Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Hayati Lowassa alivyomponza Kikwete akatimuliwa Msasani kwa kufokewa na Mwalimu Nyerere

Kama jk alikua kama makonda was Nyerere,Basi makonda wa jpm ni Rais ajaye kama asemavyo magamba matatu happy 2030!noted!
Yule aliyesemaga yeye anakula raha kuliko mtu yeyote Nchini ??!!
😅😅🙏

Akituliza Akili anaweza !!
Lakini wengine wanasema eti anatakiwa aende Lupango 😅 !
Now we don’t know which is which !
Ngoja Tusubiri tuone 🙏🙏
 
Kwa hiyo kosa la EL ilikiwa ni kukodi ndege badala ya boda wakati wa kusaka wadhamini
1995 ni kama juzi lakini ni karibia 30 years ago,uchumi wa nchi yetu ulikuwa duni,na EL alikuwa kijana 42yrs tena mtumishi wa umma,kwa miaka ile kukodi ndege kuzunguka nchi kutafuta wadhamini halikuwa jambo dogo,lilitakiwa kufanywa na matajiri ,na falsafa za mwalimu ni kuwa tajiri=fisadi
 
Nimekuuliza, yeye hakuwa mla rushwa?? Kumbe Tibaijuka, Iddi Simba, Karamagi, Msabaha na Lowassa walifikishwa mahakamani??
Maswali Yako yamekaa ki darasa la tatu c,,,nimesema awamu yake ndio pekee nchi hii mawaziri wengi waliwajibishwa,,iwe kwa kujiuzulu,kifikishwa mahakamani,etc,,,
Kama unahakika jk alikula rushwa taja lini na wapi,sio unatuletea wasomi wakubwa mambo ya kubuni yasiyo na evidence
 
Ilitakiwa washitakiwe kwa zile tuhuma walizozitoa !! ???
Jk hanaga visasi,,angekuwa rais mwingine hao wangepotea haraka sana,jk alisubiri mda ndo uwe muamuzi mzuri,,,sasa hivi ukiwaulliza hao wachina waliouziwa gesi yote na jk mbona hatuwaoni?,hawana la kujibu,,
Karibuni tena walikuja na ushenzi wao wa kawaida eti bandari zote zimeuzwa kwa DP world,,😂😂🙆
 
Nimekuelewa sana
Sho...
Nimesoma hayo hapo juu kuhusu Prof. Malima na ningependa na mimi niseme machache niyajuayo kuhusu Prof. Malima.

Katika Bunge mwezi June 1994 Prof. Malima akiwa Waziri wa Fedha alileta mswada kuwa misamaha yote ya kodi iwe chini ya Waziri wa Fedha badala ya kuiachia iwe katika mamlaka nyingi tofauti.

Maadui zake ndani ya Bunge wakalalamika kuwa Prof. Malima alikuwa anataka kujijengea himaya.

(Kwa nini Prof. Malima alikuwa na maadui ni mada ya kujitegemea).

Hata hivyo fikra zilitulia na mantiki ikatawala kuwa hilo ni jambo jema na mswada ule ukapita.

Baada ya mwezi mmoja kupita wakati Prof. Malima yuko nje ya nchi Baraza la Mawaziri likaitishwa kwa shinikizo la Waziri Mkuu John Malecela akiungwa mkono na mawaziri wanne wakongwe nia ikiwa kugeuza suala la misamaha ya kodi uliopitishwa mwezi mmoja tu uliopita.

Prof. Malima aliporejea nchini na kukuta kuwa uamuzi wa Bunge kuhusu misamaha ya kodi umepinduliwa na Bunge, Prof. Malima alimtahadharisha Rais Ali Hassan Mwinyi kuhusu matokeo ya kwenda kinyume na maamuzi ya Bunge na matakwa ya wahisani.

Rais akaitisha Baraza la Mawaziri lililokaa kwa siku nne.

Prof. Malima alihimili hoja zote kutoka kwa maadui zake katika serikali akitetea uamuzi wa Bunge.

Baada ya siku nne Baraza la Mawaziri lilirejea nyuma katika uamuzi wa Bunge.

Maadui zake waliumia sana na chuki yao dhidi yake ikazidi.

