Kwani ni lazima waambukizwe au waugue serious na pengine wafe? Umeshikiwa akili zako na Gwajima ee...!?
Unataka kusema wewe hujawahi kuwa karibu au kukutana na wagonjwa wa corona?? Je uliambukizwa, na kama uliambukizwa ni kwa kiwango uliuugua..!?
Kwahiyo family ya Magufuli iliambukizwa na haikujulikana?Na inawezekana vipi kwa ugonjwa hatari sana kama Corona kuwe na kificho?Umekazania Habari za Anna,una uhakika ni kweli alikufa Corona au ni Propaganda za kutisha watu wasalim amri ktk Corona?
Kujadili na watu waliokariri shida sana.Anna ndiyo nani?
Kama ni Amne rejea kwenye mada kujua msingi wa hoja kumbe umerukia treni kwa mbele tu?
Hiiiiii bagosha!
ππππLakini isiwe kwa uzembe na kupuuzia mambo serious!
Kama kwako huo ndio utetezi hebu jinyonge au unywe sumu ili urudi humo mavumbini!
Pole mkuuThe accomplices are still amongst us. They are still marauding unchecked. It is not acceptable by any standard.
Corona: Orodha ya wahanga, sampuli
It had been the position from the time their I'll intention was understood. This is not at all new.
Kujadili na watu waliokariri shida sana.
Magufuli kafa Corona, inawezekana vipi mke na family waliokaribu hawakupata na tuliowaona msibani wako safi tu?We unaleta blah blahChako ni kipaji [emoji16][emoji16]
siongelei nyuzi za Jf ww katika maoni yako hapo juu umeeka makala ya zitto kuhus korona je baada ya kukubali chanjo umemsikia huyo zitto akipongeza hatua ya serikali?Hizi ni baadhi ya nyuzi zetu JF baada ya awamu ya tano kuhusiana na ugonjwa huu:
1.Yanayotukonga nyoyo zetu kutoka kwa Rais Samia Suluhu
2.Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa
3.Chanjo ni dhidi ya Waafrika? Namba Hazidanganyi!
4.Kwanini kama Taifa Corona ni tishio kubwa?
5.Corona: Kama Taifa, inafurahisha Busara inapoendelea kutamalaki
Hisia zako zina makengeza mkuu?
Si mbaya kujifunza ku search. Itakusaidia kuacha kuandika unaoweza kuonekana kuwa ni utopolo.
Ziko nyingi za kumwaga.
Hiiiiii bagosha!
Unaelewa kwanini kuna social distancing?Unaelewa kwanini wagonjwa wa Corona hutibiwa kwa wauguzi kuvaa mavazi maalum?Au Corona ya bongo ni tofaut na tunayooneshwa huko MAGHARIBI?
Sijawahi fanya na sijawahi dhurika coz HAKUNA CORONA. Ingekuwepo ngekua nimekufa kitambo sana maana mazingira nayoishi ni rahisi 100% kupata Corona.Wewe hayo yote unafanya hadi hivi sasa? Ikiwemo social distancing?
Nimekuuliza maswali rahisi tu, lakini unambwela tu! Hovyo kabisa hiyo brain yako...
Ni lini Magufuli alisema hakuna korona?Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19.
Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo.
Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa Waziri Mkuu mstaafu huyu, ambaye alifariki 20 Oct 2020 kwa ugonjwa hatari wa UVIKO.
Hayati Magufuli kwa wakati huo Rais wa JMT kumbe alijua akamuombea ila akaendelea kudai hakukuwa na Corona nchini.
Roho ngumu kabisa za binadamu zenye kustahili kuangaliwa vinasaba vyake.
siongelei nyuzi za Jf ww katika maoni yako hapo juu umeeka makala ya zitto kuhus korona je baada ya kukubali chanjo umemsikia huyo zitto akipongeza hatua ya serikali?
hiyo ndo maana yangu na km jibu ni ndio tupe link ya hiyo makala
Sijawahi fanya na sijawahi dhurika coz HAKUNA CORONA. Ingekuwepo ngekua nimekufa kitambo sana maana mazingira nayoishi ni rahisi 100% kupata Corona.
Ni lini Magufuli alisema hakuna korona?
Kwa kumbukumbu zangu alisema ipo na tuishi nayo!
Alijitahidi sana kihusu korona ndio maana hatujali na tunadunda tu!
Inatakiwa uwe unajibu nachokuuliza uone ulivyo empty.Wee jamaa kumbe kilaza hivyo? Yaani unavyojichanganya inadhihirisha akili zako ni mbovu mahali!
Hao wagonjwa wa corona uliwasema kwenye hii comment yako wapo dunia gani?
Hiyo social distancing uliyoitaja ni ya dunia ipi?
Hao wauguzi wanaovaa mavazi maalum kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa wa corona uliowataja wanahudumia dunia ipi ambayo wewe unasema hakuna corona?
View attachment 1984032
Angalia maelezo yako yanavyopingana....!!
Akili zako kazikamata Gwajima, kichwa kimebaki behewa tu!
Wenzio akina nani?Mimi niko peke yangu na inatakiwa uwe unajibu nachoulizaMambio ya sakafuni ya nini bro? Tulia, pole pole, utaishia ukingoni [emoji16][emoji16]:
View attachment 1984034
Hapo ni wenzio wafuasi kindaki ndaki wa shujaa wako. Hawana noma wala nini.
Hiiiiii bagosha!
Au nasema uongo ndugu MISULI?
ππhii kwangu sio kazi mkuu ni mitandao ya kijamii nnayoitumia kurefresh mind nnapokuwa free kwa kubadilishana mawazo na watu tofauti siingizi hata mia huku, the same me nnaeza pitisha mwaka sijagusa fb wala insta unless its about the money sinaga muda wa kupotezaKwenye purple ni bandiko lako:
View attachment 1984027
Tuote vipi unachotaka wewe usichokiandika? Kama unamwulizia Zitto mfuate ACT.
Kweli wewe kwenye ile cadre ni Fungakazi ππ:
View attachment 1984028
Miaka 10 ya kazi ππ.
Nakazia:
"Miaka 10 ya kazi hata msingi huna, aaaeeeh!" - alisikika mwanamuziki mmoja nguli.
Inatakiwa uwe unajibu nachokuuliza uone ulivyo empty.
Na ajue mapambano makali dhidi ya korona ni kipindi Cha JPMMleta mada siku zote nilishakwambia wewe ni kapumbavu!
Haya Magu hayupo, niambie kipi cha tofauti kilichofanyika baada ya Magu kufariki ambacho kimesababisha corona kuondoka?
Wenzio akina nani?Mimi niko peke yangu na inatakiwa uwe unajibu nachouliza