Alipopora uchaguzi Ili kuwe na wabunge wa ccm tu lengo lake lilikuwa ni Nini?Naam, sijui kwa nini inaaminishwa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea muda
🤣 🤣 🤣Alishinda Nkasi lakini akapewa Aida wa Chadema
Mkuu una uhakika??Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Aipenda sana iwe hivyo ila alizuga baada ya kuona anaonekana kiumbe wa ajabu tanzania. Na wakubwa zake kumheuka kabisa kuhusu hiloNaam, sijui kwa nini inaaminishwa Magufuli alikuwa
Duh .Aipenda sana iwe hivyo ila alizuga baada ya kuona anaonekana kiumbe wa ajabu tanzania. Na wakubwa zake kumheuka kabisa kuhusu hilo
Sijui mkuu, hebu nielezeeMkuu una uhakika??
Unajua maana ya bunge lote kuwa la wabunge wa CCM?
Unajua sababu ya Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar licha ya wabunge kutoka Zanzibar kumkataa??
Unajua sababu ya Maalim seif kwenda Chato??
Unajua sababu ya kifo Mkapa???
Shukuru, Mungu aliingilia kati!
Alimfukuza kwa vile ali-leak-isha mpango mapema. Alitoa siri ya Magufuli kuongeza muda kabla ya wakatiWengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Alikuwa hapendi tu wapinzani, aliamini wanatumika na mabeberuAlipopora uchaguzi Ili kuwe na wabunge wa ccm tu lengo lake lilikuwa ni Nini?
Kwa hiyo Ndugai hakurudi Bungeni? Na alipolipanga bunge lote liwe la CCM?Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Vipi kuhusu Ndugai mbona alirudi mjengoni licha ya kusisitiza kwamba "atake asitake tutamuongezea muda".Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Ndugai hakusema Magufuli aongezewe mudaKwa hiyo Ndugai hakurudi Bungeni? Na alipolipanga bunge lote liwe la CCM?
Aliyesema atake asitake ni Ally Kesi sio ndugai, kasikilize tena videoVipi kuhusu Ndugai mbona alirudi mjengoni licha ya kusisitiza kwamba "atake asitake tutamuongezea muda".
Hata Ndugai mkuu nina uhakika tena alikuwa front line kuhakikisha 2025 jamaa anaongezewa muda.Aliyesema atake asitake ni Ally Kesi sio ndugai, kasikilize tena video
Ulikuwa ni usanii tu,ili aonekane kuwa hana nia ya kutaka aongezewe muda,na ANAWACHUKIA wanaotaka aongezewe muda. Kama angekuwa halitaki hilo,angemkemea Spika Ndugai, alivyosema, "ATAKE ASITAKE,ATAONGEZEWA MUDA"Alishinda Nkasi lakini akapewa Aida wa Chadema
Wakati ndo alikuwa anawatuma akina ndugai na kessy wapush agenda na yeye ajifanyr hataki. Yule angefia madarakani ama jeshi limpindue. Awamu moja tu nchi kaisambaratisha vibaya mno. Ukabila, udini, ukanda, umaskini aliviimarisha haswaaWengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Kama aliamini hivyo kwa hisia zake, ni kipi kingemshinda kubakia madarakani kwa kisingizio Cha kuzuia hao mabeberu?Alikuwa hapendi tu wapinzani, aliamini wanatumika na mabeberu
Sasa ukisha nyongwa hiyo haki utaipataje katika hali ya umarehemu?Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Iko hivi, lile kundi la mafisadi lilijipanga kutengeneza uongo kama ule wa kusema Dkt Ahmed Salim ni Mhizibu, na iliaminika kweli kuwa ni gaidi. Dkt Samia wanaweza mtafutia kitu kabla ya 2025 kama vile ile dhana ya termination ya old ambayo iko imesambaa kama moto mitaani ila yeye hajui na walivyoona Makonda anataka kuifuta hiyo dhana kumsafisha Dkt Samia wakamtoa fasta fasta na wanataka wampoteze kabisa kwenye siasa. Ila hilo kundi kuongozi wake sijui nani huyu ambaye historia yake inaanzia kumsingizia Dkt Salim ni MhizibuWengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,