SureHuenda hujui kuwa mkutano mkuu CCM sio Kura za maoni.
Fuatilia chaguzi za CCM namna kamati kuu inatoa majina matano;
then Halmashauri Kuu inachagua 3 kati ya 5;
Mwisho mkutano mkuu unataka mshindi awe na zaidi ya 51%.
Kumbukumbu za mwisho za 2015, maana 1995 hukuwepo;
Halmashauri Kuu ya CCM ilikuwa na majina 5 January, Bernard, John, Amina na Asha.
NEC ikawapa kura nyingi John, Amina na Asha.
Mkutano Mkuu John akawa na Kura nyingi.
Kama hukuwepo 1995 na 2005; kubali kujifunza kwa waliokuwepo.S
Sawa, msaidie huyo jamaa mniambie mawaziri gani walipandishwa karandinga waliofanya ubadhirifu awamu ya JK?ina maana hujui kuwa Mramba alikuwa pia kwny Cabinet ya Jk?
kwa kukusaidia tu alikuwa Waziri wa Miundombinu, Daniel Yona ndio hakuwa kabisa kwny Cabinet ya JK
kwani kuna Rais wa Tanzania aliwahi kufunga Waziri wake ? kwanini umechagua kwa JK sio wengine wote ?Sawa, msaidie huyo jamaa mniambie mawaziri gani walipandishwa karandinga waliofanya ubadhirifu awamu ya JK?
Mi mtu anayemponda jk, huwa sitaki hata kujadiliana naye. Kafanya mengi mazuri Mungu ampe maisha marefu.Nashangaa sana mtu anayeponda sera za JK wengine tungekuwa tunauza mihogo mitaani bila JK,
Asante sana....kwani kuna Rais wa Tanzania aliwahi kufunga Waziri wake ? kwanini umechagua kwa JK sio wengine wote ?
Ila kwa taarifa yako tu
Jakaya ndio Rais pekee Tanzania kawatia hatiani Mawaziri wawili, Katibu Mkuu, Balozi kwa tuhuma za Rushwa
AminaMungu ampe maisha marefu
Huwezi Jua kwa sababu unachosikilza na kuangalia ni habari za Zuchu, Diamond,Zari,Ali Kiba and the likes.
Nyerere alitaifisha nyumba za watu kwa maelfu,,unaweza ku justify vipi hii?watu wamesota tangu ukoloni huko,akaja kuchukua majumba...
Hujaelewa wanaosema jk aliwageuka wanamtandao?[emoji848][emoji23]
Hoja nzuri ila siyo sahihi. Katiba ya CCM haisemi hivyo ila kanuni za uchaguzi. Ila zilikuwan na mapungufu- hazisemi uchaguzi au kura za maoni. Kwenye uchaguzi ndani ya chama kujaz nafasi za chama lazima mshindi apate 50% + kura moja au zaidi. Kwenye kura za maoni hili si lazima kwani ni maoni tu ya kusaidia uteuzi wa nani ateuliwe kusimama kwenye uchaguzi kwenye dola. Bado kanuni za CCM HAZIJAJIBU CHANGAMOTO HIYONi vema kuweka records Sawa.
1995 majina matatu yalipelekwa mkutano mkuu.
Wagombea walikuwa
Cleopa Msuya (Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Rais)
Benjamin Mkapa (Waziri wa Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
Jakaya Kikwete (Waziri wa Fedha)
JK aliongoza kwa kura akifuatiwa na BWM na Msuya akawa wa 3.
Katiba ya CCM ilitaka mshindi awe na zaidi ya 51%, kitu ambacho JK hakufikisha.
Ni uongo kuonesha JK alionewa.
Ndio maana aliposhinda kwa wingi wa kura 2005 kwa kuwabwaga SAS na Mark Mwandosya, alikuja na kauli..."safari hii, kura zimetosha".
Hoja za wazi ni vema zikajengewa hoja kwa uwezi maana kumbukumbu za 1995 tunazo.
Wasalaam!
Tofautisha kura za maoni kwenye level ya majimbo na kura za mkutano mkuu wa CCM (T).Hoja nzuri ila siyo sahihi. Katiba ya CCM haisemi hivyo ila kanuni za uchaguzi. Ila zilikuwan na mapungufu- hazisemi uchaguzi au kura za maoni. Kwenye uchaguzi ndani ya chama kujaz nafasi za chama lazima mshindi apate 50% + kura moja au zaidi. Kwenye kura za maoni hili si lazima kwani ni maoni tu ya kusaidia uteuzi wa nani ateuliwe kusimama kwenye uchaguzi kwenye dola. Bado kanuni za CCM HAZIJAJIBU CHANGAMOTO HIYO
Gesi ni mali ya TPDC shirika la umma ila bomba la kuisafirisha lilijengwa na wachinaKwa kauli ya magufuli alidai kuwa laiti watanzania wangejua kilichofanyika kwenye gesi ya mtwara wangempiga mtu mawe...unadhani ni nani huyo alieiuza gesi yetu?
inatapa 65% ya umeme unaoutumia sasaHiyo gas iko wapi sasa na inafanya nini
Kanuni zinasemaje kuhusu kura ya maamuzi?Tofautisha kura za maoni kwenye level ya majimbo na kura za mkutano mkuu wa CCM (T).
Kinachofanyika kati ya majina 3 lazima kwenye duru kwa kwanza mshindi apate zaidi ya 51%.
1995 JK aliongoza kwa kura, akifuatiwa na BM na Msuya akawa wa mwisho.
Then kura zikarudiwa kati ya JK na BM, ndipo Mkapa akaongoza.
Tofautisha kabisa kura za maoni na kura za maamuzi ya Mkutano mkuu CCM (T).
Labda nikusaidie kujua nguvu ya mkutano mkuu CCM (T), Mkutano mkuu CCM (T) ukipiga kura; maana ya yake hayo ni maamuzi ya chama.
Wakati SSH anataka kujaza nafasi ya uenyekiti, ililazimu Mkutano Mkuu maalumu CCM uitishwe ili kumthibitisha kwa kura.
Hivyo, ondoa neno kura ya maoni kwenye kuchagua Mgombea Urais CCM. Pale ni kura ya maamuzi sio maoni.
Nyerere aliongozwa na Itikadi zake za kijamaa.Kama EL alikuwa fisadi kuliko JK, basi Mwl. JKN aliona mbali sana. Maana huenda leo nchi ingekuwa ishapigwa mnada hii kwa sababu ya ufisadi.
Jamaa wanamshabikia ila alikuwa muhujumu uchumi hasaAlianza kidogo kidogo akiwa CCM mikoani.aliposhinda ubunge 1990 na kuwa ofisi ya waziri mkuu kitengo cha maafa alizipiga kweli,akiwa ardhi ndio balaa kajimilikisha ardhi na viwanja vingi sana prime areas,kaingia mikataba ya kimagumashi sana,aliwahi kumtapeli hadi john malecele mgawo wa rushwa,malecela skiwa bosi wake,jamaa slikuwa fisadi kweli sio uongo
Jpm aliamini propaganda za wanachadema kwamba Rizwan alikamatwa china,Jk akapanda ndege usiku usiku kwenda kumkomboa china,by alfajiri akawa kisharudi toka china😂😂,eti JK aliwapa wachina gesi yetu in exchange for Rizone kuwa free🙆Hiyo gas iko wapi sasa na inafanya nini