MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
wahuni wananjia nyingi za kumchonganisha kiongozi na umma na hiyo ya kukwamia kwenye urais ni mojawapo,ili wapate sababu ya kufanya Yao.Naam, sijui kwa nini inaaminishwa Magufuli alikuwa anataka kujiongezea muda
nyie wahuni hamkosi maneno,mara haukuwa uchaguzi mara alikodi wanajeshi kuisimamia uchaguzi walisimama wapi? sisi mbona hatujawaona?kosa vyeti feki, mishahara hewa,kujimilkisha mali za umma,kuongeza ufanisi wa utumishi wa imma,Yule mwehu alikuwa anawazuga tu watu kama ninyi lakini lengo lake lilikuwa ni kutawala milele na ndiyo maana marafiki zake wakubwa walikuwa ni Yoel Mseven na Paul Kagame.Na hata kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 alikodi wanajeshi kutoka Burundi,Rwanda na Uganda kuja kusimamia uchaguzi.
Kwa kuhakikisha CCM inashindaa kwa kishindoKama aliamini hivyo kwa hisia zake, ni kipi kingemshinda kubakia madarakani kwa kisingizio Cha kuzuia hao mabeberu?
Alikuwa akimtuma Polepole mara nyingi kukanusha ila watu wakawa wanajipendekeza kwake kwa nguvuWakati ndo alikuwa anawatuma akina ndugai na kessy wapush agenda na yeye ajifanyr hataki. Yule angefia madarakani ama jeshi limpindue. Awamu moja tu nchi kaisambaratisha vibaya mno. Ukabila, udini, ukanda, umaskini aliviimarisha haswaa
Alimkemea, nyuma ya pazia lakini, na alitaka amtoe kwenye uspikaUlikuwa ni usanii tu,ili aonekane kuwa hana nia ya kutaka aongezewe muda,na ANAWACHUKIA wanaotaka aongezewe muda. Kama angekuwa halitaki hilo,angemkemea Spika Ndugai, alivyosema, "ATAKE ASITAKE,ATAONGEZEWA MUDA"
Ndugai alipewa onyo kali kwa kuendekeza huo mjadala na alikuwa ang'olewe kwenye uspikaHata Ndugai mkuu nina uhakika tena alikuwa front line kuhakikisha 2025 jamaa anaongezewa muda.
Ndugai alipewa onyo kali na Magufuli kwa kushabikia huo mjadala.
Wewe ulijuaje huo mpango wa nyuma ya pazia kama sio hisia zako tu?Alikuwa akijifanya mjanja maana alisema hatazidisha hata dakika moja kwa mujibu wa katiba lakini nyuma ya pazia alikuwa na mpango wa kubadili katiba ili aendelee na angesema hajaenda kinyume na katiba.
Ndiyo akajiua? Bwege kweliWengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita,
Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata sekunde moja Ikulu baada ya muda wake kupita
Na Mbunge wa Nkasi aliposimama Bungeni na kusema licha ya Magufuli kukataa kuongeza muda watamlazimisha, atake asitake, Magufuli kuthibitisha kuwa yupo serious, mbunge Ally Kesi hakurudi Bungeni, na akawa mbunge pekee wa CCM kung'olewa na mbunge wa Chadema jimboni
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni
Wewe ulijuwaje kama alikuwa hapendi kuongeza muda au na wewe ni hisia zako tu? Tambua mswahili sio mtu wa kuamini kauli zake.Wewe ulijuaje huo mpango wa nyuma ya pazia kama sio hisia zako tu?
Mzee wewe ndio unatuhumu, ukituhumu ndio unatakiwa uthibitisheWewe ulijuwaje kama alikuwa hapendi kuongeza muda au na wewe ni hisia zako tu? Tambua mswahili sio mtu wa kuamini kauli zake.
Alisema atatoa milioni 50 kwa kila kijiji, alitoa?Mzee wewe ndio unatuhumu, ukituhumu ndio unatakiwa uthibitishe
Magufuli alitamka zaidi ya mara 10 hana mpango wa kuongeza muda, wewe unasema alikuwa na mpango huo, unatunia kigezo gani?
Alikuwa hataki Nia yake uwe wazi mapema maana anajua makundi ya madaraka ya urais yangemkwamisha. Inshort hakutaka kiherere kwenye hiyo Nia yake ovu.Ndugai alipewa onyo kali kwa kuendekeza huo mjadala na alikuwa ang'olewe kwenye uspika
View: https://youtu.be/Y7Ng6KZiR-E?si=CUzywXkQWhQyiTb3
Magufuli Yule aliyewaonya Wakurugenzi watakao watangaza washindani walioshinda uchaguzi?Ndugai alipewa onyo kali na Magufuli kwa kushabikia huo mjadala.
Magufuli alitamka waziwazi hapendezwi na huo mjadala
View: https://youtu.be/Y7Ng6KZiR-E?si=CUzywXkQWhQyiTb3