Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
- Thread starter
- #41
Mzee mimi siko hapa kumsafisha Magufuli, ni kweli alikuwa na mapungufu yake lakini hilo la kujiongezea muda anapakaziwa,We chawa wa shetani acha uwongo. Ila pia nashukuru umethibitisha kwamba magufuli alitumia madaraka vibaya kuingilia uchaguzi na kuamua huyu awe au asiwe mbunge.
Kama una ushahidi kuwa alikuwa akifanya mipango hebu weka hapa