Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Safi sana
 
Umemaliza, humu wanamwagia sifa za uongo jk
 
Hahahaha
 
Hapa kuna uongo mwingi unatembea hadi inashangaza.
 
Kumbe Jakaya ni jina la Babu mzaa mama! Interesting.
 
Nilicho gundua kuna kitu kimemkwaza jk , kwenye msiba wa El, jk anaona kuna watu wanamchafua Huku wakimsifu El , bila kujua El ni jambazi Tu 😂.

Jk kwangu ni kiongozi Bora kabisa, alijali wananchi, shida ni mtandao ndio ulikuwa ukimtia aibu
Kwa kauli ya magufuli alidai kuwa laiti watanzania wangejua kilichofanyika kwenye gesi ya mtwara wangempiga mtu mawe...unadhani ni nani huyo alieiuza gesi yetu?
 
Kwa UFISADI mkubwa alioufanya Edward Lowassa nashangaa kuona ANAAGWA KIHESHIMA, ANASIFIWA na kuonekana alikuwa ni MTU WA MAANA. Sasa nimeamini kuna Taifa hapa Afrika Mashariki lina Watu / Raia WAPUMBAVU ( FOOLS ) mno.
Nitajie kiongozi ambae ana record mzuri ukimuondoa nyerere na mwinyi...kwasababu hata mumeo magufuli alikuwa anapiga kimtindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…