Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

Tusubiri ripoti ya CAG..... kama hatakua partisan na akawa mkweli kama ripoti yake ya mwaka huu basi watu watakua discouraged kuchangizwa. Lakini ikitokea matokeo chanya yameonekana, huku kukiwa na accountability kwa kila senti hapo tutatoa kwa moyo wote.
 



πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Mama mwenyewe alishakanya juu ya kumlinganisha na jpm. Haina afya kumshindanisha. Ila kama unataka mashindano sawa...jpm ana watu kaacha wafuasi kibao loyal..mziki wao hutauweza. Pambaneni na la chanjo kwanza sababu watu bado wanaamini mbinu za magu dhidi ya kovidi.
 
Yes, lazima tuwe positive mpango ni mzuri, ndani ya mwaka mmoja hakuna matokeo waondoe tozo, hatuwezi kupima mchango wa tozo ndani ya miezi miwili / mitatu.
 
Hakuna kitu hapo hizo ni swaga za mama na Waziri wake wa Fedha anaye fikri vyanzo vya mapato ni KWAKAMUA WANANCHI MWANZO MWISHO!!!
Huyu Mwigulu naona hajui kama kuna MADINI na MBUGA ZA WANYAMA NJI HII.?..
 
Nampenda sana Mama Samia,

Hafokifoki hovyo, cheki jana alivyodeal na Gwaji Boy,

Samia ni Mama kama Mama,

#Samia4presidency2025



Mama is here to stayπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Huyu Mama anapingo sana, Kama atakuwa makini wasimpige basi huenda akawa Rais wa mfano duniani,

2025 tunakula kwa Lissu tunalala kwa Mama,


πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Usipende kufananisha watu... Hukuwa na ndege hata moja, hukuwa na miradi mikubwa kama ya SGR, BWAWA LA UMEME
 
Miradi mingi ya afya site zipo on, na hela znafika kwa wakati, vituo vya afya vikiwa vingi itakuwa rahisi kupata huduma za afya..and hence will rise our life expectancy... hongera sana MH. Raisi. KAZI IENDELEE πŸ‘



πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Hata vyumba vya madarasa na madawati hakuna mtu ataenda kuchangishwa, watoto kukaa chini nk .

Ni afadhari tuumie lakini matokeo yaonekane historia itamkumbuka.Safi Sana Rais keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…