Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrejesho huwa unatakiwa kutolewa ndani ya siku 21 so msiporespond ndio anaandika kama kilivyo.Ripoti za CAG jazijawahi kuwa nzuri popote maana nature ya ukaguzi wake unahitaji mrejesho Ili kuhalalisha kama kina ufisadi au laaa maana huwa ni ishu za mahesabu kutokaa sawa.
Ndio maana kesi za hivyo ni chache Sana mahakamani.
Siyo kweli. MagufuliJP amejenga vituo 400 vya afya. Hospitali 67 hiyo taarifa yako uongoRAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
Acha uwongo wewe praise and worship leader, chawa pro maxRAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3

Mnalipwa ngapi siku hizi za kusifu na kuabudu?Mama hakamatiki,Samia ni hazina kwa nchi hii,
Samia kura yangu 2025 chukua tu mama hakuna namna,
Duh!Huyu Mama anapingo sana, Kama atakuwa makini wasimpige basi huenda akawa Rais wa mfano duniani,
2025 tunakula kwa Lissu tunalala kwa Mama,
KamuoeNampenda sana Mama Samia,
Hafokifoki hovyo, cheki jana alivyodeal na Gwaji Boy,
Samia ni Mama kama Mama,
#Samia4presidency2025
Maumivu ya tozo unayajua wewe?RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
Jafo hapa anasema Magufuli alijenga vituo vya afya 320
Sawa kwa kesi ya kulipa kwa fedha za nje pengine unaambiwa tuu acha na wanaachaMrejesho huwa unatakiwa kutolewa ndani ya siku 21 so msiporespond ndio anaandika kama kilivyo.
Sio hivyo tu ikifika bungeni huwa inachambuliwa na wahusika huitwa kuhojiwa sasa kama hatua hazichukuliwi huo ni udhaifu wa chama tawala na serikali.
Mfano kwenye SGR ilionekana pesa inalipwa kwa Forex rate tofauti na ile waliokubaliana mwanzoni!! Ko unakuta 200m ya leo utalipa 220m kesho ili labda upate dollar laki 1. Sasa hyo 20m inaliwa tu kifisadi!! Sasa hayo yanahitaji enquiry gani??
What goes around comes around!!Mama mwenyewe alishakanya juu ya kumlinganisha na jpm. Haina afya kumshindanisha. Ila kama unataka mashindano sawa...jpm ana watu kaacha wafuasi kibao loyal..mziki wao hutauweza. Pambaneni na la chanjo kwanza sababu watu bado wanaamini mbinu za magu dhidi ya kovidi.
Hizi story kutoka chama Cha magaidi(ccm),usiziamini sana,
Kipindi Cha mwendazake tuliambiwa shirika la Ndege linapata faida,leo tunajua kuwa ilikuwa uhongo shirika lina madeni kibao,
Sasa story za huyu mama,tutajua Zina ukweli ama la,siku akitoka madarakani
Waliosema muda ni mwalimu mzuri kweli hawakuwa wajinga!! Leo hamtaki habari za kufananisha watu 🤣 🤣Usipende kufananisha watu... Hukuwa na ndege hata moja, hukuwa na miradi mikubwa kama ya SGR, BWAWA LA UMEME
Samia si mchezo, Magufuli ilikuwa kitu kidogo Radio zote TV zote mpaka wale Wapumbavu kina Masanja kutangaza koteRAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka madarakani mwaka 2015 vituo vya afya vya serikali vilikuwa 507,Mpaka 2018|19 jumla ya Vituo vya afya vya serikali ilifikia 551 sawa na Ongezeko la Vituo vipya 44 ambazo ni 9% chini ya Hayati Rais Magufuli,
Kwakutumia tozo hizi za Kizalendo Rais Samia anajenga vituo vya afya vipya 220 kwa miezi mitatu ( 3 ) tu sawa na ongezeko la 43.4%,Nakwa lugha rahisi kabisa,Tunasema kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Samia kwa miezi mitatu ni X5 zaidi ya kasi ya Ujenzi wa vituo vya afya ya Rais Magufuli kwa miaka mitatu mfululizo,
Jumla ya vituo vyote vya Serikali vipya na alivyokarabati Hayati Rais Magufuli kwa miaka mitano vilifikia 487 ( soma Hotuba yake ya mwisho bungeni ukurasa wa 24 ),Hii inamaana gani, Rais Samia kwa muda wa miezi hii michache atajenga karibu nusu ya vituo vyote vilivyojengwa|kukarabatiwa na Hyt Rais Magufuli kwa miaka mitano aliyokaa madarakani,Mama anastahili pongezi kama kweli tunamwogopa Mungu,
Na kwa andiko hili,Itusaidie kutambua faida ya tozo kwenye kuwahudumia na kuwafikia kwa haraka watoto wa masikini wa nchi hii wanaokufa kila dakika kwa kukosa huduma za afya hasa hasa akina Mama na Watoto huko vijijini,
Att |Isionekane napinga kazi nzuri ya Hyt Rais Magufuli hapana, ni katika kuangazia Mwanzo wao wote kwenye hili la vituo vya afya na Samia hakamatiki kwani namba hazidanganyi,
|[ Hili ndio Jibu la kwanini leo tozo na Sio zamani ]|
|WANAOULIZA RAIS SAMIA SULUHU ANATUPELEKA WAPI | HERE IS WHERE WE GO BRO'S & SISTERS KUWENI NA AMANI NCHI YENU IKO MIKONO SALAMA & SHUPAVU YA MAMA|
...Kazi iendelee ...
View attachment 1922453