wanalalamikia wakwere walivyokuwa akili nusu Mlingoti
hao hao ndio walikuwa wanamtukana Mkwere kuwalinda wana mtandao!
Mwanasiasa Mahiri na madhubuti lazima uwe mtulivu, akili nyingi sana na mvumilivu na sifa zote hizo Adui yenu mkuu anazo
Sifa kubwa sana ambayo Mkwere na Mzee wa Monduli pamoja na kutofautiana walikuwa nayo ni kutopenda kulalamika lalamika
ukim snitch anaku snitch na wakikutana kila mmoja anajibu am fine
Walimzunguka Bosi kwny Richmond nae akawapelekea moto kwa kutumia hiyo hiyo Richmond
walipotolewa nje ya Game wakaunda magenge mengi sana ya hujuma hadi migomo mikubwa mikubwa akapiga kimya akawasubiri 2015 akala kichwa
Wakahamia upande wa pili wamuoneshe show kwa kuwa wana watu na pesa nae akawaonesha ana akili na dola wakamalizana kibingwa
na wote hawakuwahi kulalamika hadharan
Kitu cha kujivunia Jk alisikiliza kilio cha Wengi cha kulipasua Kundi lake la Wanamtandao
2017 alimtumia Mzee wa Kundi Samwel Sitta kumpumzisha Ngoyai na 2010 akatumia nguvu na ushawishi wa Ngoyai kupitia NEC kuweka vipengele cha Jinsia kumpumzisha Uspika Mzee Sitta
2011 akamtumia aliekuwa Mwanamtandao wa Mzee Sumaye Ndugu Nape akampa Ukatibu wa Itikadi akaanza ku deal na mapacha watatu na Tajiri wa Igunga akavua jezi
na 2015 akakamilisha madaraka yake kwa kuhakikisha Wanamtandao hawapo tena kama kundi
Pamoja na tofauti zote na rafu zote za Siasa hakuwa na muda kuhujumu uchumi au biashara ya Mtu japo alikuwa na uwezo wa kufanya hivyo
alijua Michezo ya Siasa itaishia kwny Siasa sio kutafutana kwenye Bank Accounts na Assets za mtu
Na ndiyo sababu tumeendelea kuwa masikini na ujinga juu...nchi inaendeshwa kiuniuni tu.Mwalimu Nyerere KAMWE asingeweza kumwamini Lowasa kuwa rais wa nchi hiii
Ila kumbuka nyumba nyingi za NHC zilizoko upanga,kitumbini,kisutu,na city center zilikuwa za indians na nyerere alizitaifisha Akizialocate kwa msajiri wa majumba kabla ya kuhamishiwa TBA na NHCAsee ht najiuliza hili swali, mwenye majibu atuwekee wakuu mana naskia jamaa alikuwa na mzigo tangu enzi za TANU
Yh wanaleta hizo shida ili wazinufaishe Nchi zao !“….tungekuwa mbali Kama wazungu!”
Hao unaotamani maendeleo yao ndio wadhamini wa hizi takataka za kisiasa hapo Tanzania.
Kabisa !Huu uzi Una kwamba za kutosha!
