Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Mkuu pohamba nakufuatilia hapa JF toka 2014

Unaweza kuhisi kwanini jana kikwete alitoweka pale Monduli msibani ghafla tena akavunja protocol ya kuondoka meza kuu kabla mkuu wa nchi kuondoka?
Inadaiwa hata hakuaga!!
Alikuwa anawahi kumpokea Mh.Rais Ethiopia na ameonekana leo kwny picha kadhaa akiwa kwny uzinduzi wa Sanamu la Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere
 
Jk hajawahi kumbatia wara rushwa,, kumbuka ni awamu ya jk ambako mawaziri kibao walifungwa na kufikidhwa mahakamani ,wengine kujiuzulu akiwemo lowasa,msabaha,karamagi,tibaijuka,idd simba,etc,
Bora nmewaambia
Lowassa kujiuzulu imekuwa nongwa

Akina Zakhia Hamdan Meghji walipoteza nyadhifa zao kwa tuhuma ndogo zaid lakini hawakuwa na nongwa
 
Kumbe Jakaya ni jina la Babu mzaa mama! Interesting.
Kuna video youtube mzee mmoja mwanafamilia kule msoga kalieza hilo vizuri na sababu ya kupewa hilo jina la babu yake mzaa mama kwa sababu jina hasa alilopewa ni lile la babu upande wa baba lakini kutokana changamoto fulani iliyojitokeza akiwa bado mdogo ilibidi taratibu za kimila na tamaduni zitumike ndipo ikalazimika atumie majina yote ya babu zake.
 
Jk hajawahi kumbatia wara rushwa,, kumbuka ni awamu ya jk ambako mawaziri kibao walifungwa na kufikidhwa mahakamani ,wengine kujiuzulu akiwemo lowasa,msabaha,karamagi,tibaijuka,idd simba,etc,
Nimekuuliza, yeye hakuwa mla rushwa?? Kumbe Tibaijuka, Iddi Simba, Karamagi, Msabaha na Lowassa walifikishwa mahakamani??
 
Bora nmewaambia
Lowassa kujiuzulu imekuwa nongwa

Akina Zakhia Hamdan Meghji walipoteza nyadhifa zao kwa tuhuma ndogo zaid lakini hawakuwa na nongwa
Hawa watu wanakuaga na nongwa za kijinga sana,,just imagine Tibaijuka alikuwa kamati kuu,,leo yuko nje ya cheo,,analaumu Lowasa kukatwa,,wakati na yeye alikua kamati kuu
Nimekuuliza, yeye hakuwa mla rushwa?? Kumbe Tibaijuka, Iddi Simba, Karamagi, Msabaha na Lowassa walifikishwa mahakamani??
Katika history ya nchi hii,hakuna awamu mawaziri wanewajibika kwa wingi kama kipindi cha jk,,kuna waluofungwa,kuna waluofikishwa mahakamani,kuna waliojiuzulu,kuna walitumbuliwa,etc
 
Waliofikishwa mahakamani ni wangapi kwenye awamu ya JK? Hili swali limekuwa gumu kujibu au?
 
We jamaa vipi,,si ufanye research,,kwani mi nalipwa hapa?,nimekutajia majina,,ina maana wewe una akili nzito sana hadi huwezi ku cross check mpaka nikufanyie kila kitu?
Hujataja jina hata moja la waziri wa JK aliyepelekwa mahakamani, na huwezi fanya hivyo maana hawapo. Punguza uongo na upashkuna, kama wapo niandikie hapa yupi alipelekea mahakamani kuwajibishwa kwa ufisadi aliofanya!!
 
Huenda hujui kuwa mkutano mkuu CCM sio Kura za maoni.

Fuatilia chaguzi za CCM namna kamati kuu inatoa majina matano;
then Halmashauri Kuu inachagua 3 kati ya 5;
Mwisho mkutano mkuu unataka mshindi awe na zaidi ya 51%.

Kumbukumbu za mwisho za 2015, maana 1995 hukuwepo;
Halmashauri Kuu ya CCM ilikuwa na majina 5 January, Bernard, John, Amina na Asha.

NEC ikawapa kura nyingi John, Amina na Asha.
Mkutano Mkuu John akawa na Kura nyingi.
Kama hukuwepo 1995 na 2005; kubali kujifunza kwa waliokuwepo.
 
Sawa mzee wa systems

Sent from my SM-G998B using JamiiForums mobile app
 
Daah Ila kikwete ni mtu na nusu....ninamkubali sana huyu mwamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…