Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Hayo yote ya kuonekana masikini wana roho mbaya ni kwa sababu ya Magufuli kuwatizama kwa karibu au kujiweka karibu na hao masikini kiasi cha hao wanyonge kuweza kulalamikia jambo na wakasikilizwa, hilo tu ndio linafanya waonekane wana roho mbaya na kutaka matajiri wafilisike.
Sio Hilo tu boss.. Popote Pale Masikini huwa wanataka Tajiri afilisike..ateseke kama wao..
 
Back
Top Bottom