Kama jk alikua kama makonda was Nyerere,Basi makonda wa jpm ni Rais ajaye kama asemavyo magamba matatu happy 2030!noted!Tuliokuwa ndani ya UV CCM wakati huo tunafahamu mengi sana
kama Mama Anna Makinda angeamua kuandika kitabu au kuandika ya nyuma ya pazia angeliandika vyema sana hili
Mwalimu alimwita Anna Makinda na kuna ujumbe aliotumwa binafsi kwa Jakaya na JK kabaki na siri hiyo nadhan hajawahi kuiweka hadharan aliambiwa nini na Anna Makinda
ni kama vile Mama Getrude Mongela alipopewa ujumbe rasmi na Mwalimu ampelekee Ndugu Ally Hassan Mwinyi 1985 muda mchache kabla ya uchukuaji fomu
Siasa ina mengi sana
Hatujui kwanini Jakaya baada ya kushinda kwny CCM 1995 iliamriwa kura zipigwe tena na baada ya hapo akaomba fursa azungumze japo vijana wenzie tulitamani agome
JK alikuwa Makonda wa Mwl Nyerere kwa mliokuwa hamjui
ndie alikuwa Katibu wa vikao vyote vya vita ya Kagera
ndie alietumwa kumshawishi Salim agombee Urais
ndie alie deal na Kighoma Malima n.k
pengine alipewa maelekezo maalum kuhusu Monduli maana hata Edward Moringe alitajwa sana kuwa Mrithi wa Mwalimu na ikashindikana
Hayati Jaka Mwambi aliekuwa Balozi wetu Russia na Msiri wa JK angeweza kuandika kitabu kizuri kuhusu Siasa za Wanamtandao
Huwezi kuzungumza rafu na makando kando ya Wanamtandao bila ya kuwataja Viongozi wa Wanamtandao
JK angelegea na kuruhusu kuachia Nchi wana Mtandao angelaaniwa na kila kiumbe kinachopata sunlight
Mkuu unaandika ukweli nahisi wewe unahudumu kitengo cha Siasa.Rejea hotuba za Magufuli
nakukumbusha tu
alisema hadharani hakuwa na Mpango wa kuchukua fomu ila alienda Ikulu kumshtaki Saada Mkuya kwa kutompa pesa za kulipa wakandarasi 900 billion , Jk akamuuliza Wewe huchukui fomu ?akamuuliza ninatosha ? akamjibu Wewe kachukue kutosha au kutotosha tutajua Sisi
Hapo maana yake Rais alikuwa na Plan Kadhaa kutokana na yatakayojiri
waki react hivi itakuwa hivi na jinsi walivyo react wakaamua kadri walivyoamua na iliyobaki ni historia
Sina uhakika ila ninaamini
Jakaya, Mkapa, Mangula na Kinana walikaa kama kamati kuamua nani awe nani kwa kutumia report na ushauri wa Mamlaka za kiuchunguzi na pale Dodoma walienda kutekeleza tu maamuzi maana hata Mgombea mwenza Samia anatuambia Kamati kuu walikuwa wanakula biscuit wakati vingunge wanakamilisha taratibu kupitia chumba maalum
Yule mafia yule!anajua!hapo ni toxic zone!Kwenye msiba Jk kapotea ghafla,haijulikaniki kaondokaje
wengine wameondoka kwa kuaga familia ya Lowasa ila yeye katoroka kabla hata ya Rais kuondoka
Aibu
hakumdhulumu malecele..iliikuwa kuna ununuzi mkubwa wa magari lowasa akashangaa bosi anataka kampuni mbovu ipewe ..baadaa ya magar kuja .wakaleta dola mil 2 cash ofisini sasa miaka hiyo hakuna simu kuja ofisini ndo kumkuta lowasa akawaambia anajua mzigo huo akapokea akaficha. Lowasa akakausha naxo mzee kuziulizia akamwambia tukamuulize rais .so hata ingekuwa ww mtu alitaka akupige bil 6 tena hakushirikishi ili ale apige ale mwenyewe je ww ungempa hata miaAlianza kidogo kidogo akiwa CCM mikoani.aliposhinda ubunge 1990 na kuwa ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa alizipiga kweli,akiwa ardhi ndio balaa kajimilikisha ardhi na viwanja vingi sana prime areas,kaingia mikataba ya kimagumashi sana,aliwahi kumtapeli hadi john malecele mgawo wa rushwa,malecela skiwa bosi wake,jamaa slikuwa fisadi kweli sio uongo
JK na George Bush huwa wanachukuliwa poa ila nikwambie hao ni wanasiasa kwa kurithi pia wako vizuri kichwani na ni watoto wa mjini,mafias.Geoge Bush kadoma Yale universitu chuo borasana kule USA😃JK ana bachelors toka UDSM mwaka 1975 kipindi hicho wasomi ni wachache sana nchini,makonda hata kuandika sentensi moja ya kingereza haweziKama jk alikua kama makonda was Nyerere,Basi makonda wa jpm ni Rais ajaye kama asemavyo magamba matatu happy 2030!noted!
