Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Hayati Magufuli alifanikiwaje kuwafanya watu wa vipato vya chini kumuamini kiasi kile?

Nimezungumzia hao unaowaita madikteta wenye mawazo ya kimasikini ila ndio hao mnasema wanajilimbikizia mimali.
Wanajilimbizia eti wanawawekea watoto wao wasiishi walivyoishi wao hii ni Nadharia chafu kabisa maana hata baba zao wakifa wajukuuu utopea kwenye umasikini tena SAwa na wananchi wa kawaida.Thus wenzetu wao utengeneza future ya watu wote na sio ya watoto wao kama ilivyo watawala wa kiafrica
 
Ushawahi kuona wale ndondocha wa kwenye maduka ya wahindi, uwa wako royal sana kwa maboss wao wakati hakuna wanachopata wala hawawezi kuwa na maisha ya maana.
Ukitaka mtu awe royal sana kwake, mfanye awe maskini zaidi, mfanye asijue haki zake, mtengenezee propaganda kuwa flani ndiye adui yake. Mfano umaskini wake umesababishwa na mabeberu wakati ni chama tawala kilichipo madarakan toka uhuru lakini limeshindwa kymanage resources.
Chagua mmoja kati yao piga naye picha mpe laki moja, maskini watakuona wewe mtu wa maana sana hadi unapiga nao picha
Unaiita afrika ndondocha we jinga sana.

Kwenye shindano nani awe rais bora africa uzi uliletwa humu na wakina mayalla jinsi watu sehemu mbalombali wazungu na weusi wanasema hakuna kama JPM.

Mkuu matajiri wwngi wakubwa nilioongea nao wanamkubali sana
 
We lofa kweli mbona unataka kujifanya kama unanijuwa sana? Chukua time hata nishinde 24/7 hapa JF huwezi nipangia chakufanya .sawa?
We shida yako sio JPM shida yako ni udini.

Ukitoka hapo utakuwa mtu mzuri tu.
 
Tulibakia hatua chache tu kuelekea kwenye Civil Unrest,

Magufuli was a perfect solution at the time.

Hii ligi hata huko kwa mabeberu ipo

Na fimbo inayotumika ni punguzo la kodi.

Kikiingia chama flani kinawajali wanyonge (democrats/america)

Kikiingia kingine kinawajali mabeberu halisi (republican/america).

Ni ligi endelevu.
Aisee
 
Mara hao watu ni wajinga mara tena wanatishwa sasa nikuelewa lipi?

Ujinga wao ndio unaotumika kuwatisha, hatimaye kujifanya wanakipenda hicho chama cha majizi ya kura.
 
Madikiteta huwajaza ujinga watu wa hali ya chini ili wawasujudie..udikteta ni dini ya kishetani kabisa
 
The Roman poet Juvenal, in his satires, said that to rule over poor Romans, two basic things were needed.

Bread and circuses.

It seems like Magufuli managed with circuses alone.
 
Ni watu wachache na wema sana ndio anapata bahati ya kupendwa sana hususan viongozi wanaojishusha na kusimama kwa wale wasio na sauti.Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee Atakumbukwa daima.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli was a real Genius.

Aliweza kuwafunga midomo wote.

 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
aliwatisha
 
Madikiteta huwajaza ujinga watu wa hali ya chini ili wawasujudie..udikteta ni dini ya kishetani kabisa
Kuna mtu namjua hana kazi mjini na starehe yake ni ulevi, ila nae alikuwa hampendi Mwendazake na alivyokufa kuona ni sawa sawa ila sababu ya yote ni kwamba utawala wa Magufuli hakukuwa na bia za bure na kupiga sana vizinga na hayo ndio mambo yaliyomgusa na kumfanya amchukie Magufuli.

Sasa watu mdano wa hao ndio wako wengi unaona wanazungumia udikteta lakini kumbe tatizo hata sio udikteta bali ana hasira zake kwa sababu zengine zenye kuhusu maslahi yake binafsi.
 
Jana maeneo ya matumbi matraffic wakiwa wametanda kila kona, Dereva wa daladala alipowaona tu akasema " Baba yetu amefariki sasa wameanza kutusumbua".

Kauli kama hizi zimekuwa zikisikia kwa watu wa vipato vya chini kuona kama hayati alikiwa ndio kila kitu. Na sasa hivi kila rekebisho linalotokea na litakalotokea inaonekana ni kwa sababu mtetezi wao hayupo.

Hizo mbinu alizotumia kuteka mashabiki wengi kuliko wafuasi wa chama chake ni zipi na kwa nini wabunge, madiwani na serikali za mitaa walishindwa kututeka hivyo miaka yote?

Angalau Deo Filikunjombe na yeye alifanikiwa kwa kiasi flani.

Nawasilisha
Hata yule mzee wetu tunayemsifia sana nae aliaminiwa sana na wananchi pamoja na kuifilisi nchi huku akiwasingizia mabeberu kwa shida alizotusababishia... hawa huitwa WADANGANYIKA kipi hawajui ni haki yao wala kipi hawajui wanaingizwa chaka... huyo dereva wa daladala mnyonge amesahau haohao trafiki waliambiwa "wachukue hela za kubrashi viatu si rushwa!!!"
 
Njia ni rahisi tu.

Masikini wengi wana roho mbaya, wivu na akili ndogo hivyo:

Kwasababu huwa wana wivu na chuki kwa kila aliyenacho, wewe hakikisha unatukana kila siku mwenye nacho na kuwadhalilisha hadharani huku ukiwasifia wao masikini.

Tukana sana wazungu. Na hakikisha wakikupa pesa zao, hao masikini wasijue.

Dhibiti habari zote za mabaya yako, hakikisha unasifuwa na kutangazwa muda wote kwenye vyombo vya habari kwa mema tu.

Jifanye mcha mungu, na kila ukienda kwenye ibada hakikisha watu wanajua na picha zinatoka ukiwa mnyenyekevu.

Ukimsaidia ombaomba hata Jero hakikisha unachukua picha na video na zinaruka kila wakati kwenye TV ili kukuonesha ulivyo mwema .

Kila ukiongea na tajiri au mwenye cheo hakikisha unamfojea LIVE kwenye TV ili watu waone.
Hakika Mkaruka
 
Kitu pekee alichotumia ni kuwaaminisha kwanza umasikini wao umesabishwa na awamu zilizopita, pili umesababishwa na mabeberu, na tatu umesababishwa na matajiri.

Aliwafurahisha pale alipowaaminisha kuwa katika utawala wake tajiri anaweza kufanywa kitu chochote, na mwisho akaishi kama shetani, na hili kweli tuliiona.

Mwendazake alitumia umasikini kama sifa ya kuendelee kutawala, alitengeneza masikini wengi kuliko matajiri.

Mwisho kabisa Mwendazake alikuwa mshamba wa madaraka asiyejua umuhimu na nafasi ya watu matajiri katika kujenga uchumi imara wa nchi.
 
Mwamba alijuwa kutuhudumia watu wa Hali ya chini kwa kutupatia hakinzetu bilamkichelweahwa


Ardhi huporwi....

Makazi rasimisha....

Maji haya hapa....

Taneco umeme fasta waungamishiwa...

Tanesco umeme haukatiki......

Hospitali kila Kona.......

Maofisini huduma kwa bidii....
..

Maxhinha hasumbuliwi....

Kiwanda ndogo mpya siku chache kibali....


Ndio ujuwe wengi wa watanzania tuko kundi hili.
 
Back
Top Bottom