Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Hayati Magufuli alijiona kama Baba wa Taifa na next to none

Subili mda ufike utakuambia. RIP King, katufumbua sana na watakuja makufuri wengi baadae. Mpira ndokwanza kipindi cha kwanza. Wait my call 📞
 
Kuna

Watu wa ajabu Sana... Huyu kiongoz ni fundisho. Lazima kutahadharisha...

Kile kilikuwa ni kiburi..mnaotetea mnadhihirisha tabia zenu.... Huwez ukamdhihaki Mwenyezi Mungu. Yaani yeye Sasa ni kiongozi wa malaika??
Wewe unamjuwa mungu. Dini umeletewa. Jiulize wakina mkwawa walikuwa na dini. Vijana wangu mnapotea kwa kukosa maalifa 😂😂😂
 
Acha inyeshe tujue panapovuja
 

Attachments

  • 1676409692139.jpg
    1676409692139.jpg
    40.1 KB · Views: 5
Umemaliza ndugu yangu na kukonga moyo wangu.. Sina cha kuccoment kwakweli, niwatakie ucku mwema wote.
 
ALIKUWA ANATAKA KUWA RAIS WA MALAIKA.

AKINA KABUDI, SHEHE WA DAR, NA WAJINGA WENGINE WENGI WALIMWITA...

Magufuli ni zaidi ya Mungu
Nguvu ya kiburi cha madaraka, kiburi cha uzima! Igweeee!
 
Mada kama hii, kwa watu kama mkuu 'figga100' nisingetegemea ndiye awe mwanzilishi wake.

Sasa usije ukadhani ninamtetea anayezungumziwa; ila nadhani ingependeza zaidi, picha ya anayesifiwa pia ionekane sambamba na huyo anayesemwa kwenye mada.

Mkuu 'figga100', sikutegemea nawe ungekuwa ni mlamba aslai kiasi cha kukosa soni kiasi hiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Salaam Wakuu,

Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China za mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka.

Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi kweli wa Trilioni 1.5.


Halafu alipokuwa anaongea na kitwanga akasema atakahakikisha watu wanalimia Meno. Lakini amekufa bila hata mtu kulimia mikono wala Miguu

Alipofika Ikulu pakamnogea. Akaanza watuma Kibajaji na Musiba wampigie Kampeni ili aongozezewe muda wa Uongozi kutoka miaka 10 hadi 40. Makamba, Kinana, Mangula na Kikwete wakamgomea.

Akapandwa hasira, watu wakaanza kutekwa, kupigwa risasi, Kumbambikiziwa kesi za Uhujumu Uchumi.

Yaani hadi akachafua sifa za Wasukuma, kiasi kwamba mtu akimtetea anaonekana Msukuma na Wasukuma wote wanaonekana wana roho kama Magufuli. Roho Nyeusi. Hadi leo rafiki yangu Ben Saanane sijui yupo wapi, Diwani Wangu Alfonce Mawazo alishazikwa. Yote hayo sababu ya Siasa za Magufuli.

View attachment 2517267
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Hata sishangai kuona Mke wa Magufuli kunenepa, alivumilia mengi. Mara alazwe Muhimbili, mara Makovu Mdomoni.

Binadamu tupunguze kiburi cha Uhai, maisha ni Mapito tuishi kwa wema. Wapinzani wa CCM sio Magaidi. Siasa si Uadui.

Tanzania imechanua kwenye Mikono salama ya Samia. Siku nitamuomba Zuhura anikutanishe na Mama nimsalimie tu. Ukigusana na Mama Samia unapata Upako. Hakika ni Mama wa Taifa.
Wakuu eeh! Sasa mmezidi, mkilala mkiamka ni JPM
 
Hata wewe ukifanya ubaya sitakuonea haya hata kidogo. Hata Rais Samia abolonge nitalala naye mbele. Sionei soni uovu. Pole sana. Sitabiriki
Dah!

Mbona wewe ni mwepesi sana kutabilika.
Maandishi yako mengi sana siku hizi yapo wazi sana.

Kwa hiyo usijione kuwa na upekee wowote. Unayo bei inayokutosha kubadili mwelekeo. Hili lipo wazi kabisa.

Danganya toto, siyo watu wazima.
 
Duuuh sitii neno acha niangalie comments za wazee wa legacy!!
Tunaangalia cartoons mimi ni kucheka tu sio kwenye maada sio kwenye comment sio kwenye swali wala sio kwenye jibu ni kukenua tu hamna namna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanasheria wenyewe wapo nje, mpaka warudi sio leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom