Achapombe cha pombe
Member
- Feb 11, 2023
- 96
- 182
Kuna
Kile kilikuwa ni kiburi..mnaotetea mnadhihirisha tabia zenu.... Huwez ukamdhihaki Mwenyezi Mungu. Yaani yeye Sasa ni kiongozi wa malaika??
Watu wa ajabu Sana... Huyu kiongoz ni fundisho. Lazima kutahadharisha...Kuna watu humu wanaamini wasipoanzisha uzi wa kumkandia Magufuli hawatapata replies za kutosha, ndo maana ili uwe maarufu humu we mkandie Magufuli tu
Lakini wenye hekima hufahamu kuwa "kitanda kinacholia ndiyo kibovu"
Kile kilikuwa ni kiburi..mnaotetea mnadhihirisha tabia zenu.... Huwez ukamdhihaki Mwenyezi Mungu. Yaani yeye Sasa ni kiongozi wa malaika??