Hayati Magufuli alijenga vituo vya afya 44 kwa miaka mitatu, Rais Samia anajenga 220 kwa miezi mitatu

Na hapo amehesabu hadi vituo vya afya alivyoacha Magufuli. Siyo kwamba vyote ataanza from scratch.


Kimsingi Miaka mitano ya Magufuli amejenga vituo 350 vingine amekarabati
 
Tatizo watanzania hatujui tunataka nini. Hizi tozo angelikuwa Magufuli zingetozwa na watu wasingefanya chochote, tena wangepongeza tu. Mfano Bodi ya Mikopo wanufaika walikuwa wanakatwa elfu 90 kipindi cha Kikwete ila JPM akapandisha hadi karibu Laki 2. Na fine za kutosha. Wafanya kazi hawajaongezewa hata 100 kama nyongeza ya mshahara miaka 5 wala increments za mwaka lakini hakuna aliyefanya kitu. Ila mama amebuni hii ya miamala ya simu na tija yake ni kubwa mno watu wanaongea kweli kweli. Sasa alivyo msikivu akaamua apunguze, ingawa hii ilipitishwa na bunge na imekuwa ni sheria ila watu wala hawawalaumu wabunge badala yake lawama zote wanampa rais.
 
Taarifa kama hizi mataga wakizusikia wanaumia Sana moyo kwamba legacy inafunikwa kwa kasi ya 5G πŸ˜†πŸ˜†

πŸ‘‡πŸ‘‡



 
Mtoa mada acha kudanganya watu

View attachment 1922930

_________________________________

YAANI TUACHE KUAMINI OFFICIAL DOC ZA SERIKALI TUMUAMINI WAZIRI KWELI!?


" TAARIFA YA HALI YA UCHUMI YA TAIFA " NDIO SOURCE HALISI, the genuine source haina siasa wala kujipendekeza,



HOJA NI HII,

KASI YA RAIS SAMIA HAIELEZEKI,
_______________________________

KAMA RAIS MAGUFULI MIAKA 3 VITUO VIPYA 44

MIEZI MITATU YA RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 NA VYOTE NI VIPYA ,


JAFFO ALIZIPANDISHA HADHI BAADHI YA ZAHANATI KUWA VITUO VYA AFYA,
JAMAA AKASEMA NI VITUO VIPYA YES NI VIPYA KWA MAANA YA HADHI ILA SIO UPYA WA MAJENGO, MFANO TINDE, KINTINKU etc

KAMWE, HATUWEZI KUMWAMINI JAFFO BADALA YA "KITABU CHA HALI YA UCHUMI WA TAIFA 2018"
 



Vyovyote iwavyo hata mambo yakiharibika lawama ni zake hivyo tumpongeze mambo yanapokwenda vizuri
 
Na hapo amehesabu hadi vituo vya afya alivyoacha Magufuli. Siyo kwamba vyote ataanza from scratch.



Unaaelewa maana ya Vituo vipya?!
Sio alivyoacha, ni vipya kwa maana ya vipya,

Usicheze na Tshs 60BL
 
bila ya tozo amejenga vingapi
 
Nampenda sana Mama Samia,

Hafokifoki hovyo, cheki jana alivyodeal na Gwaji Boy,

Samia ni Mama kama Mama,

#Samia4presidency2025
mkuu, issue sio kufoka wala kutofoka, tunataka maendeleo. tukiwa na akili kama zako hatuwezi endelea, eti unampenda au inamchagua mtu sababu tu hafoki
 
Mama ni habari wenye akili wameemwelewa kitambo Sana,

πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ πŸ€›πŸΏ
Na moja ya legacy yake kubwa anapambania ni kufanikisha mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.

Soma hiyoo πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hivyo 9% vilivyojengwa na magufuli vinatoa huduma,vipi kuhusu hivyo 43.4% vinatoa huduma wapi maana hakuna hata jengo la OPD lililotayari.
 
Magufuli aliweka tozo na kutumia tozo, tumia parameters sahihi kufananisha watu. Hivi Magufuli angetumia huu mfumo tozo mtozoe SGR na Bwawa ingekuwa mukidemukide. Hao wamechota hazina sasa namna bora ya kujiendesha ni utopolo wa kitozo tozo
 
Hivyo 9% vilivyojengwa na magufuli vinatoa huduma,vipi kuhusu hivyo 43.4% vinatoa huduma wapi?
Kwa taarifa yako vinavyotoa huduma ni vile ambavyo alivyokarabati,vipya vyote hadi anakufa alikuwa ndio kwanza yuko kwenye mchakato wa kuajiri watumishi wa Afya,kiufupi wameajiriwa juzi na akini Ummy.

So kwa wastani by 2025 mama anaweza Jenga vituo vya afya 800-1000 sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…