Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Kuna
Kuna watu humu wanaamini wasipoanzisha uzi wa kumkandia Magufuli hawatapata replies za kutosha, ndo maana ili uwe maarufu humu we mkandie Magufuli tu

Lakini wenye hekima hufahamu kuwa "kitanda kinacholia ndiyo kibovu"
Watu wa ajabu Sana... Huyu kiongoz ni fundisho. Lazima kutahadharisha...

Kile kilikuwa ni kiburi..mnaotetea mnadhihirisha tabia zenu.... Huwez ukamdhihaki Mwenyezi Mungu. Yaani yeye Sasa ni kiongozi wa malaika??
 
Hata wewe ukifanya ubaya sitakuonea haya hata kidogo. Hata Rais Samia abolonge nitalala naye mbele. Sionei soni uovu. Pole sana. Sitabiriki
 
kila mara magu,toeni ajenda za maana,alikula hela na aliwekeza.
Tutamsema hadi asikie huko makaburini. Na kabiri lingechapwa viboko, na Serikali inajua ndo maana linalindwa. Mbona la Mkapa halilindwi kwa SMG. Magufuli anaweza fukuliwa akachomwa moto ndo maana kaburi linalindwa kwa Silaha za kivita
 
Ni mwaka wa 2 huu toka jamaa aondoke ila bado kutwa kumnanga tu ....ina maana matatizo yote ya hii nchi aliyaleta yeye na ameondoka nayo ?.....

Tuendelee kujenga taifa na kukabili changamoto zilizopo, ndio muhimu kwa sasa.
Hatujapata majibu ya Ben Saanane alipo wala walompiga Risasi Lissu. Unataka tujenge nchi gani. Hatusahau wala hatusamehi. Baba zetu wameteswa na kuumizwa. Ndugu wameuawa viroba vinaokotwa Coco Beach halafu unataka tusamehe
 
Hatujapata majibu ya Ben Saanane alipo wala walompiga Risasi Lissu. Unataka tujenge nchi gani. Hatusahau wala hatusamehi. Baba zetu wameteswa na kuumizwa. Ndugu wameuawa viroba vinaokotwa Coco Beach halafu unataka tusamehe
Shinikizeni waliopo madarakani sasa hivi ili watoe majibu ya kilichowakuta hao watanzania wenzetu, huyu aliyetangulia hawezi kujibu tena.
 
Shinikizeni waliopo madarakani sasa ili watoe majibu ya kilichowakuta hao watanzania wenzetu, huyu aliyetangulia hawezi kujibu tena.
Tunadeal na aliyehusika. Kwanini kesi za Magu tumpe Samia? Atajibu tu. Kakutumaje umtetee kama hawezi? Tuache tumnange yeye na familia yake wajue balaa waliloletea Nchi
 
Hakuna ajenda ya maana kama Uhai wa watu. Ben Saanane yupo wapi? Mawazo yupo wapi? Kwenye Uhai, madaraja na barabara ni takataka

Yaani nikicheck USA jinsi walivyo na uhuru wa maoni unaweza ukatoka na kumpa "sh!t" prezdent halafu hakuna kitu kitakachotokea ,ila mtu bongo kuhoji Phd ya "MTU FURANI" ikamfanya apotee mazima...Inasikitisha sana kutoa uhai wa wenzako kwa ajili ya vitu vya kupita....hakuna kitu "kidumucho" milele ,walikuwepo matycoon wa hatari lakini washafutika kwenye uso wa dunia ,tukubaliane katika kutokubaliana ,siasa siyo uadui.

Ukifanya mema utazungumziwa kwa mema na ukifanya mabaya utazungumziwa kwa mabaya.
 
Hakuna ajenda ya maana kama Uhai wa watu. Ben Saanane yupo wapi? Mawazo yupo wapi? Kwenye Uhai, madaraja na barabara ni takataka
Tujiulize tulifanya nini kama jitihada za kuzuia vifo vilivyokuwa vikiendelea wakati huo ikiwa kweli tunathamini uhai kuliko chochote?
 
Si tulimshtakia Kwa Mungu? Kwani majibu ya Mungu hujayaona?
Hilo ni suala la imani maana hilo unaloamini wewe kuwa ni majibu ya Mungu mwengine yeye akalitazama tofauti kwa sura isiyo ya kiimani, hasa ukizingatia hoja ya kumshitaki Mungu imekuja baada ya Magufuli kufariki ila kabla yake hatukuona watu kupanga kuwa sasa tunamshtakia Mungu na kusubiri majibu yake na kuwa hicho ndicho walichoamua kufanya.
 
Hakika ntamshukuru Mungu daima kwa zawadi hii aliyotupa kwani alituonesha kwa vitendo kuwa tukiamua inawezekana, hakuna asie na makosa wala alie mkamilifu Mungu amlaze mahali pema Rais wetu mpendwa JPM kwa utumishi wake uliotukuka.
 
Ni mwaka wa 2 huu toka jamaa aondoke ila bado kutwa kumnanga tu ....ina maana matatizo yote ya hii nchi aliyaleta yeye na ameondoka nayo ?.....

Tuendelee kujenga taifa na kukabili changamoto zilizopo, ndio muhimu kwa sasa.
Hitra,Idi amini na Bokasa hadi leo wanakumbukwa sembuse huyu aliyekufa jana tu?!!
ukimtendea binadam mazuri ni rahisi kukusahau lakini mtendee baya ni ngumu sana kusahau!!huyo jamaa mbona bado sana kwani ,kwani kuna changamoto nyingi sana za kiuchumi na kijamii ameziacha na makovu yake yatachukua miaka mingi sana kupona au yasipone kabisa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…