Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Mwamba alijuwa kutuhudumia watu wa Hali ya chini kwa kutupatia hakinzetu bilamkichelweahwa

Ardhi huporwi....

Makazi rasimisha....

Maji haya hapa....

Taneco umeme fasta waungamishiwa...

Tanesco umeme haukatiki......

Hospitali kila Kona.......

Maofisini huduma kwa bidii....
..

Maxhinha hasumbuliwi....

Kiwanda ndogo mpya siku chache kibali....

Ndio ujuwe wengi wa watanzania tuko kundi hili.
We kweli mnyonge hizo x x
 
Watanzania zamani tulikuwa tunagawanyika kwa dini tofauti na makabila lakini hatukuwahi kujigawa kwa mambo hayo japo kidogo tulianza kusikia baadhi ya haya akaja kiongozi akaleta tabaka jingine matajiri na maskini kana kwamba umaskini wako ni kwa sababu ya hawa matajiri. Serikali hii ya watu maskini na wanyonge matajiri hawakuwa na mtu wa kutetea. pesa hizi za maskini wanyonge wakati walipa kodi kubwa matajiri. Muhimu ni kauli zilikuwa hazina maana yoyote bali ku manipulate watu maana wewe kiongozi wa nchi sio tabaka fulani na nchi kila ikiongeza matajiri ni bora kwa nchi. Hakuna neno nalichukia kama wanyonge na unakuwa mnyonge kweli.
 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
Sio wa vipato vya chini, sema maskini wenye roho mbaya kwa matajiri
 
Alikiuwa anawaambia wao ni wanyonge na kwamba wamechezewa sana? Halafu anamalizia na kumtumbua afisa mmoja wa karibu aliyepo hapo wananchi weweeeeeeee.[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Umeongea ukweli [emoji817][emoji817][emoji817]
 
Alikiuwa anawaambia wao ni wanyonge na kwamba wamechezewa sana? Halafu anamalizia na kumtumbua afisa mmoja wa karibu aliyepo hapo wananchi weweeeeeeee.[emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Nenda na wewe ukawaambie uone kama watakuamini.
 
Njia ni rahisi tu.

Masikini wengi wana roho mbaya, wivu na akili ndogo hivyo:

Kwasababu huwa wana wivu na chuki kwa kila aliyenacho, wewe hakikisha unatukana kila siku mwenye nacho na kuwadhalilisha hadharani huku ukiwasifia wao masikini.

Tukana sana wazungu. Na hakikisha wakikupa pesa zao, hao masikini wasijue.

Dhibiti habari zote za mabaya yako, hakikisha unasifuwa na kutangazwa muda wote kwenye vyombo vya habari kwa mema tu.

Jifanye mcha mungu, na kila ukienda kwenye ibada hakikisha watu wanajua na picha zinatoka ukiwa mnyenyekevu.

Ukimsaidia ombaomba hata Jero hakikisha unachukua picha na video na zinaruka kila wakati kwenye TV ili kukuonesha ulivyo mwema .

Kila ukiongea na tajiri au mwenye cheo hakikisha unamfojea LIVE kwenye TV ili watu waone.
Hii naomba nii-screenshoot ili nikaiweke kwenye maktaba yangu
 
Jamaa alikuwa genius wa kufanya manipulation hatari, alaf anaongea kana kwamba ana uchungu kweli na kiukwel hamna alichowafanyia kikubwa.... Mwamba alikuwa mhuni Sana Yule
Mhuni ni wewe, usiejielewa uliejawa na chuki. Kama ulidhani matatizo yako alisababisha Magu, sasa amekufa na bado hali yako itaendelea kuwa hivyo hivyo.
 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
Wanaofanikiwa kufanya hivyo Mungu huwapenda zaidi haraka sana ili kuepusha shali kwa sababu "they side with low resource people to win cheap popularity".
 
Hata hitler alipendwa Sana na wanyonge na kanuni yake kubwa ni kuwajengea uzalendo wa kuipenda nchi yao, kumpenda yeye kuliko nafsi zao na vizazi vyao.
Sifa kubwa ya madikiteta popote duniani ni kujipendekeza kwa "wanyonge" (low resource people) ambao uwezo wao wa kuchambua mambo ni mfupi. Na hawa "wanyonge" ndiyo wengi katika jamii. Madikteta huwaogopa watu (high resource people) ambao wanauwezo wa kufikiri na kuhoji matendo yao.
 
Masikini wana Roho Mbaya sana.. Ndoto zao Tajiri afilisike waungane nae
Hayo yote ya kuonekana masikini wana roho mbaya ni kwa sababu ya Magufuli kuwatizama kwa karibu au kujiweka karibu na hao masikini kiasi cha hao wanyonge kuweza kulalamikia jambo na wakasikilizwa, hilo tu ndio linafanya waonekane wana roho mbaya na kutaka matajiri wafilisike.
 