Hayo yote ya kuwa Prof. Malima alikuwa fisadi si kweli.

Prof. Malima hakuwa na mali nimemuona kwa karibu sana nyumbani kwake jirani na Victoria na nimeiona nyumba yake Kisarawe siku ya mazishi yake.

Prof. Malima hakuwa na mali na kama alivyokuwa akipenda kusema katika uhai wake, ‘’Hakula cha mtu.’’

Ametajwa hapa Kikwete kuwa alipewa nafasi ya Waziri wa Fedha badala ya Prof. Malima lakini mwandishi kaishia hapo tu.

Inataka ushughulishe bongo lako ujiulize kwa nini Kikwete?

Yapo mengi.

Kwa nini hakuyasema mengine na ni muhimu katika historia ya Prof. Malima?

Hakuyasema inawezekana kwa kuwa hayajui.

 
Salim alikuwa kipenzi namba moja ila akashindwa kumbeba,JK alimzidi kura BWM ila ikapigwa magazijuto ni vile JK kakomaa kisiasa vinginevyo angesharopoka hii siri
Mnapo sema hicho mnachojaribu kuwa aminisha watu,muwe mnakumbuka na kanuni za uchaguzi ndani ya ccm,ni kweli kikwete aliongoza kwa kura,lkn hakufikia nusu,ikabidi msuya aliyekuwa wa tatu aondolewe,wakabaki wawili mkapa na kikwete.kambi ya msuya iliyokuwa ni kambi ya wazee,ikahamia kwa mkapa mzee, na kikwete akawa amepigwa kwa kura zaidi ya Mia tatu.
 
Naona zimeanza kugeuzwa stories baada ya hayati kutajwa na kila mtu kua hakua na ubaya wala usaliti. Zimefufuliwa makala za kumsafisha aliechafuka kwenye msiba.

Kiukweli hata Mkwere mwenyewe moyo na nafsi vinamsuta kwa aliyoyafanya kwa Lowassa..

Waliyafanya kwa Mkapa,akaja akayafanya kwa Lowassa, nafikiri pia akayafanya kwa Magufuli.
Kwa ujinga na upumbavu wako wewe,ungempa nchi rafiki yako kwa sababu ya uswahiba tu.
 
Ni vema kuweka records Sawa.
1995 majina matatu yalipelekwa mkutano mkuu.
Wagombea walikuwa
Cleopa Msuya (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais)
Benjamin Mkapa (Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
Jakaya Kikwete (Waziri wa Fedha)

JK aliongoza kwa kura akifuatiwa na BWM na Msuya akawa wa 3.
Katiba ya CCM ilitaka mshindi awe na zaidi ya 51%, kitu ambacho JK hakufikisha.

Ni uongo kuonesha JK alionewa.

Ndio maana aliposhinda kwa wingi wa kura 2005 kwa kuwabwaga SAS na Mark Mwandosya, alikuja na kauli..."safari hii, kura zimetosha".

Hoja za wazi ni vema zikajengewa hoja kwa uwezi maana kumbukumbu za 1995 tunazo.

Wasalaam!
Na huo ndio ukweli,baada ya kikwete kuongoza,hakufikia nusu ya wapiga kura woote,ikabidi msuya aliyekuwa wa tatu aondolewe,wakabaki mkapa na kikwete,ukumbuke kikwete alikuwa anabebwa ujana,na hata kampeni zake ilikuwa ni vijana dhidi ya wazee, hivyo kambi ya wazee kutoka kwa msuya wakahamia kwa mkapa,na kikwete akapigwa.
 
Kwa hiyo tuseme toka moyoni jk chaguo lake ama mbadala wake alikua Jpm?
Hapana,ni mazingira tu yalimlazimisha ampende jpm,japo ni kweli kikwete akiwa amelazwa nje kwa tezi dume, ndipo kwa mala ya kwanza alimwambia jpm ajiandae kuja kugombea urais,jpm alikataa,lkn wakati anarudi alipitia kwa rafiki yake Raila odinga na kumwambia hizo habari, raila akamwambia,kama rais kikwete ndio kakuambia jiandae,
 
Back
Top Bottom