Mkuu pohamba nakufuatilia hapa JF toka 2014Kitabu kimeshaandikwa muds mrefu huko Jijini New York ila mara kwa mara anaahirisha kukizindua kwa sababu kadhaa wa kadhaa na hasa sababu za kisiasa
Uongozi Institute walihusika kwa namna fulani kufanya review
Kikwete kuruhusu report ijadiliwe bungeni.kumzuia Dr Ibrahim Msabah aliekuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Kibaha ku approve advance payment ya 10 Billion kwa Kampuni feki ya Richmond ambayo ilikuwa ya mwisho kwenye Procurement process lakini Management ya Tanesco ikalazimishwa kwa Vimemo iwape Tender
baada ya kupewa Tender wakataka walipwe advance payment hiyo wakati haikuwemo kwny terms of contract
ndipo Mh.Rais akastukia kitu akatumia weledi wake wa kimedani akajua Watu aliowaamini wameanza kumzunguka.
Media zikaanza ku report hiyo kashfa nae akaridhia uchunguzi huru kwa Bunge kuchunguza
Report kabambe ya Uchunguzi ya Dr Harrison Mwakyembe, akisaidiwa na Eng. Stella Manyanya kama Makamu Mwenyekiti pamoja na Wajumbe kina Lucas Selelii Mbunge wa Nzega wa wakati huo wakafanya kazi kubwa na ya kizalendo
matokeo kuletwa Bungeni ikabidi ijadiliwe then watuhumiwa ambao ni Wabunge wajibu hoja
Hoja za Utetezi zilipoanza alisimama Peter Serukamba Mbunge wa Kigoma Mjini kumtetea Lowassa
lowassa akamuomba Spila Sitta amzuie Serukamba na badala yake akatangaza kujiuzulu akafuatia Karamagi then Msabaha
Rostam akiwa Katibu wa Uchumi wakati huo akabadilishwa baada ya muda mfupi
JK hakuwafanyia figisu lolote zaid ya kuwatoa kwny Serikali yake na nongwa ikaanzia hapo
Makubwa gani labda kumshawishi mama kuuza bandar na kujitajirishaBinafsi nimwombea JK na viongozi wetu wote wakuu waliopo maisha marefu na yenye baraka tele, wamefanya mengi kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Mungu Mwenyezi awajalie hekima zizidi na kutuachia urithi mzuri na misingi na mfumo imara kuhakikisha Taifa letu Tanzania li salama na katika mikono salama , na kwa Viongozi wetu walio lala Mungu Mwenyezi awajalie pumziko la amani la milele 🙏
NAKUAMBIA HIVI HUYU KIKWETE HUYU NA MADHAIFU YAKE YOTE!AMETUWEKA RELINI WENGI!!Binafsi nimwombea JK na viongozi wetu wote wakuu waliopo maisha marefu na yenye baraka tele, wamefanya mengi kwa maslahi mapana ya Taifa letu na Mungu Mwenyezi awajalie hekima zizidi na kutuachia urithi mzuri na misingi na mfumo imara kuhakikisha Taifa letu Tanzania li salama na katika mikono salama , na kwa Viongozi wetu walio lala Mungu Mwenyezi awajalie pumziko la amani la milele 🙏
😂😂😂😂😂😂😂 Tunajivunia kiswahili mkuu!!JK na George Bush huwa wanachukuliwa poa ila nikwambie hao ni wanasiasa kwa kurithi pia wako vizuri kichwani na ni watoto wa mjini,mafias.Geoge Bush kadoma Yale universitu chuo borasana kule USA😃JK ana bachelors toka UDSM mwaka 1975 kipindi hicho wasomi ni wachache sana nchini,makonda hata kuandika sentensi moja ya kingereza hawezi
Neno makubwa umelitoa wapi ndugu? Mungu ibariki Tanzania na bariki na dumisha mifumo imara na viongozi wake wote🙏Makubwa gani labda kumshawishi mama kuuza bandar na kujitajirisha
Juzijuzi huko Afcon captain wenu Samatta kaambiwa aache kuongea kilugha kiswahili hakitambuliki CAF😂😂😂😂😂😂😂 Tunajivunia kiswahili mkuu!!
Siku hizi hata ukitoa hotuba ya kiswahili congress ya America utaeleweka tu coz wanavaa translator!!