Sifa kubwa ya madikiteta popote duniani ni kujipendekeza kwa "wanyonge" (low resource people) ambao uwezo wao wa kuchambua mambo ni mfupi. Na hawa "wanyonge" ndiyo wengi katika jamii. Madikteta huwaogopa watu (high resource people) ambao wanauwezo wa kufikiri na kuhoji matendo yao.
Sasa huo udikteta wanakuwa wanawafanyia kundi lipi sasa maana nilitegemea hao wanyonge ambao ni wengi ndio wanakumbana na huo udikteta ila sasa unasema madikteta hujipendekeza kwa wanyonge.
 
Kwa michango ya watoa mada.
Hayati alikuwa ni dikteta kwa kikundi kidogo sana cha watanzania ambao ni matajiri na wenye uwezo ambao hawafiki hata 1% ya watz.
Sasa kama ni hivyo basi alikiwa sahihi maana hata wenyewe hawajitokezi wakasema alowadikteta badala yake ni hivi vifukara vya JF vinavyojifanya vitwtezi vya matajiri walioonewa.

Hawa jamaa wanajichanganya sana, na inaonyesha hawa vibaraka wa matajiri ndio wanachuki na JPM kwa kuwa brainwashed na matajiri.
 
Watanzania zamani tulikuwa tunagawanyika kwa dini tofauti na makabila lakini hatukuwahi kujigawa kwa mambo hayo japo kidogo tulianza kusikia baadhi ya haya akaja kiongozi akaleta tabaka jingine matajiri na maskini kana kwamba umaskini wako ni kwa sababu ya hawa matajiri. Serikali hii ya watu maskini na wanyonge matajiri hawakuwa na mtu wa kutetea. pesa hizi za maskini wanyonge wakati walipa kodi kubwa matajiri. Muhimu ni kauli zilikuwa hazina maana yoyote bali ku manipulate watu maana wewe kiongozi wa nchi sio tabaka fulani na nchi kila ikiongeza matajiri ni bora kwa nchi. Hakuna neno nalichukia kama wanyonge na unakuwa mnyonge kweli.
Mpaka wameitwa wanyonge maana yake walisharidhika na hali ya kuonekana kuwa wao si kitu ni dhalili wapo wapo tu, kwahiyo kwao Magufuli alikuwa ni kiongozi aliyekuja kuwaheshimisha hilo kundi pamoja na umasikini wao.
 
Kwa michango ya watoa mada.
Hayati alikuwa ni dikteta kwa kikundi kidogo sana cha watanzania ambao ni matajiri na wenye uwezo ambao hawafiki hata 1% ya watz.
Sasa kama ni hivyo basi alikiwa sahihi maana hata wenyewe hawajitokezi wakasema alowadikteta badala yake ni hivi vifukara vya JF vinavyojifanya vitwtezi vya matajiri walioonewa.

Hawa jamaa wanajichanganya sana, na inaonyesha hawa vibaraka wa matajiri ndio wanachuki na JPM kwa kuwa brainwashed na matajiri.
Mimi nashindwa kuelewa maana wanakubali kuwa masikini ndio wengi kuliko hao matajiri ila kila anayekuja anasema masikini wana roho, sasa hawa jamaa nao ni masikini au ndio matajiri wenyewe?
 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
Watetezi wa marehemu bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Baada ya Rais Mstaafu Kikwete kutoka Madarakani Matajiri walikuwa na Jeuri za kila aina mpaka Kuamua Uhai wa Watu Masikini na wasifanywe lolote lile kwani walimweka Mifukoni mwao.

Alipoingia Hayati Rais Dkt. Magufuli alitaka Kuwaheshimisha Masikini (GENTAMYCINE nikiwemo) kuwa hata Sisi pia ndani ya hii Ardhi ya Mama Tanzania pia tuna Thamani yetu hivyo akatupa (akatujaza) Jeuri mpaka Matajiri nao wakaanza Kutunyari (Kutuogopa)

Kwa hivi sasa ndani ya huu Utawala wa Rais Mama Samia Matajiri na Masikini bado tunamsikilizia (tunampima) Mama tuone Yeye atalia upande wowote ili tuanze Kumlaumu (Kumsiliba) japo ninavyomuona ni kama vile anataka kutuweka katika Mzani sawa kitu ambacho si kibaya pia na Mimi nakiunga mkono.
Kwisha habari yake kmmmk. Aliwaosha sana vichwa vyenu vikawa empty. Mkawa mnaimba mapambio tu. Kweli Mungu fundi
 
Back
Top Bottom