Hayati Magufuli alichukizwa sana na waliotaka abadili katiba ajiongezee muda ndio maana Ally Kessy hakurudi Bungeni

We chawa wa shetani acha uwongo. Ila pia nashukuru umethibitisha kwamba magufuli alitumia madaraka vibaya kuingilia uchaguzi na kuamua huyu awe au asiwe mbunge.
Mzee mimi siko hapa kumsafisha Magufuli, ni kweli alikuwa na mapungufu yake lakini hilo la kujiongezea muda anapakaziwa,
Kama una ushahidi kuwa alikuwa akifanya mipango hebu weka hapa
 
Angekataa kwenye uchaguzi wa 2020 kupendelea chama chake basi mimi ningeamini aliyokuwa anasema.
Hilo la kufuta vyama vya upinzani alilitamka mara nyingi sana, na kuwa watakaochagua upinzani hawatapewa maendeleo, so hakuna kitu alichodanganya kuhusu upinzani.... aliahidi atawafuta na akatekeleza
 
Vibaraka wa ubeberu ndio katika mpango wao ilikua muhimu kuonesha magufuli alitaka kujiongezea muda. Hiyo ilikua muhimu kwao ili kuthibitisha uongo wao eti magufuli ni dikteta.
Kwa kawaida madikteta kama paul kagame na wale marais wa gabon, uganda, equatorial guenee, na togo hung'ang'ani madara hadi wafe au wapinduliwe na kwa kawaida walirithi urais toka kwa baba au wenyewe hupanga kuwarithisha urais watoto wao. Magufuli hakua kabisa kundi hilo. Yeye alizingatia katiba na fisadi wapinga maendeleo hawakutaka rais anayesimamia haki badala yakupiga kelele tu eti anasiamia utawala wa sheria.
 
Sio kweli angekuwa hapendi angekemia au ungesikia polepole anakemia ndivyo alivyokuwa.
Ally mwenyewe alisema alifanya hivyo kumfurahisha magu baada ya kutofautiana naye
 
Ni mtu mjinga tu kama wewe ambaye anafikiri hilo ingewezeka kwenye nchi ambayo kila kitu kipo wazi kwamba baada ya Miaka10 transition inafanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…