Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Naam, sijui kwa nini inaaminishwa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea mudaKweli kabisa
Hata Alhaj Nkamia hakurudi
Waislamu walimpenda sana Shujaa Maguful
Zilikuwa propaganda za wahuni tuNaam, sijui kwa nini inaaminishwa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea muda
Kwa nini unasema hivyo huku hakuna ushahidi wowote zaidi ya hisia?Yalikuwa maigizo yaani kanyaboya....maana tungepigwa na kitu kizito 2025 bila ya kutegemea
Alishinda Nkasi lakini akapewa Aida wa ChademaJe huyo Ally kesi 2020 alishinda ?
Ulitka arudi bungeni hata Kama Alishindwa.
Dini kubwa nchini ni Ukristo na Uislamu. Nchi hii Wakristo walio wengi ni Wakatoliki, Waluteri na Waanglikana àmbao Kwa Sasa wamefunga Kwaresma. Waislamu wako kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan. Inakuwaje Mtu unasema uongo comfortably ukiwa kwenye mfungo? Au wewe ni Msabato hujafunga? Na wasabato uongo ni dhambi inayokemewa Kwa nguvu zote. Au ni mlokole? Walokole na uongo ni Paka na Panya. Hujui yaliyotokea Nkasi kaskazini Bora ukae kimya.Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Wote "walioshinda" walishinda?Je huyo Ally kesi 2020 alishinda ?
Ulitka arudi bungeni hata Kama Alishindwa.
Wahuni wakisaidiwa na wapinzani uchwara waliokata tamaa ndio waliokua wakieneza propaganda chafu!Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Uwongo wangu ni upi?Dini kubwa nchini ni Ukristo na Uislamu. Nchi hii Wakristo walio wengi ni Wakatoliki, Waluteri na Waanglikana àmbao Kwa Sasa wamefunga Kwaresma. Waislamu wako kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan. Inakuwaje Mtu unasema uongo comfortably ukiwa kwenye mfungo? Au wewe ni Msabato hujafunga? Na wasabato uongo ni dhambi inayokemewa Kwa nguvu zote. Au ni mlokole? Walokole na uongo ni Paka na Panya. Hujui yaliyotokea Nkasi kaskazini Bora ukae kimya.
Hajui kilichotokea akae kimya tu. Mkurugenzi aliyekuwa Nkasi kipindi hicho Kwa sasa yuko Mbarali amuulize atamjibu kilichotokea.Je huyo Ally kesi 2020 alishinda ?
Ulitka arudi bungeni hata Kama Alishindwa.
Kilitokea nini?Dini kubwa nchini ni Ukristo na Uislamu. Nchi hii Wakristo walio wengi ni Wakatoliki, Waluteri na Waanglikana àmbao Kwa Sasa wamefunga Kwaresma. Waislamu wako kwenye mfungo mtukufu wa Ramadhan. Inakuwaje Mtu unasema uongo comfortably ukiwa kwenye mfungo? Au wewe ni Msabato hujafunga? Na wasabato uongo ni dhambi inayokemewa Kwa nguvu zote. Au ni mlokole? Walokole na uongo ni Paka na Panya. Hujui yaliyotokea Nkasi kaskazini Bora ukae kimya.
Mbona wewe unaogopa kusema kama ni Cha kweli?Hajui kilichotokea akae kimya tu. Mkurugenzi aliyekuwa Nkasi kipindi hicho Kwa sasa yuko Mbarali amuulize atamjibu kilichotokea.
Wote "walioshinda" walishinda?
Wewe uko Iringa hapo, sogea hapo Mbarali ni jirani mtafute Mtu anaitwa Misana Kwangura. Msituketee uongo eti Kessy alitolewa na Magufuli.Mbona wewe unaogopa kusema kama ni Cha kweli?
Yule mwehu alikuwa anawazuga tu watu kama ninyi lakini lengo lake lilikuwa ni kutawala milele na ndiyo maana marafiki zake wakubwa walikuwa ni Yoel Mseven na Paul Kagame.Na hata kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 alikodi wanajeshi kutoka Burundi,Rwanda na Uganda kuja kusimamia uchaguzi.Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,